Search results

 1. Mrs Bishanga

  Mstaafu anakwama sababu ya kukosa ID ya NIDA

  Wakuu heshima kwenu, Mbali na kuwa ana namba ya kitambulisho cha NIDA mzazi wangu aliyefikisha umri wa kustaafu anakwama kufwatilia process zote ndani ya halmashauri anapofanyia kazi kwakuwa anakosa kitambulisho cha NIDA. Wahusika wanaopokea barua zake wamekataa kutumia namba ya NIDA wanataka...
 2. Mrs Bishanga

  VIP bus kwa huduma VIP

  Habari zenu wadau? Basi katika harakati zangu za hapa na palé nilisaifiri na basi la kampuni ya Ester kutoka Arusha kwenda Dar. Asee safari niliichukia mbali na kwamba nilitoa nauli kubwa ili nifuraihie safari yangu bila bughdha. Basi kondakta alikuwa mwanamke ambaye alikuwa harsh sana...
 3. Mrs Bishanga

  Nafasi za kazi

  JOB ADVERT Job Title: PARTNERSHIPS & SPIRITUAL RENEWAL HEAD OF SECTION (One post) Supervisor: COUNTRY DIRECTOR Direct Reports: OUTREACH AND PARTNERSHIP OFFICER Overview Floresta is a Christian NGO that works to reverse poverty and deforestation in the world by transforming the lives of the...
 4. Mrs Bishanga

  Upo wapi muda huu?

  Bahati mbaya sina bebii kipindi hiki so valentine imenikuta nikiwa singo. Nimepiga kiporo changu cha pilau nimepanda kitandani kuusaka usingizi. Mwenzangu wewe uko wapi mda huu?
 5. Mrs Bishanga

  Serikali itusaidie kukomesha huu udalali kwenye tiketi za mabasi

  Tarehe 24/12/2020 nilienda ubungo kukata tiketi ya kuelekea mafinga. Baada ya kupita ofisi karibia zote za Mabasi yanayofanya safari za huko niliambiwa tiketi zimejaa hadi za tarehe 27/12/2020. Basi huku na huku akaja kijana mmoja akaniambia kama nina 40,000 anipe siti kwenye Njombe Express...
 6. Mrs Bishanga

  Re: Fursa: Open Call | Art Exhibition

  WASEMAJE? What Do You Say? OPEN CALL | ART EXHIBITION ABOUT THE EXHIBITION Wasemaje Art Exhibition seeks to provide a platform for artists to freely express what is currently on their mind through art, and for the public to engage with artistic interpretations of the experiences of...
 7. Mrs Bishanga

  Tulio in deep love kipindi hiki tujuane

  Kuna kipindi thermometer ya mapenzi inasoma joto la hali ya juu hadi unatamani iwe hivyo kila siku ya Mungu. Yaani uliye naye anakujali na kukupenda hadi unalewa mapenzi. Tuliopo kwenye situation hiyo tujuane tafadhali.
 8. Mrs Bishanga

  Msaada: Mtoto ametoka nyama kwenye pua

  Habari? Poleni na kampeni. Nimeweka huu uzi hapa ili wengi wausome nipate msada. Naomba msaada wa dawa ya kumsaidia mtoto mwenye nyama za pua kwa anayejua. Ni wa miaka 6. Asante.
 9. Mrs Bishanga

  Naombaje Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo?

  Kuna dogo anataka kuomba Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo ngazi ya cheti Ninaomba mnielekeze taratibu za maombi ili nimuelekeze Asanteni wakuu
 10. Mrs Bishanga

  Uchaguzi 2020 Fomu za kugombea Ubunge CCM zinatoka lini?

  Wakuu salamu za heri kwenu. Ninaomba kujua Form za maombi ya kuomba ridhaa kugombea ubunge ndani ya CCM zinatoka lini. Ubunge wa kawaida na wa viti maalumu. Asanteni.
 11. Mrs Bishanga

  Ipad Air inauzwa

  Ipo katika hali nzuri Ipo Arusha Ilinunuliwa Norway Bei ni laki 4 kamili. Sababu za kuuzwa ni kutatua tatizo la dharura. Kwa mhitaji na maelezo zaidi piga 0718585346 NB Picha za mbele nimeshindwa kuweka kwa kuwa kuna picha imewekwa kama wallpaper.
 12. Mrs Bishanga

  Ni tukio gani hutalisahau katika malezi ya mtoto kuanzia age 0?

  Binafsi sitasahau Siku moja wakati namvalisha mwanangu akiwa na Miezi 3 baada ya kumuogesha nilishangaa maziwa yanatoka puani na mdomoni na hapo hapo mtoto akawa hawezi kupumua vizuri. Nilipaniki nikakimbilia nje nkamtupia mama mmoja mtu mzima mtoto Huku Nikilia. Yule mama alinishauri tumpatie...
 13. Mrs Bishanga

  Naomba Mwaliko wa kuingia Canada

  Wadau heshima kwenu. Namshukru Mungu kwamba nipo fit na amenipigania kwenye changamoto mbalimbali na kunipitisha salama. Kwa kifupi Maisha ya Tanzania yamenichosha. Nina malengo ya kuhamia Canada Ila Sipendi kuingia Kama mwanafunzi. Ninaomba Kama yupo mwana JamiiForums anayeishi nchi hiyo na...
 14. Mrs Bishanga

  Dear mama

  Ikiwa bado siku chache kumaliza mwaka 2019 nimetafakari sana mambo ambayo mama anayafanya katika maisha ya mtoto wake. mbali na kuwa nimekuwa mtu mzima ambaye najitegemea kwa kiasi kikubwa bado mama yangu amekuwa na mchango mkubwa katika maisha yangu. Nikiwa nimezongwa na mawazo ya maisha...
 15. Mrs Bishanga

  Idris Sultan: Wema sio mzuri kwenye mambo ya fedha

  Baada ya Wema Sepetu maarufu kama TZ Sweetheart kumtambulisha mwanaume wake anayesemekana kwamba ni rubani, Idris Sultan ambaye aliwahi kutoka na mwanamke huyo amemtahadharisha mpenzi huyo wa Wema kwamba awe makini kwa maana sio mzuri kwenye maswala ya fedha.
 16. Mrs Bishanga

  Naomba msaada mtoto wangu anasumbuliwa na tumbo

  Madaktari wa JF habari zenu? Naomba msada wa Hili. Katoto kangu ka miaka 5 kanaumwa tumbo tangia juzi juma pili jioni. Alianza kulalamika tumbo linamuuma hadi kulia halafu akawa ana joto kali sana la mwili. Pia alikuwa anaharisha Haja kubwa yenye milenda milenda yenye harufu kali sana. Wakati...
 17. Mrs Bishanga

  Waziri wa Elimu fuatilia hili suala

  R.I.P. Felix Ndumbalu. Huyu ni mwanafunzi wa Kibiti Sec ambaye tumemzika siku ya jana. Alikuwa anasoma kidato cha 5 katika shule ya bweni ya serikali ambapo alianza kuumwa akiwa shuleni lakini kila alipoomba ruhusa kwenda nyumbani walimu walikataa na hospitali hawakumpeleka mpaka afya...
 18. Mrs Bishanga

  Natafuta Lori kwa ajili ya kusafirisha mizigo Dar - Arusha

  Habari zenu wakuu, Kuna vifaa vyangu vichache ninahitaji kuvisafirisha kutoka Dar kwenda Arusha. Vitu vipo hapa Ubungo Kibo kituo cha madalali. Ninaomba mwenye taarifa ya lori lenye nafasi kutoka Dar kwenda Arusha leo anisaidie namba au aje inbox. Bei iwe ya kikulima. Asanteni.
 19. Mrs Bishanga

  Kama wewe ni player usifanye hili kosa

  Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake. Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a usalama barabarani. Utakuja kunasa kwenye kitanzi ambacho hutapata hata pumzi na mwisho unaweza...
 20. Mrs Bishanga

  Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

  Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi. Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake Salasala Dar Es salaam na badae kusafirishwa kuelekea Moshi- Uru Mawela kanisani kwa ajili ya mazishi...
Top Bottom