Search results

 1. Nizhneserginsky

  Ulitumia umbali gani kufuata penzi?

  Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada.. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili.. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda tanga kufuta...
 2. Nizhneserginsky

  Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

  Wasalamu wanaJF.. Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii. Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za...
 3. Nizhneserginsky

  Misemo ya uswahilini kwenye vyombo vya moto

  Ktk pitapita\kutembea mijini&vijijini nimekutana na misemo yenye kuchekesha kwnye magari, pikipiki. 1."hakuna kuforce relationship just cry and move on..Hata ambulance inaliaga ikienda". 2."uliwaza urithi mzee kapona". 3."ukichoka lala"-hii ni baada ya lori kupinduka. 4."kaa mbali sijabeba...
 4. Nizhneserginsky

  Mbinu za kula tunda kwa mwanamke aliyekusumbua kwa muda mrefu

  Kama heading inavyosema,bila kupoteza muda,ni mbinu gani ulitumia kula tunda kwa mwanamke/msichana uliyemtongoza kwa muda mrefu bila ya mafanikio? Binafsi nilitongoza demu kwa muda wa miezi 3 alikuwa mgumu, siku moja nilimwalika dinner alikuja na rafiki yake nikasema "fresh" baada ya siku...
 5. Nizhneserginsky

  Nahitaji kufungua akaunti Azania Bank

  Habarini wanaJF,poleni na majukumu ya kila siku. Nahitaji kufungua akaunti (saving A/c) Azania Bank, ningependa kufahamu gharama za uendeshaji kila mwezi, vile gharama za kutoa pesa ATM na kwa Mawakala. Natanguliza shukrani.
Top Bottom