Search results

 1. K

  Wizara ya Nishati na Madini Watawazuia wananchi wa kawaida kupata fulsa ya sekta ya gesi

  Kutokana na fulsa zilizotakiwa watanzania waweze kusoma masuala ya gesi na mafuta lakini mpaka sasa nafasi hizi kwenye website ya wizara ya madini zimefungwa na wajanja wachache hili zisifunguke na watoto wao wakiwasambazia ujumbe na kuwapa tangazo hilo . Je waziri analifahamu tatizo hilo au nae...
 2. K

  Kiwango cha mishahara kwa fresh graduates kilichowekwa na serikali

  kwenye vyama vya siasa wanalipa mpaka 1,000,000 kazi za ukatibu wa wilaya
 3. K

  Uchaguzi CCM Sumaye apaniwa Hanang

  ​kwanini asingegombea ukatibu au unaibu katibu wa CCM wilaya ambao moja kwa moja wanaingia NEC?
 4. K

  Gazeti la Mwananchi na hongo toka Mgodi wa Barrick

  Kazi hipo sasa kumbe ndio namna ya kuyafumba magazeti yetu mdomo? nadhani wakishindwa kwa njia hii basi watayanunua kabisa na kuyazima kama enzi za rai ikauzwa na kuchinjwa kabisa
 5. K

  Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

  kama kuna uwezekano watu wanase mawasiliano ya wabunge wa zamani wa majimbo hayo lazima watakuwa wamewatuma vijana hao hili wakiwaua ufanyike uchaguzi mdogo wapate kurejea bungeni
 6. K

  Madalali wa kuwatafutia watu kazi

  ​kampuni hizi zinamadhara makubwa sana kwani zinapelekea ukilitimba wa ajira....koo zenye influence na kampuni hizi ndizo wanapata kazi nzuri lakini wengine wanabaki kutuma CV tu
 7. K

  Madaktari Ocean Road watoa tamko kuunga mkono Mgomo; Waweka vifaa chini

  tatizo si madaktari tatizo ni wananchi sisi hatuna mkataba na madaktari bali tunamkataba na serikali ambayo ndio tumeiweka madarakani hivyo basi tunatakiwa tuwaambie serikali wahakikishe tunapata huduma ya afya pasipo kujua kuwa madaktari wamegoma au lah....hatuna mkataba na madaktari bali...
 8. K

  Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

  nimempa challenge tu ata mimi ni mskaji wangu pia tumezoeana kutaniana. Lakini kitu kikubwa ninachokiona anapenda kutoa mada nje ya mstari.....any way sikuwa na lengo la kumtukana wala kumdharau lakini ni lugha ya kumshtua tu mwanaharakati wetu.tupo pamoja
 9. K

  Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

  kwani wewe ndiye unaeamua hoja ina mashiko au haina mashiko humu kuna uhuru wa kuchagua mada gani unayotaka kuifuatilia , kama hupendi mada fulani elekea kwenye mada zenye msisimuko kwako sio kila mada lazima uchangie
 10. K

  Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

  kisichoeleweka ni nini ? au unatatizo la kusoma vizuri?....nilimpigia simu binafsi akatoa majibu hayo
 11. K

  Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

  nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo kitashinda Arumeru. Source:Nape Mnauye
 12. K

  Wanasiasa wameshindwa na wamechoka kuiongoza Tanzania,ni zamu ya wengine sasa

  Katiba inatambua wananchi ndi wenye nguvu na mamlaka .kama wameona wanasiasa wameshindwa njia ni moja kuwanyanganya madaraka na kuwapa watendaji
 13. K

  Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

  ni lazima tutunze rasilimali zetu na tusiache wageni pekee wanufaike nazo
 14. K

  CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

  ​jamani hiki ni kitendo cha kuwapongeza CUF na si kukumbusha migogoro yao na wapinzani
 15. K

  iPad 1 inauzwa

  ​naona zimeanza kushuka bei zikifika laki moja tu ndio watu wa kawaida tutaanza kuchekelea
 16. K

  Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

  ​muda ni hakimu mzuri siku zikifika watalipa waliyoyafanya
 17. K

  Nini kitatokea Wabunge wakizuiwa kutoa misaada majimboni mwao?

  Umasikini si siasa safi, si kwamba ukitaka kuwa mbunge au diwani kukunyime haki ata ya kusaidia ndugu zako. je mtu akiwa ametoa msaada wa kumjengea ndugu yake nyumba au kumsaidia kwa namna yeyote abanwe kugombea?
 18. K

  Kamati za bunge mnatuchefua

  se​rikali na bunge ni kitu kimoja ni mchezo wa kuigiza tu
 19. K

  Kauli za Jussa juu ya uchaguzi wa Uzini ni hatari kwa umoja wa kitaifa!

  jamani mwacheni huyu mwarabu jussa na nadhani tuache kumjadili kabisa kwani si mtanzania kwa sasa baba zake wadogo wote wameshakimbilia oman sasa nayeye anatafuta sababu ya kufukuzwa aende huko
 20. K

  Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

  kuna tabia ya Rostam kutuma watu waje kushamulia majadiliano na kuchafua mwenendo wa hoja lakini karibuni, kikubwa ni umma umepata ukweli juu nini kinachoendelea. kikubwa tunachokitaka ni wahusika kutoka katika mabank na BOT watole kauli yao wamefikia wapi na sakata hili kwani kila ukiwapigia...
Top Bottom