Search results

 1. Beira Boy

  Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

  Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili MUNGU awabariki kabla hamjaanza kusoma uzi huu Unajua hapa dunian kuna baadhi ya mambo unaweza usiamin kabisa kama kweli ni wewe au ni mwingine Na unaweza ukabaki unajiuliza jee nimewezaje aisee Bado siamin kabisa kama kweli toka kwaresma ianze ni siku...
 2. Beira Boy

  Jadon Sancho ni mchezaji wa kiwango cha juu sana

  Jadon Sancho Amani iwe nanyi wakuu, Ukweli lazima usemwe. Jana ndiyo mara yangu ya kwanza kumshudia huyu kijana kutoka kwa Queen Elizabeth ukimutizama ni kama vile mlaini kumbe jamaa ni mapafu ya mbwa. Akiwa na mpira huuchukui kizembe. Bado ana faida moja ya mbwembwe dah mshikaji ana mbembwe...
 3. Beira Boy

  Kama ulikuja Mwanza lakini hukufika Bugando na Samaki basi hesabu bado hujafika

  Aman iwe nanyi wakuu Yaan kama ulikuja Mwanza lakin hukufika Kawe kamo, Bugando na samaki bas hesabu tu wewe bado hujafika mwanza Hata kama ulifika sijui kolomije au chato lakin kama hukufika hizo sehemu tatu na ya nne BUJORA bas hesabu bado kabisa hujafika mwanza Ni hayo tu yaan haiwezekan...
 4. Beira Boy

  Je, ni kweli wapinzani ndiyo waliopitisha Sheria ya Utakatishaji Fedha/ Money laundering?

  Aman iwe nanyi wakuu, Nimekuta hapa kijiweni kuna mzozo mkali sana vijana wakidai kuwa sheria ya uhujumu uchumi ilipitishwa na vyama vya upinzan ili kuwakomoa mafisadi akina chenge Lakin mimi sijataka kuamini, ila nikaona isiwe kesi ngoja niibuke jamiiforum watakuwa na majibu mazuri zaidi...
 5. Beira Boy

  Naomba kuijua kura ya turufu inayoamua rais Amerika

  Aman iwe nanyi wakuu Naomba kuijua kura ya turufu ambayo ndo nasikia huwa ina amua nani awe rais hata kama wananchi hawaja mchagua Je kura hiyo huwa inapigwa na nan na akina nan Nawasilisha BOY FROM LONDON Sent using Jamii Forums mobile app ======================================= Kura...
 6. Beira Boy

  China aache uongo hana uwezo wa kujenga hospitali kwa siku sita

  Aman iwe nanyi. Huo ndo ukweli China aache kudanganya watu na asidhan kuwa kila mtu ni nyumbu. China hana uwezo wa kutumia siku sita kujenga hospital. Labda ajenge hospital ya mabua. Haya machuma chuma yake yana wadanganya mapopoma tu kuwa atatumia siku hizo. Jana ndio kaanza lakin mpaka leo...
 7. Beira Boy

  Je, Ndugu yake beberu wa Acacia aliyetaka kuipiga Ikulu ya Magogoni ni nani?

  Amani iwe nanyi wakuu Wakati juzi Rais Magufuli anashudia utiaji wa saini za madini alimwambia yule beberu kuwa ndugu yako alitaka kuja kuipiga Ikulu hakika angefia hapa hapa. Sasa swali la kujiuliza je huyo ndugu wa huyo beberu ni nani? Na alitaka aje apige nini Ikulu? Au tu jiwe alikuwa...
 8. Beira Boy

  Nimeota nimepanda juu Mlimani na nilipofika huko nikaona ni ushenzi sana kurudi chini

  Amani iwe nanyi wakuu Naomba kutafasiliwa maana ya ndoto hii Leo nimeota nimepanda juu kabisa mlimani Lakini baada ya kufika juu mlimani niliona tena kuna milima mingine ya juu zaid na zaid japo nami nilikuwa juu sana kwenye mlima mwingine Lakini nikaona ni ushenzi sana kurud chini yaani...
 9. Beira Boy

  Waziri Zungu hata wenzio walianza kwa mbwembwe kama wewe

  Amani iwe nanyi Nawasalimu wapendwa katika bwana. Jana nimemsikia Waziri mpya wa mazingira mara baada ya kuapishwa. Tofauti na jinsi nilivyokuwa namjua kuwa ni mtu mwenye kujali wanyonge kumbe siyo hivyo bhana jamaa jana tu kafungua makucha na kuanza kuonesha kuwa yeye ni mtu wa namna gani...
 10. Beira Boy

  Naomba tafsiri ya ndoto hizi nilizoota: Niko kwenye tamasha la mziki

  Amani iwe nanyi wakuu. Leo nimeota nipo kwenye tamasha la muziki natumbuiza. Baadae nikaota niko tafrija ya mziki. Baadae tena nikaota nakula chakula. Naomba mnisaidie nini maana ya Ndoto hizi Asanteni sana LONDON BOY Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Beira Boy

  Kahama: Msichana wa miaka 21 amuua mpenzi wake miaka 50 kwa tofali la kichwa

  Amani iwe nanyi wakuu Msichana mmoja huko mjini Kahama amemuua mpenzi wake kwa kumpiga tofali moja matata sana la kichwa. Baada ya kuzuka ugomvi wao ambao chanzo chake ni wivu wa mapenzi. Msichana huyo wa miaka 22 alikuwa akiishi na mpenzi wake wa miaka 50. NB: Wanawake mwaka huu...
 12. Beira Boy

  Je kwanini mwenyezi Mungu kaagiza warabu wauwawe na wawe wa kutanga tanga? bible inasema nini?

  Aman iwe nanyi wakuu Niko napitia bible hapa lakin nimeshangaa sana Neno la bwana limenena juu ya waarabu kuwa watakuwa wa kutanga tanga na hawata kaa kwenye nchi zao na watu wa mataifa watayaharibu mataifa yao Hivyo bwana kawaagiza waondoke kwenye nchi zao waende kwenye mataifa ya Raha Soma...
 13. Beira Boy

  Ni nani alishauri Mkwasa akae pembeni kabla msimu haujaisha?

  Aman iwe nanyi Naomna kuuliza kenge gan mpuuz gan alileta kocha mpya wakati Boniface mkwasa akiwa anafaa kabisa na kutosha kamili gado kwenye kiti cha ukocha wa yanga Mpuuz gan huyo anatuhujumu hapo jangwani Mkwasa alipaswa aachiwe hii team hadi mwisho wa msimu siyo kutuletea mshenzi mshenzi...
 14. Beira Boy

  Nyuzi za wahaya, wasomi, na wenye magari huwa sichangii kabisa

  Aman iwe nanyi wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Kuna baadhi ya nyuzi huwa sichangii kabisa aisee moja wapo ni hizo nilizozitaja hapo juu Nyuzi za wasomi yaan huwa naishia kuchungulia tu then nasepa maana hawakawii kukuongelesha kireno Wasomi ndo walio sababisha nikachelewa...
 15. Beira Boy

  Shabiki wa simba anayehojiwa Azam mda huu ni bingwa wa umbumbumbu

  Aman iwe nanyi wakuu Kuna shabiki wa simba anahojiwa na azam tv mda huu kuelekea mchezo wa simba na azam Aisee huyu ni bingwa wa mambumbu Ni mbumbumbu namba moja Hakika aden lage hakukosea LONDON BOY Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Beira Boy

  Dudubaya wewe ni mshindi daima

  Amani iwe nanyi wakuu Dudubaya ataendelea kuwa mshindi daima na hakuna wa kumzuia milele mpaka kiama. Haogopi na ana msimamo. Kawashinda Clouds media sasa anaelekea kuwashinda BASATA na mpaka muda huu kashampiga tatu bila January makamba BASATA acheni upuuzi LONDON BOY Sent using Jamii...
 17. Beira Boy

  Natafuta mke lakini awe usalama wa taifa, askari wa wanyamapori au kondakta wa mabasi ya mikoani

  Aman iwe nanyi wakuu Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Nikickek umuri wangu sasa naenda kugota 25 hivyo nahitaji mwenza wa kuwa naye maishan mwangu Lakin siyo tu nahitaji mwenza bali nahitaji mwenza mwenye sifa ninazo zitaka mimi Mimi huwa napenda sana hawa wadada makondakta wa...
 18. Beira Boy

  Wakati Yanga tukimushukuru Mungu mbumbumbu wao wanamshukuru mwanamama rukia

  Aman iwe nanyi wapendwa Wakati sisi yanga tukisema asante Mungu mwokozi wetu maana wewe unatoa ukitakacho na unatoa kwa utakaye na wakati utakao Pia tunaendelea kumwambia Mungu kuwa yeye ndo Alpha na Omega na anayestail kuabudiwa na kutukuzwa Wenzetu simba wanasema asante sana mwanamama...
 19. Beira Boy

  Yuko wapi mwenda kwa waganga Gentamycine kuelekea dar derby

  Aman iwe nanyi wakuu Yuko wapi mtusi gentamycine mwenda kwa waganga mkubwa Mbumbubu namba moja mtani wa yanga gentamycine popoma, an Angle Mbona sisikii tambo zake tena ashapima pima maji akaona kina siyo chenyewe akasepa? Au bado yupo kwa waganga wake huko chake chake pemba LONDON BOY...
 20. Beira Boy

  Basata, wimbo wa Ommy Dimpoz na Nandy umejaa matusi tupu

  Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Kuna ngoma imeachiwa hewan huko ya nandi ya ommy dimpoz lakin ukweli tu ni kwamba goma ni kali sana video nzuri lakin nandy kahalibu sana kaimba matusi mwanzo mwisho Kitu kingine hii ngoma ni ya ubaguz sana maana...
Top Bottom