Search results

 1. A

  Tulipokuwa primary,unakumbuka?

  nimekumbuka mbali sana nilikuwa na safari buti nilizivaa kuanzia darasa la pili hadi la nne haziishi siku moja nikavizia madingi wametoka nikaenda kukitupa kimoja katika shimo la maji machafu ili ninunuliwe chachacha za Burundi.
 2. A

  Kisa cha Mmakonde

  Duh X-paster we mkali unatisha kama njaa.
 3. A

  Nilivyompenda Lydia Ngosha - Miss Mwanza

  Mzee Mwanakijiji we balaa kwa story kwa kifupi ni hadithi nzuri kama itawezekan uwe unatunga vitabu kabisa hata wale ambao kwao ni vigumu kutumia mtandao waweze kupata uhondo pia
 4. A

 5. A

  Mpenda kula kwa watu.

  Duh hiyo kali ya mwaka sasa hiyo ndoo vipi alipewa?
 6. A

  - !!- Busu Kabla ya Kifo -!!-

  Hongera sana mwanakijiji hadithi nzuri sana
Top Bottom