Search results

 1. Chizoba_CzB

  Smart Phone Cameras

  Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema [emoji120][emoji120]. Leo piaa Ndugu zangu nimependa kushare picha za simu picha hizi nimepiga kwa simu na editing zimefanyika kwa simu pia. Napiga picha za simu ndio hobby...
 2. Chizoba_CzB

  Picha za simu

  Ni matumaini yangu uko salama na mzima wa afya na kama sio mzima wa afya basi Mungu wangu akulinde na akujulie afya njema [emoji120][emoji120]. Tumwombe Mungu atuepushe na hili janga la corona,tuwaombee wagonjwa na waliotangulia mbele za haki. Leo piaa Ndugu zangu nimependa kushare picha za...
 3. Chizoba_CzB

  Ngorongoro Crater vs Smart Phone

  Salama ndugu zangu hope mko salama nipo poa tu shukuru Mungu kwa Uhai na huku tukimwomba atoondolee hili janga la Corona maana tupo katika kipindi kigumu sana hasa ukiangalia na mzunguko wetu wa kazi zetu zilivyo. Kama kawaidaaa niliplan kuingia Ngorongoro mwaka huu kwenda kusafisha macho...
 4. Chizoba_CzB

  Tazama: Camera ya simu katika matukio mbalimbali (03)

  Hope mpo salama na kama kawaida tunaendelea kupambana na hali zetuu [emoji3][emoji3]One Day Or Day One YES. But Tumshukuru Mungu kwa Uhai maana ndiyo Utajiri wa kwanza mkubwa hapa Duniani. Nisiwachoshe Shukran kwa Part 01 ya Camera ya Simu katika matukio niwashukuru wote kwa comment na...
Top Bottom