Search results

 1. M

  Kukariri darasa

  Wakuu Habari, Naomba msaada wa kujua ni njia gani zinaweza kutumika kukariri darasa kwa mtoto aliekuwa kidato cha kwanza na ambae nahitaji arudie tena kidato hicho hicho kutokana na ufaulu wake kuwa hafifu.
 2. M

  Kampuni za simu (nje) zahaha kwa ujio wa whatsapp call

  Whatsapp, the world's most popular smartphone instant messaging platform, has started rolling out voice services as part of its application (Android users only for now), striking fear into the hearts of mobile telecommunications industry executives everywhere. The company, now owned by...
 3. M

  mapokezi

  Kuna jamaa mmoja alikua na makengeza na alikua na matatizo kua kwa mbali aliweza kuona vizuri lakini akiwa karibu ni matatizo.Basi ikatokea siku moja alikwenda airport kumpokea babaake. baada ya kufika Airport na kwa vile alikua kachelewa akamuona babake yuko nje amesimama na begi lake. basi...
 4. M

  mume mwenye wivu

  Mume mwenye wivu alipokua ofisini alipiga simu nyumbani kucheki kama mke wake yuko nyumbani, mke akamjibu yuko nyumbani, akamwambia siamini na kama uko nyumbani washa blender. Mke akawasha blender na mume akaridhika. Ilipofika siku ya pili mume akamuuliza tena na mke akajibu yuko nyumbani...
 5. M

  nokia asha 300

  naomba msaada kwa mwenye uelewa wa kunisaidia kutatua tatizo la 'security code' kwenye simu ya nokia asha 300 (rm-781). kwa bahati mbaya code niliyoweka kwa sasa haikubali kufungua na sijui tatizo ni nini.
 6. M

  Blackberry Playbook

  Wakuu tatizo langu ni Blackberry Playbook yangu haingii charge kabisa. Mimi huwa natumia charger ya smart phone ya Blackberry, na pia nimejaribu kucharge kupitia computer (usb) pia sikufanikiwa. Naombeni msaada kwa mwenye kujua.
 7. M

  India

 8. M

  Helpdesk

  Telephone Conversations with helpdesk Helpdesk: What kind of computer do you have? Customer: A white one... ==== Helpdesk: Click on the 'my computer' icon on to the left of the screen. Customer: Your left or my left ? ==== Helpdesk: Good day. How may I help you ? Male customer...
 9. M

  British firm urged to pay Tanzania Sh4.2bn (RADAR)

  British MPs have demanded that BAE Systems pay the Tanzanian government £29.5m (TSh73.8billion, Ksh4.2bn) in full and immediately - or face legal action. BAE, a British defence company, agreed 16 months ago to pay the sum as part of a settlement with the Serious Fraud Office (SFO)...
 10. M

  Athari mbaya 'energy saver bulbs' zinapopasuka

  Kwa kweli matumizi ya hizi 'energy saver bulbs' kwa sasa ni makubwa na watu wengi sana wanazitumia hizi bulbs. Kwa tahadhari tuwe waangalifu sana mara inapopasuka maana madhara yake ni mabaya sana (kama inavyoonekana katika attachments nilizoweka)
 11. M

  airtel internet 200mb bonus

  Kuna kitu kinatendeka kuhusu hii airtel internet. Wao wamekuja na offer wanakupa 200mb free ukiongeza credit kabla ya saa 6 usiku, sasa cha kushangaza nimekuja kugundua kwamba ukiweka credit na ikifika saa 6 usiku na ukaanza kusurf basi kama ulikuwa na mb zako zilizokuwa kwenye (malipo ya...
 12. M

  uchovu wa mwili

  Mimi nina matatizo yanayonisumbua kwa muda mrefu bila ya kujijua, niliona kua ni hali ya kawaida kama ilivyo kwa binadamu wengine lakini kumbe sivyo. 1. Mimi ninakua na uwoga sana kwa kila kitu. 2. Pia siishi kuwa na mawazo na lolote linalonisibu hua halitoki akilini mara moja. 3. Ninakua...
 13. M

  waganga wetu na utapeli wa kimataifa

  Mganga wa kitanzania ashikwa kwa kuwadanganya watu mbinu za uongo za kutengeza pesa. ...angalia attachment .....
 14. M

  worldometers

  wakuu hebu chekini hii web site. http://www.worldometers.info/
 15. M

  Mr loo

  Kampuni moja ya jijini ilimtuma dereva wake kwenda airport kumfuata mchina mmoja ambae anakuja kufanya kazi katika kampuni hiyo. Dereva alipata maagizo pamoja na karatasi inayoonyesha LOO (jina la mchina)na kuambiwa ndege anayokuja nayo mchina huyo ili wakati watu wakitoka aionyeshe. Dereva...
Top Bottom