Search results

 1. B

  Kwa Mtaji huu wenye kipato cha chini watamiliki viwanja?

  Ni lipi serikali haijui kuhusu maisha na uwezo wa wananchi wake? Serikali inafanya tu makusudi na imewadharau mno wananchi wake na haina huruma japo serikali ni watu.
 2. B

  Alizwa Pesa na Hawara, Arudi Kwa Mkewe Kuomba Radhi

  Na ukimwi huu bado tu watu wako busy!!!!!!!!
 3. B

  Huyu ndiye mwanamke na thamani yake!!..

  Hivi kazi ni za ofisini tu? Mbona vijijini sehemu kubwa wanawake hawafanyi kazi za ajira (kama hizo ndio mbaya) na bado malezi ni duni? Nadhani ni mfumo wote umeenda kombo na sio tu wanawake eti wanataka kujilinganisha na wanaume. Na kama wapo si wote. Wako wanawake wanaofanya kazi na bado...
 4. B

  Hata simuelewi huyu mke

  Ongea na mkeo. Muulize ni nini kinaendelea. Muonye kuwa hupendi jambo hilo. Na endeleeni na ndoa yenu. Enaendelea kusisitiza usilolipenda mpaka nyumba inakaa sawa na ndoa inaendelea vizuri. Na wewe jiweke vizuri, sio unamlaumu mwenzio kumbe wewe hizo ndio zako.
 5. B

  Should you go for a DNA test?

  Sioni kwanini iwe taabu kwenda kufanya DNA test, ni sehemu tu ya kuhakikisha na ikibidi kuwekana sawa. Mbona wanaume wanahisiwa au kushukiwa vibaya na wanaulizwa? Si ili kuwe na uhakikisho kwamba lisemwalo halipo na kama lipo ieleweke kuwa halipendezi na liachwe. Ni kwa mtaji huo huo na DNA test...
 6. B

  Ukigundua Mke ama Mume wa rafiki yako anacheat utafanyaje?

  Siku huyo shemeji yako akikuletea tena lalamiko kuhusu mumewe, chukua nafasi hiyo kumuonya yeye kwa mifano mingi tu. Kama anajidai haelewi basi mpe la wazi kuhusu hiyo tabia yake ambayo unahisi anafanya. Rafiki yako akielezwa basi utachukua jukumu la kumueleza lililokuwa linaendelea na hatua...
 7. B

  Sheria na taratibu za kuasili (Adopt) mtoto Tanzania

  Unaweza pia kujaribu kupitia kwenye baadhi ya orphanage ukapata idea ya umri wa mtoto, jinsia, n.k unayekusudia kuadopt na huenda watakufahamisha utaratibu stahili. Vilevile utapata nafasi ya kujifunza mengi ikiwa na pamoja wengine walioadopt na ushauri mwingine mwingi. Ni mawazo yangu tu.
 8. B

  Family friend

  Faida na hasara za family friends zinategemeana na mambo mengi sana,mfano:nini misingi ya Ndoa yenu au mahusiano yenu. Misingi hiyo iko imara kiasi gani. Nini mtazamo wenu kuhusu hao family friends. Nini mipaka yenu,i.e.wapi family friends wanahusishwa na wapi hawahusishwi. Kuna wengine...
 9. B

  mke kuomba hela/service kwa wazazi wake hadi leo hii!

  Haya ni yale mambo ya msingi mliyopaswa kujadili miaka saba au zaidi nyuma. Lakini kama halikufanyika basi linapaswa kujadiliwa na kusimamishwa/kuzuiwa mara moja. Fedha ni mojawapo ya yale mambo yaletayo vurugu katika ndoa hivyo ni budi swala hilo liangaliwe kwa undani na umakini. Kwa wazazi...
 10. B

  Huu ni wivu au ni msimamo mkali?

  Ndoa ni zaidi ya maudhi ya mume, hivyo huyo dada hatumii busara kutokuwajali na wanae. Kwa mzazi wa kike aliyeimara na instincts za kike kweli lazima aone vibaya kurudi saa 5 usiku hata kama si kila siku lakini mara nyingi. Wakinamama mara nyingi sana wanajitahidi kila nafasi waipatayo kuwa...
 11. B

  UNSERIOUSNESS IN RELATIONS!....i hate it lots

  Relationships are very complicated.
 12. B

  Shukrani: Nimekutana Na Mkono Wa Mungu 'Live!

  Pole sana PJ na mungu akutie nguvu.
 13. B

  nifanye nini nimpate mwanangu?

  Kama ni wa kwako atakuja tu siku moja, ila kwa sasa sio vyema kuwaharibia huyo mama na mtoto hayo maisha wanayoisha. Muache mtoto awe in a stable home, as far as hali halisi ndio kama ulivyoielezea.
 14. B

  Mapenzi Na Mafanikio Ya Mwanamke

  Kuna zaidi ya hayo maendeleo ya mwanamke yanayozungumziwa. Endapo mliooana mnapendana na mna mipango ya pamoja, hilo huwa si rahisi kutokea. Ila kama mmekuwa na mahusiano yanayosuasua japo mpo ndani ya ndoa, then tegemea lo lote iwepo shule au isiwepo. Kiwepo kipato au kisiwepo. Ni kweli...
 15. B

  NImeanza kukata tamaa

  Kwa kweli nakubaliana kabisa na De Novo, hali ya nchi yetu inakatisha tamaa. Kila nikifikiri sipati jibu na sijui vizazi vijavyo itakuwaje. Elimu mbovu, biashara ni lazima uwe na mtaji mkubwa au utoe kitu kidogo ili usogee, hospitali ndio basi tena, polisi ukiwa na kesi ni lazima uwe na gari au...
 16. B

  Ulikutana wapi na mwandani wako?

  JKT 28 years ago.
 17. B

  Imeniuma sana

  Si vizuri kuadvocate wanandoa kuachana, lakini si vibaya kuelewa kuwa hiyo nafasi ipo. Saa zingine watu tunafanya vitu kwa kufikiria matokeo fulani hayawezekani kutokea. Kwa muda huo, huyo binti kwanza afocus kwenye afya yake. Hayo mengine yatachukua mkondo wake. Siamini kuwa mkosaji hawezi...
 18. B

  Imeniuma sana

  Pole zake huyo dada kwa yaliyomkuta. Huyo jamaa hana ujasiri hata kidogo. Alitakiwa tu kuondoka, kwani mkewe angefanya nini? Siku inayofuata angejua arudije nyumbani, na sio kumpiga mtu na kusababisha uharibifu wa kiasi hicho. Mbona Wanaume wana uwezo wa kuondoka nyumbani na hawaulizwi au...
 19. B

  Mbona wasema kosa langu?

  Kama huyo dada hakuwa na huo ujasiri wa kusema huko nyuma, ni vyema akaendelea na ujasiri huo huo. Leo akitaka kusema atakuwa anataka kuumiza watu wawili. Mumewe na MMJ. Kwa maoni yangu hilo si jingine bali ubinafsi na kupenda kuona watu wanasonononeka juu yake. Ingekuwa vyote tuvitakavyo...
 20. B

  Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

  Naipenda JF, mfano hakuna.Hata nichukie namna gani nikija JF, najikuta narudi panapostahili na kuendelea na shughuli ipasavyo. Thank you all.
Top Bottom