Search results

 1. pascaldaudi

  The U S Ambassador who was killed in Benghazi

  Muongo, mbona hujatoa link?
 2. pascaldaudi

  Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

  vitu vingine ujinga tu. nyama ni mboga tu.
 3. pascaldaudi

  Mwampamba Amjibu Dr Slaa

  Kalaniwa huyu kijana! Nadhani CCM watawauwa vijana wote waliowatuma na kushindwa kazi ili kuficha siri, isije siku moja wakaanza tena kuropoka walivyotumwa. Maana mi sioni hoja. Mimi kunakipindi nilikuwa nafanya kazi kampuni binafsi tulikuwa tunakopeshwa kama motivation ya kuendelea kufanya kazi...
 4. pascaldaudi

  Hugo Chavez: WE LOVE AFRICA

  Jamaa namzimikia sana huyu.
 5. pascaldaudi

  Magufuli atekeleza agizo la Nape, amfukuza mkadarasi Ruvuma

  Nadhani mkandarasi hakuwa na tatizo. Tatizo ni hao wa 10%. Kama mhindi aligoma kutoa (kutokana na kuwa na uadilifu wa kutokutoa rushwa kuogopa kupunguza faida)
 6. pascaldaudi

  Kwanini Nelson Mandela alikuwa Kwenye terrorist list mpaka 1997

  Issue nyingine kubwa ilikuwa ni madini "resources". Kwani UK, na U.S. waliamini ANC ni makomunist na wanasaidiwa na makomunist hivyo wangeweza kuwagauka baadaya ya kuchukua uhuru wakati huo hizo nchi zilikuwa zinategema south africa kwa madini. Yaani ni kama ilivyo Congo leo
 7. pascaldaudi

  Thread gani maarufu leo?

  Usingekuwa mjinga wewe usingejibu, ila kwa kuwa umejibu basi wewe ndiye mjinga na unajaza server. tena inabidi nikushitaki kwa MoDs unachafua jukwaa. Wewe huoni hii imepostiwa Jit-Chat? Hujui hii ni lounge? Hapa ni pahala pa kupeana habari habari
 8. pascaldaudi

  Thread gani maarufu leo?

  Badala ujibu unashangaa, duh watu8 noma!
 9. pascaldaudi

  Thread gani maarufu leo?

  Njema kabisa!
 10. pascaldaudi

  Thread gani maarufu leo?

  Duh, sawa sawa
 11. pascaldaudi

  Thread gani maarufu leo?

  Wadau ndiyo nimeingia leo JF tangu Friday, je thread gani leo inawika?
 12. pascaldaudi

  Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

  Mdau huyu noma, hebu cheki There are currently 450 users browsing this thread. (91 members and 359 guests) pascaldaudi, YNNAH, gobore, CHAI CHUNGU, Dero, ESCO, chameli, Engineer2, SnowBall, Dr Kingu, Jidu, Speedy, joseeY, Zamaulid, Bhbm, iMind, Snipper, EXTERMINATOR, skendo...
 13. pascaldaudi

  Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

  Mjeda anapelekesha watu humu noma!
 14. pascaldaudi

  Nimepata kazi ya Tutorial assitant St. Francis Ifakara

  JF vituko sana. Jamaa kaomba ushauri wewe unamwambia a du dadaz!
 15. pascaldaudi

  Kusafiri/kupanda ndege

  Hivi kwa nini watu wanadhani eti ukipanda ndege "unakula bata"
 16. pascaldaudi

  Balotelli na Mancini wazikunja kavu kavu

  Na wewe ni kama kifurushi tu. Wenzako wanatalaamu wanasema anakiwango ila wewe bado unaleta majungu tu, duh! TZ waajabu sana.
 17. pascaldaudi

  Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

  Eliza unashangaa uzuri? wapo ila ndhani kikubwa ni jinsi wapendanao wanavyoheshimiana.
 18. pascaldaudi

  Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

  Mi nadhani huyu atakuwa na undugu na mwanakijiji. Nampatia big up
 19. pascaldaudi

  Profesor huyu alikuwa SUA Morogoro sasa ni mtu mzito Rwanda

  Acheni ujinga wa kinafiki. Hata mimi leo nikipata kazi Rwanda na kuwa ktk top position mtasema! Watanzania mtaacha lini kupika majungu? Mtu kama amekaa TZ miaka rudi bado unamuita mgeni? Mbona kama huyu jamaa kachangia kwa kiwango kikubwa ktk pato la taifa.
Top Bottom