Search results

 1. Randy orton

  Bilioni 2 ni nyingi ila ndogo kwa Simba, Next time mfanye 5 kwenda mbele

  Hongera sana Simba na Vunja bei kwa makubaliano ya kihistoria mlioingia hii leo, kiukweli Simba imepiga hatua ukilinganisha na ilipokuwepo. Twende kwenye facts sasa. Uwekezaji uliofanyika ni wa shilingi za kitanzania Bilioni mbili (2) kwa miaka miwili. Kimahesabu, Kama Investor ( Vunja bei)...
 2. Randy orton

  Mjue Alka Yagnik, mchawi wa melodies za Bollywood na mafanikio ya Shahrukh Khan

  Alka Yagnik sio jina maruufu sana hata kwa wale wanaofatilia sana movies kutoka india. Huyu Mama ndiye muimbaji wa hits kubwa kama kuchi kuchi hota hai (na nyimbo nyinginezo zote za kwenye hiyo movie), Dil Laga liya na nyingine nyingi sana, pia anatajwa kama mmoja wa waimbaji wakubwa kabisa...
 3. Randy orton

  DC asiyependwa zaidi parapanda imelia

  Rais na Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania ameshaonyesha msimamo wake kuwa yeye ni Raisi anayesimama upande wa haki bila kujali wewe ni mnyonge, tajiri, mteule au mwanachama mwenzake. Hivyo baada ya kutangaza kuwa anahamia kwa DC's na RC's homa imewapanda viongozi hasa wale waliojigeuza Miungu watu...
 4. Randy orton

  Viongozi wa Serikali, ufuateni huu ushauri

  Huu ni ushauri wa bure kabisa kwenu viongozi wa serikali ya nchi ya Jupiter 1. Mnapaswa kujua kuwa kiongozi wenu mkuu amepata madaraka kwa mujibu wa katiba sio kwa kura za watu, hivyo basi katika yote mnayoyafanya hakikisheni mnafungamana na watu. Kama kuna kiongozi yeyote katikati yenu...
 5. Randy orton

  Bei ya Vifurushi itamuondoa mtu next week..

  Nafahamu kwamba huu mchakato wa kupandisha gharama za vifurushi ulianza tangia zamani, nafahamu pia moja ya mbinu za kisiasa ni kutengeneza tatizo na kulitatua mwenyewe hata kama ulikuwepo kwenye jopo la waliofanya maamuzi kufikia kupatikana kwa tatizo hilo. Serikali ina kiongozi mpya ambaye...
 6. Randy orton

  Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

  This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi...
 7. Randy orton

  Liverpool imethibitisha kuwa La Liga ni baba lao

  Timu ambayo imefungwa mechi moja tuu E.P.L na inaongoza kwa tofauti ya pointi zaidi ya 20 inapigwa nje na ndani na timu iliyopo nafasi ya 6 La Liga. Leo ndio mtajua kuwa huwa mnakaririshwa kuwa England is the best league Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Randy orton

  Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

  Kuna kila dalili ya jinai ya kubaka ikiwahusisha wanawake katika hii connection mpya mjini. Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria zetu Tanzania, mwanamke hawezi kuwa convict kwa kosa la ubakaji unless iwe gang rape na huyo mwanamke/wanawake wahusike katika kusaidia ubakaji kufanyika. Hii connection...
 9. Randy orton

  Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

  Kuna hii ngonjera na propaganda ambayo imetawala vichwa vingi vya mashabiki wa mpira kuwa E.P.L ndiyo ligi ngumu zaidi duniani. Kila siku huwa tunawapa facts huku kuwa England sio ligi ngumu bali timu zake zinakaribiana viwango watu wanakuwa wabishi hata unapowapa facts. Bahati nzuri huu mwaka...
 10. Randy orton

  Rais Magufuli tafadhali mulika TCRA

  Rais J.P.M amefanya mengi sana tangia ameingia madarakani, hilo ni jambo la kushukuru kwa kila mwenye nia ya dhati ya maendeleo ya taifa letu. Kuna sehemu moja tuu ambayo naona kuwa imesahaulika na imeshindwa kabisa kuendana na sera ya Rais ya kuwakumbatia wanyonge, sehemu hiyo sio nyingine...
 11. Randy orton

  Is it a coincidence?

  Silengi kuchochea udini wa aina yeyote ile ila najiuliza imetokea bahati mbaya tu au kuna namna nyingine kwa wale wanaoliwakilisha taifa vizuri zaidi kwenye burudani na michezo kuwa Waislam au kudai kuwa wao ni Waislam! Au wenzetu wana elimu mmbadala ya haya mambo au tena ndio baraka tuu za...
 12. Randy orton

  WW3: Diamond Platnumz Vs Diva

  Haya sasa tangia jana ni missile after missile... Inavyoonekana huyu Diva alikuwa na hamu sana Platnumz amjibu , maana tangia amejibiwa anarukaruka tuuu mara aseme hivi mara vileee, sahizi anaanza kusema Platnumz anamcheat tanasha as if hilo linamhusu.. Kapigwa moja tuu kaja na majibu...
 13. Randy orton

  Video ya“Kushoto , kulia “ wameiga Baba Lao

  Kwa style hii Mondi atabaki mawinguni miaka 800.. Ukiangalia video mpya ya Harmonize baadhi ya scenes/shots ni zile zile za kwenye nyimbo ya Baba Lao zimerudiwa save to trivial changes. Sasa nashindwa kuelewa huyu mtu amerudia kwa makusudi ili aongelewe au ndio yeye na Director wa hiyo Video...
 14. Randy orton

  Hii Samsung Note 4 inapata moto balaa

  Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.
 15. Randy orton

  Je, Liverpool anaandaliwa mazingira?

  Sote ni mashahidi wa namna Klopp ameibadili Liverpool, ameibadili kutoka mediocrity hadi kuwa miongoni wa zile Timu tishio ulaya. Kikwazo pekee kwenye mafanikio ya Klopp ni kiu ya Premier League ambayo hawajaipata Tangia Rais wa Tz akiwa Mzee Mwinyi, na anayeonekana kumzuia ni Pep Guardiola...
 16. Randy orton

  Jf Dustbin awards ... 2019 (Top 10)

  Kuzingatia kwamba moja ya slogan za JF ni “where we dare to talk openly “ kuanzia sasa hadi kufikia mwisho wa mwaka huu nitaweka hapa list ya post mbovu kabisa ( utumbo) zilizowekwa kwenye majukwaa mbali mbali hapa JF. Lengo , kuwarudisha watu kwenye mstari wa Great Thinkers, na kuwatoa kwenye...
 17. Randy orton

  Album 5 kali nilizowahi kuzisikiliza

  1. Thriller - Michael Jackson (MJ) 2. Year of the Gentleman - Ne -Yo 3. Blue print 3 - Jay Z 4. Uwe Macho - Rose Mhando 5 Bad - Michael Jackson (MJ) Je ni album zipi 5 ambazo unaamini ni kali zaidi kati ya zote ulizosikiliza?
 18. Randy orton

  Nafasi za Kazi kwa waliosoma business and finance

  *MACHMILLA BROCKERAGE COMPANY* invites applications on the following positions. *Position* 1. Credit/loan officer 2.Business Manager *Qualifications and experience* 1. Certificate/Diploma/Bachelor Degree in either Business, Accounts or Microfinance from a reputable University recognized in...
 19. Randy orton

  Natafuta Samsung S8

  Natafuta Samsung S8 ambapo ntampatia huyo mtu mwenye S8 iPhone 6 na fedha kiasi. Ambaye yupo tayari tuchekiane Pm
 20. Randy orton

  Samsung Note 4 inauzwa

  Samsung Note 4 inauzwa Storage 32GB Mawasiliano 0789 805 698
Top Bottom