Search results

  1. billionea alpha

    Je, majina ya walioomba kusoma kozi za VETA yametoka?

    Habari zenu wakuu? Niende moja kwa moja kwenye swali langu,wakuu nina mtoto wa shangazi yangu yupo hapa kwangu, aliomba kusoma VETA kwa ufadhili wa ofisi ya waziri, lakini tokea afanye maombi, yapata mwezi sasa kimya. Ombi langu kwenu, kwa wenye fununu au taarifa, naomba mwongozo kwenye hili.
  2. billionea alpha

    Msaada wa mawazo ,ushauri kwa kijana wangu

    Wakuu nakuja kwenu hapa,nikiwa na ombi la ushauri na maoni kwa kijana wangu. Ipo hivi na kijana wangu (mdogo wangu), ambaye anataka kujiunga na masters (masters of art in revenue law and custom) ,je wakuu mna ushauri gani kuhusu dogo,asome hiyo au ailipi? Wajuzi wa mambo karibuni.
Top Bottom