Search results

 1. mkabasia

  I missed my wife baada ya kuachana

  Mi nakushauri mrudie tu mkeo, akirudia hilo kosa tena mwache. Mpe nafasi nyingine nawahurumia watoto jamani, nimesoma hadi machozi yamenilenga. Nikiwaangalia wanangu dah! Tuzidi kuziombea ndoa zetu wapendwa. Ndoa zinavozidi kuvunjika kwa wingi ndipo tunakua na tatizo la maadili kwenye jamii...
 2. mkabasia

  Pishi la boga, nakosea wapi?

  Boga nlikua nakula kipindi mdogo kwa kulazimishwa na mama, tangu nimekua sijala tena sikumbuki hata ladha yake. Hata kuchagua sokoni zuri lipi sijui.
 3. mkabasia

  Uzi wa vyakula tu

  Mboga haoitoshi hornet, ugali nne samaki mmoja, au nyie wapare?
 4. mkabasia

  Sababu za vegetarians kutokula nyama

  Jamani kila kitu kiwe tu kwa kiasi. Tule nyama kwa kiasi kuepuka madhara yake. Hivi naachaje kula nyama. Mboga za majani zenyewe tule kwa kiasi manake ukila sana damu ikizidi sio shida kweli.
 5. mkabasia

  Ndizi zinazoivishwa kwa umeme Je ni kweli zinawekwa dawa ya kuhifadhia maiti?

  Mi mwenyewe naskia kuna ndizi zinazoivishwa na umeme. Kuhusu madawa sijui. Na hizo ndizi zinazoivishwa hivo haziwi na ladha tamu kama zinazoivishwa kiasili. Hizo zenye rangi ya kuvutia(zinazoivishwa na umeme)mabibo wafanyabiashara wanajina lao wanajua.
 6. mkabasia

  Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

  Tunatofautiana. Yani mtu atoke kujifungua ngozi ififie.Mi huwa nang'aa mpk najiogopa na nkiwa mzazi mafuta yangu mwili mzima ni ya nazi nayompaka mtoto na mimi hayo hayo. Vyakula plus kukaa ndani miezi mitatu huwa nawaka uongo dhambi.
 7. mkabasia

  Umekula tunda gani leo?

  Dar halipo? Ni ka stafel au. Ni tamu ee? Nije nlitafute.
 8. mkabasia

  Umekula tunda gani leo?

  Linapatikana wapi, silijui hili tunda.
 9. mkabasia

  Ni kitu gani kimekusukuma kufanya ujenzi?

  We mgomvi ee, kwann ulikua unahamahama ivo.?
 10. mkabasia

  Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

  Dah, we differ, kwa hiyo hizo huduma anazotoa mume (of which) ni wajibu wake. Zinafanye nimuonee huruma hadi kwenye mambo yasohitaji huruma. Umekosea bwana ulipaswa umuulize kwanini anafanya hivyo.
 11. mkabasia

  Tuwaambie tu ukweli kina dada, ni wachache mno wanaopendeza kwa suruali

  Hamsomeki nyie, tukivaa madera mnasema raha ya dera msambwanda. Flat screen na dera wapi.
 12. mkabasia

  Naomba maelekezo ya kupika chainizi

  Osha chinese zako , kisha zikate kate. Zikwangulie carrot. Weka jikoni sofuria yenye mafuta (inategemeana na wingi wa mboga).Mafuta yakichemka kaanga kitunguu kikiwa brown kidogo weka chinese yako kaanga kwa dakika chache, weka chumvi kiasi, mboga tayari.
 13. mkabasia

  VODACOM wameanza kunyooka

  Na mi juzi nimekuta hiyo option ikabidi nirudi tena voda,manake nlikua nimewasusa kwa takribani miezi miwili nlikua tigo.
 14. mkabasia

  Kwenu wanaJF: Saint Anne ninawashukuru mno

  Pole sana St.Anne.Mungu ni mwema aendelee kukutia nguvu kipindi hiki unachopitia.Mshukuru Mungu baba amewafikisha hapo walau mnajitambua.Mmeuonja upendo wake.Wengine wazazi wanafariki watoto wakiwa wadogo imagine unakuja kuoneshwa picha tu.Yote kwa yote amani ya Mungu itawale moyoni mwako.
 15. mkabasia

  Napenda kuishi sehemu yenye mji mdogo ila sio jiji kubwa au bush

  Nimesoma Singida,we uko sehemu gani.?
 16. mkabasia

  Huu ni uzi wa kujifariji kwa waliopata GPA lower second & below

  Hahahaha,umenichekesha sana.Eti muda mwingi uliutumia kuijua dsm.
 17. mkabasia

  Uzi wa vyakula tu

  Dah,hao samaki wametoa macho hadi nimewaogopa.
 18. mkabasia

  Happy mother's Day

  Asante ndugu.
Top Bottom