Search results

 1. W

  Friji nzuri yenye matumizi madogo ya umeme ni ipi?

  Habari ndugu zangu.! Nina mpango wa kununua friji isiyozidi Lita 200. Napata shida katika kuchagua kwa kuwa sina uzoefu, Naomba mnisaidie kutambua sifa za friji ambayo haitatumia umeme(units) mwingi na jinsi ya kukagua dukani friji kujua hizo sifa. Nipeni uzoefu katika hili.
 2. W

  Kumiliki dry cleaner nyumbani

  Habari wakuu. Kulingana na ubachela na changamoto ya ufuaji natamani kumiliki dry cleaner ili kurahisisha swala la usafi. Pia kujua bei zake na uimara wake. Naomba ushauri kutoka kwa watu wanao zitumia majumbani na wana Jf kwa ujumla.
 3. W

  Ushauri kuhusu RAV4 Killtime 2003

  Habari waku.. Naomba ushauri juu ya Rav4 Killtime 2003 yenye engine 1Az ya cc 1990. Nahitaji ushauri kuhusu ulaji wake wa mafuta, comfortability pamoja na uimara. Nakaribisha michango yenu wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. W

  Msaada: Wakuu msaada kuhusu Note 3.

  Habari wakuu, Ninauliza kama ninaweza pata samsung note 3 mpya na original. Ninaipenda hii simu japo kuwa ni ya zamani. Please wataalamu naomba ushauri na jinsi ya kuipata simu tajwa....!
 5. W

  Uzoefu katika matumizi ya Incubator.

  Habari wakubwa., Ninahitaji kujua kuhusu incubator, efficiency yake katika utotoaji na aina zake kwa wafugaji wadogo dogo . Incubator za mayai kuanzia 48 - 200 and above. Kwa wale ambao wanazo majumbani mwao wakitoa aina ya incubator wanazotumia pamoja na uzoefu wazo, uzuri wake na madhaifu...
 6. W

  Sites nzuri za kununua viatu kwa njia ya mtandao

  Habari wakuu. Naomba kujuzwa sites nzuri kwa ajili ya kununua viatu mtandaoni na pia kujua namba za viatu za nchi yetu ukilinganisha na namba za mataifa mengine.... Inaonekana mataifa tofauti hutumia mfumo wa namba za viatu tofauti. Naomba kujuzwa ndugu zanguni... Mfano mimi navaa kiatu namba...
 7. W

  Ps3 games.

  Habari wadau.. Napenda sana gaming ambazo nilikuwa nafanyia katika pc ila baada ya latest games kuhitaji high specifications nikahamia kwenye ps3 ingawa nilitamani ps4 ila uchumi ukabana. Magemu yaliyonifurahisha zaidi ni the last of us na splintercell blacklist pamoja na fifa 18. Gameplay ya...
 8. W

  UTATA: MCHEZO WA BOXING

  Habari wana JF! Naomba kuuliza jamani kuhusu huu mchezo wa boxing. Hivi huwa wanaangalia vigezo gani hasa ili mtu kupata ushindi? Nimeona mapambano kadhaa lakini huwa yananipa changamoto kuhusu mshindi. Mara nyingi naona boxer flani atashinda kwa makonde aliyomtupia mpinzani wake na jinsi...
 9. W

  Msaada: Tablet yenye Microsoft Windows

  Wakuu naomba msaada nahitaji kununua tablet yenye OS ya microsoft windows ambayo nitaweza install applications za computer kama kawaida na iwe touchscreen. Nasubiri michango yenu wana Jamii, Thanks.
 10. W

  Nataka kununua samsung j7 au samsung nyingine nzuri

  Habari wakuu, Nimejichanga kufikia Tshs. 600, 000/-. Naomba kujua uzuri wa samsung j7 kwenye memory, battery na camera na durability, au kama kuna samsung aina nyingine yenye kiwango na nzuri kulingana na bajeti yangu. Nawasilisha wakuu, naomba michango yenu.
 11. W

  Mfumo wa TCU ni kikwazo

  Wakuu kabla ya mfumo huu wa TCU wanafunzi waliohitaji kujiunga na vyuo mbalimbali walichukua form za chuo husika na kutuma maombi ya kozi ambazo walihitaji kusomea na hii iliongeza chance ya mtu kusomea kozi inayoendana na malengo yake au dreams zake, lakini kwa sasa kwa kupitia TCU mtu...
 12. W

  Natafuta kazi, nimesomea misitu ( forestry )

  nina miaka 25, nimesoma forestry chuo cha SUA, natafuta kazi ya afisa misitu (forest officer ) au kazi yoyote inayohusiana na mazingira, nipo open kwa kazi nyingine pia maana mtaani pamekuwa pagumu kweli......!
Top Bottom