Search results

  1. K

    Uchaguzi 2020 Mambo yatakayoishangaza dunia Uchaguzi wa Oktoba 2020

    Nikitazama mbele kuna mambo yatamshangaza Magu ktk uchaguzi huu kama ifuatavyo; 1. Tofauti na ilivyokuwa 2015 miamba miwili yaani Kikwete na Lowassa walikipasua chama na kuwa mapande mawili lakini mapande yenyewe yalianzia juu na baade kushuka chini taratibu, kipindi hiki cha 2020 ni kwamba ccm...
  2. K

    Rais Magufuli okoa wilaya ya Itilima

    Kwa heshima kubwa ninakusalimu na nakupa pole kwa kazi ngumu ulionayo, Mh.Rais kuna mfanyabiashara ameifanya hii halmashauri shamba la bibi kwa miaka mingi na hakuna kiongozi aliyewahi thubutu kumdhibiti, huyu bwana ameshindikana, ana mizizi mirefu sana laikini naamini haijafika hapo Ikulu. Huyu...
Top Bottom