Search results

 1. mumewanguu

  Mange kimambi &zito kabwe sijawahi waelewa Nini haja ya moyo wao kwetu

  Dunia nzima inalia na inaongea lugha moja kuhusu mdudu Corona Hapa nchini kwetu serikali inajitahidi kufanya kila linalowezekana kudhibiti Corona ikiwemo kutoa elimu kwa wananchi namna ya kujikinga Watu wanahamasishwa wanawe mikono,wavae barakoa,waepuke misongamano isiyo ya lazima ili kudhibiti...
 2. mumewanguu

  Biashara za kuwekeza mtandaoni

  Kumekuwa na kuibuka kwa makundi mengi ya whatsup yanayohamasisha kuekeza pesa na kupata pesa Kama vile bc investment, million money,olvat na makundi mengine meng Hivi haya makundi ni kwel nduguzanguni Sent using Jamii Forums mobile app
 3. mumewanguu

  Makampuni ya uwekezaji WhatsApp

  Nimeingia Whatsapp nimeona magroup yanahamasisha uwekezaji na faida yaani unawekeza laki baada ya siku mbili yazaa asilimia mia moja. Hivi ni kweli au watu wanatumia fursa? Sent using Jamii Forums mobile app
 4. mumewanguu

  Ndoa tamu ni ya mpenz wa kwanza

  Amini usiamini,endapo watu wanaoanza mapenz wataoana Yan namaanisha mabikra ndoa yao huwa na furaha na Mara nyingi hudumu Hii ni kutokana na ukweli kua kila mtu hajui mpenz mwingne yaan hafanyi comparison hivo kila mmoja anamwona mwenzie mtamu tu Sasa jichanganye uoe janamke limechezea kila aina...
 5. mumewanguu

  Sultan inarud Tena leo

  Wale team sumbula , team gula ,team daihatun burudani imerud Tena Leo saa 2 kamil
 6. mumewanguu

  Ushauri kuhusu hili pochi la pesa

  Wakuu, kuna mtaalamu mmoja anadai anatoa pochi ya ajabu ambayo kila asubuhi unakuta pochi limejaa mipesa. Pesa hizo sharti lake ni zitumike siku hiyo hiyo zote, isibaki hata senti. Kesho asubuhi unakuta zingine, yaani daily, ila usipozitumia zote usimlaumu mtu. Hebu nipeni ushauri, nichukue ama?
 7. mumewanguu

  Nipeni uzoefu wa muhimbili hospital

  Nimeandikiwa muhimbili ,je gharama ya mapokez Bei gan Cna ndugu dar nitawezaje ku survive
 8. mumewanguu

  Utupaji vyupi mto wa mbu

  Nimeskia Kuna kabila Fulani mjini Arusha Lina sifa ya kua na mabinti warembo Sana Mabinti hao wakitoka makwao kuja mjini Arusha wakifika mto wa mbu huwa wanavua chup ndani ya gari na kufungua vioo na kutupa mtoni Yaani wanaingia mjini bila chup!!!! Kwa Hali hii tutapona kweli
 9. mumewanguu

  Karanga zimenifanya nijae mindevu

  Wakuu ni mwezi Sasa Kila siku ninakula karanga robo kilo ,nimejikuta naongezeka mindevu Kama Osama Je ni nn kipo kwenye karanga kinachopelekea ndevu kujaa?
 10. mumewanguu

  Nahitaji kutumia bati zilizokataa kushika rangi kiwandani AKA reject

  Kuna bati zinauzwa mtaani yaani ni mpya sema rangi yake imebabuka babuka haijashika vizur nahitaji kuzitumia katika ujenzi wa nyumba Mana Bei ni rahisi 13000 ft 10 Je Kuna yeyote anayejua vizur ubora wa bati hz
 11. mumewanguu

  Ninafanya mazoezi je no vyakula gani vya kutumia ili kujaza misuli ya kifua na mikono

  Wakuu Kama kichwa Cha habar kinavyojieleza nahitaji niwe na body ninafanya mazoezi je Nile nn ili nijaze misuli
 12. mumewanguu

  Kwanini vijana wasomi wanayumba sana mtaani?

  Utamkuta mtu mwaka wa saba Sasa anakaa kwa shemeji yake kaz kupiga story tu Nina degree Mimi usinione hivi. Ina Mana vijana degree zenu huwa ni kifungo kinachokuzuia kufanya shughuli zingine za kuingiza pesa wakati ukisubir hiyo ajira, kumbuka sku hz wasomi wengi tofauti na zaman, zaman...
 13. mumewanguu

  Nimenyimwa unyumba niende nikashtaki wapi

  Wakuu Leo ni siku ya tatu shemeji yenu yaani mke wangu kaamua kuficha uchi,Sasa sitaki kutumia mabavu Mana nitakua Kama nabaka Nipeni ushauri niende ustawi wa jamii au dawati la jinsia?
 14. mumewanguu

  Tuongelee salamu ya shikamoo

  Binafs Mimi huwa nawasalimu watu kwa za saa hizi ndugu ,au asalam alaykum lakin Kuna baadh ya watu hasa walionizid umri huhisi Kama Nina dharau na Sina heshima,wakuu hivi hii salamu Ina Mana gani Kwanza ,na kwann watu wazma mpaka wasomi wanashadadia?
 15. mumewanguu

  Truvada zakosekana Tanzania

  Kwa wale wanaouguza wagonjwa hasa wa homa ya ini na matabibu wataunga mkono hoja,dawa pekee ambazo humpa nafuu mgonjwa ni truvada ila Cha kusikikitisha dawa hizi zimekua adimu Hali inayoathiri afya na uchumi wa familia yenye mgonjwa,mwezi uliopita kitengo Cha CTC kilidai dawa hizo hazipo kabisa...
 16. mumewanguu

  Truvada hazipo hospital za rufaa

  Wataalam wa afya mliopo humu kumetokea kuadimika kwa dawa za truvada CTC je hili swala ni la taifa zima? Na je dawa hizi zaweza patikana madukani japo watu wanunue kwa pesa? Na je ni ipi dawa mbadala Kama hii haipo ,toa ushauri tuwe serious Kuna watu afya zao zipo hatarin hasa watu wa hepts b
 17. mumewanguu

  Wasichana wenzie wanamsifu eti hongera mumeo mzuri

  Mke wangu amekua akisifiwa sana na mashost zake mpaka dada zake eti mumeo handsome afu Mimi nikijicheki najiona wakawaida tu lakin kumbe wakiniona wanalowesha chupi kudadeki
 18. mumewanguu

  MZIMUNI ndani ya hostel za usagara tanga

  Naomba niwaulize Leo wakuu mbalimbali mliowahi kupita usagara miaka hiyo ya zamani,pale hostel za usagara Kuna room inaitwa MZIMUNI karbu na WEST PARK inasemekana Kuna kijana alipotea katika chumba hicho alipokua akijisomea yaani alipiga kitabu mpaka aka disappear na alitafutwa hakuonekana na...
 19. mumewanguu

  Chuo cha kafundisha operator wa mitambo

  Natafuta wanapofundisha operator wa vijiko,grader, focal lift, na mitambo mingine
 20. mumewanguu

  Vitunguu saum vinanipa maumivu ya kichwa

  Nimeanza kutumia vitunguu saum ila napata maumivu ya kichwa sana na homa Kali tatizo ni nini?
Top Bottom