Search results

 1. ikipendaroho

  Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

  Mshenzi tu huyu atakuwa hana roho ya kibinadamu! Kama unavosema rapists waliotiwa hatiani kwake yeye ni bora zaidi kuliko maulamaa waliotiwa hatiani!
 2. ikipendaroho

  Ujue Wasifu wa Hayati Kenneth Kaunda wa Zambia

  He was a true reflection of how Afrocan leaders must act on multipartism elections! May God bless his soul!
 3. ikipendaroho

  CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

  Wanachukuwa ruzuku kwa allocation zao zinazotokana na matokeo katika kura za uchaguzi na sio kwa kuwa na wabunge bumgeni. Wabunge nimoja kati ya allocations ikiwemo na ruzuku. Ruzuku haitokani na kuwepo wabunge!
 4. ikipendaroho

  Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

  Sijasikia neno humo ambalo halijawahi kutamkwa na Watanganyika. 1. Jee hakuna Watanganyika waliwahi kudai Tanganyika yao? 2. Hakuna Mtanganyika aliyewaonya askari polisi? 3. Hakuna Mtanganyika aliyewahi kuwapaka wenyeviti wa serikali za mitaa? 4. Huo ndio ugaidi?
 5. ikipendaroho

  Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

  Huyu alikwisha kiri tayari. Sasa ilitegemea kifanyike nini? Labda alikuwa atenguwe baruayake aseme alikuwa anaiogopa nundu!
 6. ikipendaroho

  Kisutu: Mahakama yamhukumu Mfanyabiashara Herbinder Seth Kulipa fidia ya Tsh. 26.9 bilioni

  Hizi pesa hebu tuandikie kwa maneno plz. Sitaki kugeuka kama yule mbunge wa kike bungeni
 7. ikipendaroho

  Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

  Naomba ututilie nukuu moja tu kutoka kwao inayohuniri uvunjifu wa amani. Kuhudu tindikali hiyo ni assumption zako tu, hawajawahi kushukiwa, kushitakiwa ama kuhukumiwa kwa kosa la tindikali navyombo vinavohusika. Wewi ni kama nani hata uwahukumu kwa kosa la tindikali? Wacha chuki zisizo na tija...
 8. ikipendaroho

  Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

  Wewe una hakika unaona pande zote mbili?
 9. ikipendaroho

  Bajeti ya Kenya ni mara mbili zaidi ya Tanzania,Je kuna tatizo gani?

  Tatizo ni la Wakenya wenyewe kushindwa ku manage, control au allocate financial resouces zao properly. Big spending doea not necessarily give good results!
 10. ikipendaroho

  Wazanzibar wafikisha rasmi kesi ya Muungano UN

  Namjibia! 1. Usaliti kwake yeye ni kudai haki na kukataa kumsujudia binaadamu mwenzako. 2. Hataki muungano uvunjike kwa sababu keshazowea dhuluma.
 11. ikipendaroho

  Wazanzibar wafikisha rasmi kesi ya Muungano UN

  Umewauliza Watanganyika waliokuweko.Zanzibar juu ya maoni yao.pia?
 12. ikipendaroho

  Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki

  Yageuze kibao mara ngapi?
 13. ikipendaroho

  CCM kumchukulia hatua za kinidhamu mbunge Catherine Magige na wenzie kwa kuvamia msiba na kukosa utu

  Ndio maana Waislamu wamepiga tofali wanawake kusindikiza maiti makaburini!
 14. ikipendaroho

  Watendaji Wizara ya Fedha wasimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha

  Kwani hiyo kazi maalumu inafanywa nje ya muda wa kazi? Huu ujinga wa kulipana posho kwa kufanya kazi uliyoajiriwa uifanye in the first place ndio mwanya wa kufanya malipo hewa. Kama ningekuwa na uwezo basi ningeshauri malipo ya hizi posho yaondolewe na kutafutiwa utaratibu uliokuwa justifiable...
 15. ikipendaroho

  Msukuma: Maprofesa wanatuchanganya; wakati wa Magufuli walisema hakuna Corona na wakati huu wa Samia wanasema tuchanjwe

  Kama Maprofessa walisema hakuna corona, ile.nyungu uliyopigq huku unajirikodi ilikuwa.ya nini?
 16. ikipendaroho

  Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

  Pengine alikata hiyo hiyo ya Darlington na na akashukia Newcastle kwa kuibia. Tushafanya sana mchezo huo utotoni kwetu. Kwa siku hizi inakuww ngumu, Wazungu washatushtukizia watu weusi.
 17. ikipendaroho

  IKULU, inakuwaje Rais anasimama upande wa kushoto halafu Dangote kulia? Hamna watu wa Protocol?

  Sasa unataka Rais apige hatua mojaya ziada kumfata Dangote ampe mkono. Hiyo ndiyo natural set up kwa sababu itamlazimu Dangote ainuwe mguu wa kulia kumfata Mama ili ampe mkono na mama kazi yake hapo ni kunyoosha mkono tu.
 18. ikipendaroho

  Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

  Uliposikia Zanzibar ukafikiria marinda yako moja kwa moja!
 19. ikipendaroho

  Lugumi anarudi kivingine, Watanzania tukae mkao wa kuliwa

  Ni huyu wa katikati aliyefunga mikono mbele kavaa T shirt nyeusi! Mbona sisi wa Tanzania tunapenda kila kitu kuwa spoon fed? Mimi personally simjui lakini nimetumia kichwa changu kufanya elimination. Kuna watu 2 tu hapo wanaoweza kuwa Lugumi ambao ni wanaume, raia na weusi. Kwa mkwnja aliokuwa...
Top Bottom