Search results

 1. K

  Msaada - Nauli za Ndege: Dar - Kanda ya Ziwa na Dar - Kanda ya Magharibi

  Wanajamvi naomba kujua nauli za ndege kwa maeneo haya au kama kuna mahali (mtandaoni naweza kupata) Dar - Mwanza Dar - Shinyanga Dar - Kigoma Dar - Tabora I know kuna safari za Dar - Tabora then unaweza kumalizia segment ya siku nyingine kwa kuwa ndege zinazokwenda Kigoma hutua Tabora kwanza...
 2. K

  Tanzania - Taifa la Wadanganyika Waliokata Tamaa na Wanaishi kwa Matumaini

  Mwanzoni mwa miaka ya 90 nikiwa pale UD, kuna siku majira ya saa mbili usiku, kulilipuka kelele za kushangilia ambazo zilitokea Hall 1, Hall 2, Hall 3 na Hall 5. Jirani yangu nae nilimsikia akishangilia; nilipomwuliza kulikoni Mlimani kumelipuka kwa shangwe? Boom limeongezwa? Jirani alisema dawa...
 3. K

  Bwana W. J. Malecela - Mwisho wa Uchaguzi Huu ni Mwanzo wa Maandalizi ya Uchaguzi Ujao

  Bwana William J. Malecela, Kwanza hongera kwa kujitosa kwenye ulingo wa siasa za CCM ili kupima kina maji. Mara baada ya matokeo hukusita kuja JF kuonyesha uungwana wako kutujulisha matokeo na what is next. Ukigombea nafasi yoyote ile kuna kushinda na kushindwa. Kuja wako kukiri kwamba kura...
 4. K

  Maoni Binafsi: Ujio wa Bwana James Ole Millya ndani ya CHADEMA

  Kwanza naomba niweke wazi kwamba mimi ni shabiki wa "mabadiliko" na nina amini kwamba mabadiliko yatakuja kwa kuiondoa CCM madarakani. Siamini kwamba hawa wanaojiita wana mabadiliko ndani ya CCM watakuja kutuletea mabadiliko kwa sababu yeyote atakayetaka mabadiliko ya kweli yenye kulenga...
 5. K

  Msaada: Ninahitaji info za miradi ya HADO na/au HASHI

  Wandugu, Kama kuna mwana bodi yeyote ambaye alishawahi kufanya kazi au bado anafanyakazi Mradi wa HADO (Hifadhi Ardhi Dodoma), nadhani makao makuu yake yalikuwa/yapo Kondoa; au mradi wa HASHI (Hifadhi Ardhi Shinyanga). Naomba awasiliane nami kwa njia ya PM, ninahitaji msaada wa info kuhusiana...
 6. K

  Msaada: HADO (Kondoa) or HASHI (Shinyanga)

  Wandugu, Kama kuna mwana bodi yeyote ambaye alishawahi kufanya kazi au bado anafanyakazi Mradi wa HADO (Hifadhi Ardhi Dodoma), nadhani makao makuu yake yalikuwa/yapo Kondoa; au mradi wa HASHI (Hifadhi Ardhi Shinyanga). Naomba awasiliane nami kwa njia ya PM, ninahitaji msaada wa info kuhusiana...
 7. K

  Sarakasi za CCM, Usanii wa Operation Vua Magamba na kuzaliwa kwa Zuma wa Tanzania

  Awali ya yote naomba niseme kwamba siweki hili bandiko kwa lengo la kuwatetea mafisadi, bali ninajaribu kufikiria nje ya sanduku kwa mapana na marefu ili kuona hila ya CCM katika kughilibu waTanzania wenzangu. Nimeipitia document ya KANUNI ZA UONGOZI NA MAADILI ya CCM (Toleo la 2002) ambazo...
 8. K

  Ubunge au Uwakilishi?

  Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hivi karibuni yamenifanya niwe na maswali hasa baada ya Dr. Shein kuanza kuteua wateule wake. Juzi aliteua wajumbe 8 wa Baraza la Wawakilishi kama Katiba ya Zanzibar inavyomtaka. Mmoja wa wateule hao ni Balozi Seif Ali Idd. Huyu mteule kwa bahati...
 9. K

  Witchdoctor sent to prison for duping Mugabe

  Ukishangaa ya Sheikh Yahaya na Kikwete .... utaona ya Mganga wa kienyeji na serikali ya Mugabe! Witchdoctor sent to prison for duping Mugabe HARARE A witchdoctor who misled Zimbabwean President Robert Mugabe’s entire Cabinet into believing that petroleum was oozing from a rock has been...
 10. K

  Elections 2010 Chama kinaruhusiwa kuteua mgombea mpya baada ya aliyeteuliwa awali kuenguliwa na NEC?

  Baada ya kusoma habari hii: NEC sasa kuengua CCM kwenye Gazeti la Raia Mwema nimepata mshituko kidogo. Kwa wale ambao ni wajuzi wa Sheria labda wanaweza kutusaidia kutuelewesha. Kwenye habari hiyo Mzee Kinana anasema kwamba: Kama deadline ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kutoka...
 11. K

  BBA 2010: Big Brother Africa All Stars

  ============= Housemates evicted so far: Hannington Sammi Lerato Tatiana Yakob Sheila Code Paloma Jen Meryl ============= Jumapili ya 18/7/2010 ile show maarufu ya Big Brother Africa itazinduliwa rasmi. Maandalizi yamekamilika na washiriki tayari wanajifahamu. Washiriki watakuwa ni...
 12. K

  Msiba Los Angeles - Mtanzania aliyepotea LA, akutwa amekufa!

  Takribani mwezi mmoja uliopita kulikuwa na tangazo kwenye blogs na hapa JF kwamba kuna dada yetu mmoja alipotea na akawa anatafutwa na ndugu zake. Taarifa iliyotolewa kwenye local TV stations za Southern California zinasema kwamba mwili wa huyo dada ulipatikana jana nyuma ya nyumba aliyokuwa...
 13. K

  Mambo ya kuji-express .... Vijana wanaougua saratani ya njia ya haja kubwa waongezeka

  Vijana wanaougua saratani ya njia ya haja kubwa waongezeka WANAFUNZI wa sekondari wa kike na kiume ni miongoni mwa wagonjwa walioathirika zaidi na saratani ya njia ya haja kubwa wanaofika katika taasisi ya saratani ya Ocean Road. Akichangia mada kuhusu ugonjwa wa saratani ya tezi ya...
 14. K

  Maji ya Mgodi wa North Mara yana sumu - Utafiti wa wana sayansi

  MAJI ya Mto Tighite ambayo yanalalamikiwa na wananchi wa Nyamongo wilayani Tarime mkoani Mara, yamethibitika kuwa hayafai kwa matumizi ya binadamu kwa kuwa yana sumu inayoua pole pole viumbe hai. Uchunguzi uliofanywa na wataalamu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakishirikiana na Chuo Kikuu cha...
 15. K

  CCM wana jipya lolote kutoka Dodoma?

  Ilikuwa ni weekend ya vikao vya CCM, kuanzia kikao cha Kamati ya Maadili, then CC na hatimaye NEC. Je, kuna habari yoyote ya maana kutoka huko kwenye hivyo vikao ambavyo vimetawaliwa na usiri mkubwa??
 16. K

  Elections 2010 Malecela ahofia CCM kuwa katika hali ngumu 2010

  Malecela ahofia CCM kuwa katika hali ngumu 2010 *ASEMA WABUNGE WENGI WATABWAGWA Jackson Odoyo na Neema Rugemalira MAKAMU Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, John Samuel Malecela amekitabiria chama hicho wakati mgumu katika uchaguzi mkuu ujao 2010. Akijibu swali la waandishi kuhusu ufisadi na...
 17. K

  Adobe Flash Player 10

  Wataalam wa IT, Nime-install Internet Explorer 8 kwenye computer yangu ikavuruga Adobe Flash Player. Kuna baadhi ya vitu siwezi kufanya bila ya kuwa na Adobe Flash Player 10. Kila nikijaribu kui-dowload inanigomea, naomba kama kuna mtu mwenye ujuzi wa easiest way ya ku-download na ku-install...
 18. K

  Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM

  Mufti Simba aagiza Waislamu waikatae CCM Na Ummy Muya BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kutokana na serikali kutupilia mbali ombi la kunzisha Mahakama ya Kadhi, Waislamu hawataipigia kura CCM katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010. Katika taarifa yake, Bakwata ilifikia...
 19. K

  US honours Kilango

  US honours Kilango DAILY NEWS Reporter, 26th March 2009 @ 10:39 The United States embassy today awarded Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, Mrs Anne Kilango Malecela, the 2009 Tanzanian Woman of Courage Award. According to a statement from the US Embassy...
 20. K

  MwanaHALISI kulikoni?

  Tangu Bwana Mongi atangaze kwamba amelipwa na Bwana Saed Kubenea gharama za ku-host gazeti la MwanaHALISI, hakuna update iliyofanyika mpaka hivi sasa. Nina ombi kwa Bwana Saed wa Kubenea kwamba tulio nje ya Tanzania ni wasomaji wazuri sana wa MwanaHALISI na usipo-update gazeti tunaokosa...
Top Bottom