Search results

 1. adsense master

  Msaada: Toyota Voltz inakula mafuta lita moja kwa 7km

  Habari za jioni watu wa mungu poleni na mihangaiko ya siku nzima, Hivi ni sahihi kwa gari yenye cc 1790 kula mafuta kiasi hcho au ni gari yangu tu,maana juzi nlikuwa na jamaa yangu anadai ni mafuta mengi sana hayo jaribu kuichek. Je ni sawa au? Na kama sio sawa nini kifanyike?
 2. adsense master

  Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

  mkoa wa mbeya una neema sana...maji ni 24hours mpka uswahilini...nko iwambi majengo mapya presha ya maji mpaka ndoo inaanguka..karibuni mbeya
 3. adsense master

  Mnaojenga nyumba, kuweni makini na watu mnaowaomba wawalindie nyumba zenu

  Habari za jumapili wakuu. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza nmekutana na thread moja humu jf. Kwamba mlinzi unayemuweka kulinda nyumba yako anaweza kukuchezea(kukuloga ukasahau nyumba yako) kiukweli sijawahi jua kitu kama hcho sasa wakuu naomba msaada ndio niko process za kutafuta mlinzi...
 4. adsense master

  Naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa

  Kujenga na kumaliza nyumba inategemea na quality ya materials na finishing yako,kwa nyumba standard atleast na wewe uonekane unaenda na wakati kwa nyumba zetu hzi za kisasa,atleast uwe na 40+,chini ya hapo utapata nyumba ya hadhi ya chini sana na hapo uko benet na fundi sio unajenga kwa simu.
 5. adsense master

  Ujenzi wa nyumba kubwa ya familia kwa Morogoro

  inategemea na wewe unfanya finishing ya aina ipi? ila kama una kiwanja tayari na kujenga nyumba yenye hadhi kidogo sio ilimradi nyumba andaa 45M+
 6. adsense master

  Ni vitu vya aina gani unaweza kufanya ukatengeneza pesa kupitia mtandao au online kupitia smartphone yako

  ukiingia playstore ukitaka download app ya mtu utaona hapo juu CONTAINS ADS means kuna matangazo humo ndani yanayowaingizia pesa ,pia kuna option kama hutaki matangazo (ku wengine yanawakerea ) kuna option ya APP IN PURCHASE yan unalipia hela kidogo kwao then matangazo hutayaona MWISHO:Hakuna...
 7. adsense master

  Ni vitu vya aina gani unaweza kufanya ukatengeneza pesa kupitia mtandao au online kupitia smartphone yako

  kama mtumiaji wa app naimani ushakutana na matangazo ndani ya app ,tangazo jingine lina popup...yani linaziba scrreen nzima ya simu ....
 8. adsense master

  Ni vitu vya aina gani unaweza kufanya ukatengeneza pesa kupitia mtandao au online kupitia smartphone yako

  hzo zote juu unaweza make hela ila ni mlolongo mrefu mnoo wazo konki ambalo wengi hawafahamu ,tafuta developer mzuri wa mobile apps (hzi application unazoona playstore no body doing for free kukuwekea ww app ufurahie wanaingiza pesa) ...app nzuri status saver,funny video,then akiwekee matangazo...
 9. adsense master

  Je, ulianza ujenzi ukiwa katika hali gani kiuchumi/ kipato?

  nmenunus kiwanja last month 18M ..hapa nina 50M najenga dream house sina haraka mdo mdo am 28yrs ,kwanza nawaza kuvuta ndinga nyingine ujenz ni process
 10. adsense master

  Haya maisha haya! Acheni tu

  hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 11. adsense master

  Bodi ya Mikopo ongezeni tozo walau ifike 20%

  Mkuu kama unaona hyo 8% ni ndogo nenda heslb ulipe kwa mkupuo inakubalika hyo wengine bado tuko mtaani mwaka wa 4 huu.
Top Bottom