Search results

 1. Ze Rock

  Katika kukuza utalii, tutumie wageni wa kimataifa kutangaza vivutio vyetu

  Wana JF, Hivi katika kukuza na kujitangaza ktk utalii wetu hasa kwa watu wa nje, wa ndani nitarejea tena itakuwa topic inayojitegemea. Hivi ni vigumu sana kuwasiliana na Club kubwa kubwa duniani zenye mashiko ktk nyaza/ medani za kimichezo zinazo tazamwa zaidi duniani kuwashawishi waje wapate...
 2. Ze Rock

  Dkt. Tulia Ackson: Ikiwa mtumishi alichangia mfuko wa jamii, kuna ulazima gani wa mstaafu kukusanya documents wakati wahusika wana taarifa zake zote?

  Wasaaalam wana JF! Leo kwenye bunge, kipindi cha maswali na majibu kuna, mbunge alionyesha malalamiko ya ucheleweshwaji wa Mafao kwa wastaafu katika maeneo mbali mbali Tanzania. Katika kujibu Naibu waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Ajira). Alijibu swali hilo kuwa wastaafu wanapata...
 3. Ze Rock

  Kwenye Elimu ya msingi kuwe na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo ndiyo msingi wa kimaisha uliopo

  Habari wana JF Hivi kuna ubaya kwenye masomo ya elimu ya msingi kukawa na somo linalotoa elimu juu ya vitu ambavyo kimsingi ndiyo msingi wa kimaisha uliopo hasa ukizingatia mabadiliko ya kiuchumi yaliyopo. Napenda kutoa mifano kama unaweza kuongeza nondo zaidi katika kuchangia siyo mbaya...
 4. Ze Rock

  Wapiga makofi Bungeni

  Habarini za muda huu wana JF, Hoja yangu kuu hapa ni yale makofi wanayopiga wabunge pindi mtu anapotoa hoja au anapojibu hoja/swali n.k Nimeona niulize wezangu kama munaelewa mantiki ya wapiga makofi hasa pale mtu anapoongea hoja dhaifu kabisa, nilitegemea wabunge watulie na kusikitikia hoja...
 5. Ze Rock

  Ulishawahi kuokota fedha alafu na wewe ikakupotea?

  Wasaaalam! Kwa kweli hapa naweza kukiri maumivu ya kupoteza hela ni makali sana ilishawahi kunitokea... KISA CHENYEWE....... Kuna siku kidume nimetoka zangu maskani uswahilini, nikiwa naelekea kwenye mishe zangu town. Ile kona ya kwanza ya pili daaaah! nikicheck chini nakuta noti mbili za...
 6. Ze Rock

  Malanda yageuka kuwa samaki

  Wasaaalam wana jf Kuna siku n asubuhi na mapema niliamka nikaenda kuchukua malanda, haya ni yale mauchafu mafundi selemala wanayapata wanapofanya shughuli zao za kulanda mbao. Siku hiyo nilikuwa apeche alolo sikuwa na mia mfukoni ila ndiyo siku zilitengenezwa pombe kibwena pale bush. Sasa...
 7. Ze Rock

  Siku tuliyoharibiana kazi

  Nawasalimia wana Jf kwa tabasamu [emoji4] ohhho kumbe nimevaa barakoa 🤣 Anyways miaka ile ya black and white wahenga sisi tulikuwa tukitoka maskuli hasa tuliokuwa tumebahatika kutoka bush kuja town kusoma yaani tulianza kuzoea kushika shika hela na tukirudi home issue kubwa ilikuwa ni kusaidia...
 8. Ze Rock

  Uchu wa nyama ulivyopelekea kumkumbatia chui

  Wana jf salaaaam! Kisa chenyewe. Kuna siku wazee flan walipita maskani wakasema wanaenda porini kusaka kitoweo, nilivyosikia hivyo kidume mate yakanitoka hata kabla hatujakipata kitoweo chenyewe na kwa vile wale wazee nawajua ni wazee wa kazi hizo sikuwa na wasiwasi kabisa nikajua hapa ni...
 9. Ze Rock

  Ushauri wangu kwa wanaozitema pisi kali

  Salaaaam, Jamani jamani mukiwashindwa badala ya kusema sijui nimemtafutia mchepuko mara nimemtimua mara nimemuacha kiaina basi muendelee tu na maisha yenu bila purukushani. Na tena mutoe muongozo kuwa mumeziacha na tukija dm kuomba mawasiliano toeni ushirikiano tusaidiane majukumu, ili sisi...
 10. Ze Rock

  Tulirukia gari kutahamaki tupo kambi ya jeshi

  Mambo vp wadau? Niende kwenye kisa moja kwa moja. Ile tabia ya kuangalia movie za Rambo na komando kipensi enzi za utotoni zilipelekea wengine kuzi apply kwenye real life🤣🤣 ndiyo yaani unaangalia movie alafu ukitoka hapo kwanza unajiona wewe ndiyo Rambo alafu mtu akikuzingua unajisemea moyoni...
 11. Ze Rock

  Uzuri wa kitu upo machoni mwa mtu

  Waiter mwambie Dj apunguze sauti ya mziki kidogo naongea na ma greater thinker.... Hi Jf members! Leo bhana tulikuwa kama kaubishi flan hv katika kilinge chetu cha kujitafutia kipato. Kama kawa akaja jamaa mmoja hv akaanza tu ghafla na story ya kuwa anamiliki Pisi moja kali kwa mujibu wa sifa...
Top Bottom