Search results

 1. pascaldaudi

  Thread gani maarufu leo?

  Wadau ndiyo nimeingia leo JF tangu Friday, je thread gani leo inawika?
 2. pascaldaudi

  Kusafiri/kupanda ndege

  Hivi kwa nini watu wanadhani eti ukipanda ndege "unakula bata"
 3. pascaldaudi

  Kwanini mke haelewani na wifi?

  Wadau ni suala ambalo mie limenisumbua kidogo. Kwa nini wake huwa hawaelewani na wifi zao? Je ni ujinga wa wake? au? Yaani wakati mwingine unaweza kuta mke ni msomi anashindwa kuelewana na wifi zake ambao either ni wadogo au wakubwa hawajaenda shule, why? mwenye experience.
 4. pascaldaudi

  Licence key Hyper research-Msaada

  Wadau naomba mwenye kuwa na licence key ya hayper research. Natanguliza shukrani zangu
 5. pascaldaudi

  Rushwa na Ukweli ktk Chaguzi za Tanzania

  Rushwa na Chaguzi za Tanzania, Watanzania ni waaminifu sana. Si jambo geni na wala siyo mtindo mpya kwa wapiga kura kupewa vijihela (Tshs 1,500 labda mpaka 10,000) ili wampgie kura mgobea fulani bila kujali ana sela gani. Pamoja na kuwa kura ni siri, ila mtanzania uliyempa vihela akupigie kura...
 6. pascaldaudi

  Elections 2010 Kumbe Kashindye (MB-Igunga)........

  Anaweza kujidadavua vizuri sana!! msikilize hapa. Pia sikiliza jinsi Chama tawala cha 2015 kinavyo konga mioyo ya watanzania Vijana tuamke......
 7. pascaldaudi

  hatimaye Domokaya.........

  Hajaonesha...
 8. pascaldaudi

  Kiswahili kozi in Zanzibar..

  Hello Great of Great Thinkers!! Jamani nina jamaa zangu wanataka kuja bongo wakitokea ulaya, ila wanahitaji kusoma kozi ya Kiswahili, na sehemu wanayotaka kusoma ni wakiwa Zanzibar, sasa je kuna mtu anayefahamu sehemu ambayo ni: Nzuri kwa ufundishaji (wapo siriasi) Yenye kufikika kiurahisi...
 9. pascaldaudi

  Obama, anaongea kianaume leo!

  Wenye cnn tv au kwenye mtandao, live sasa hivi!
 10. pascaldaudi

  Hakika nimeamini Yesu anaweza yote!!

  Yesu kaniokoa na mabaya mengi ya dunia, asante Yesu Kristu, siku zote wewe ni mshindi!
 11. pascaldaudi

  Maalimu Seif siyo Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar?

  Great Thinkers, nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini vyombo vya habari (hususani magazeti=haswa mwananchi) kwa nini kwenye title zao huwa hawaanzi na title ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR? Mfano:Maalimu Seif ahimiza uwekezaji katika elimu
 12. pascaldaudi

  Cyprus officials resign after naval base blast kills 12 (Gongolamboto blast leaders still in power?)

  Great thinker, inasikitisha sana pale viongozi wa umma wanapokosa uwajibikaji. Hii inshu ya cyprus imetokea ktk mazingira kama ya Gongolamboto and the like, lakini viongozi wamewajibika bila hata kuchukua muda wa kuanza kubishana na vyombo vya habari. Nadhani tatizo ni vioingozi kudhani wao...
 13. pascaldaudi

  Rwanda-Siasa-Kagame ni msomi anayeelewa anachokifanya

  Msikilize hapa, http://cnn.com/video/?/video/world/2010/09/24/nr.velshi.kagame.intv.cnn
 14. pascaldaudi

  Rwanda Vs Uruguay (Live EUROSPORT)

  Kwa wale wapenzi wa kandanda unaweza kucheki mechi kati ya Rwanda na Uruguay, Eurosport TV Live 23.06.2011 Bongo tutafika kweli?
 15. pascaldaudi

  Police kahama-contact number

  Hello Great Thinkers, Naomba kama kuna mtu anafahamu contact za askali police yeyote kituo kikuu cha police Kahama anipatie, kuna issue inayowahusu nahitaji kuwasiliana nao.
 16. pascaldaudi

  Kumbe tembo wapo hivi!!!!

  http://www.cnn.com/video/#/video/world/2011/06/09/vo.india.wild.elephant.cnnibn?hpt=hp_c2 Source CNN.com
 17. pascaldaudi

  Wanaotuma watu kujilipua mabomu??

  Wadau, hivi aliyeanzisha watu kujilipua ni nani?? Hivi inawezekana kuja kuwa historia kwa watu kutambua kuwa huo ni ujinga na ni sawa na kuwa jambazi??? Mfano Nigeria, wamepiga kura lakini eti bado watu wanajitoa mhanga siku ya kupiga kura!
 18. pascaldaudi

  Rebecca Black!43,236 likes, 371,453 dislikes; view 35,613,780

  Wadau ni ajabu lakini ni kweli, huyu binti katoa single yake na viewer ni 35,613,780 na 43,236 likes, 371,453 dislikes; hii inaonesha wenzetu nchi zilizoendelea mtandao unavyotumika kutoa ulaji!! Sikiliza wimbo wake
 19. pascaldaudi

  Wachina!!!!!

 20. pascaldaudi

  Tssunami (Japan); Je IKULU ya TZ itapona kama yakitokea???

  WanaJF, hebu tutafakari uhusiano wa maamuzi ya serikali ya Nyerere ya kuhamia Dodoma na Tsunami, je endapo kama Tanzania itakubwa na Tsunami je IKULU yetu iliyokaribu sana na bahari itapona??? na je viongozi hilo hawalioni?? nadhani sasa ndiyo muda pekee wa kufikiria kuhamia Dodoma.
Top Bottom