Search results

 1. Mwanagandila

  Rasmi Ibrahim Ajib Migomba atia saini kuitumikia yanga miaka 2

  Yanga inaongozwa kizee sana, viongozi waliopo hawaenda na mfumo wa soka la kisasa.. Tazama Azam, Mbeya Situ, Singida United na Simba wanavyowatambulisha wachezaji wao, mdhamini anapata mileage kutokana na brand zinazofanyika, Singida United ya juzi tu lakini press zao kuna banner za wadhamini...
 2. Mwanagandila

  Yanga waanza na Buswita wa Mba FC,pia wamalizana na Haji Mwinyi.

  Huyo Pius Buswita ni kiungo? Buswita ni mshambuliaji, viungo wa mbao walikua Salmin Hozza na Innocent Njohole.. Sasa Lwandamina kama alitala kiungo, mbona mnasajili mshambuliaji?
 3. Mwanagandila

  UFISADI TFF: Malinzi mwogope Mungu, Fedha za TBL dola 425,000 umezichota kutoka akaunti hizi

  Kama TAKUKURU wanaogopa kumpandisha Malinzi kizimbani ili hali wakiwa na ushanidi, basi wamkabidhi Makonda hilo faili tuone kama keshi yake tu hajapandishwa mahakamani
 4. Mwanagandila

  UFISADI TFF: Bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki 1, PCCB washikwa na kigugumizi kumpeleka Malinzi Kortini

  Kiwia aliyetajwa na Pro Jay sio huyo wa TFF. Naona majina yamefanana tu sababu wa TFF yupo ofisi hiyo tangu 2010
 5. Mwanagandila

  UFISADI TFF: Bil 1.1 zachotwa ndani ya wiki 1, PCCB washikwa na kigugumizi kumpeleka Malinzi Kortini

  Malinzi ni mjanja mjanja aliyepata dhamana ha kuongoza mpira wa miguu nchi hii.. AzamTv wanalalamika fedha za FA Cup waliyoa zote mil 500, cha ajabu akaelekeza zikasaidie chaguzi za mikoa na kuacha vilabu vinavyoshiriki michuano hiyo vikijtoa wengine kupewa laki 7 badala ya mil 3...
 6. Mwanagandila

  TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

  Aah mie nilisoma nae sekondari Nassoro, zaidi ya miaka 20 sasa tumepotezana nae
 7. Mwanagandila

  TANZIA: DCP mstaafu Rashidi Hemed afariki dunia

  R.l.P Rashid Hemed, Baba Nasssoro! Enzi zake RPC Dodoma alikua anasaga sana gomba na kuvuta ganja eneo la Area D wajenzi
 8. Mwanagandila

  PCCB yawafikisha mahakamani maafisa wa TFF

  Maofisa wa TFF, Martin Chacha na Juma Matandika leo wamepandishwa Mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka ya kuomba rushwa ya sh 25 milioni kwa timu ya Geita.
 9. Mwanagandila

  Malinzi tuachie TFF, Umeshindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara tangu Machi 2016

  Hali si shwari katika Shirikisho la Soka Tanzania TFF kufuatia kuwepo kwa hali mbaya, baada ya wafanyakazi wake kuendelea kufanya kazi kwa mwezi wa nne sasa bila ya kulipwa mishahara yao wala marupurupu ya aina yoyote. Habari za ndani zinasema, ukata huo unatokana na ufujwaji mbaya wa pesa...
 10. Mwanagandila

  Katibu Mkuu Yanga ajiuzulu

  Msemaji mtu wa mwenyekiti
 11. Mwanagandila

  Katibu Mkuu Yanga ajiuzulu

  Kauli yako unaionaje na yalitokea Yanga? Tiboroha aliondoka, Pluijm na Niyonzima mambk safi tu wanapiga kazii
 12. Mwanagandila

  Haijawahi tokea TFF miezi 3 bila mshahara

  Wafanyakazi wa Shirikisho la Soka Tanzania -TFF sasa wametimiza miezi mitatu bila ya kulipwa mishahara yao, baada ya kulipwa mara ya mwisho Februari 15, 2016. Kwa kipindi cha miezi mitatu Machi, Aprili, Mei 2016 wafanyakazi hao wameendelea kufanya kazi zao za kila siki, huku Katibu Mkuu wa TFF...
 13. Mwanagandila

  Tanzia: Askari Trafiki Namba F1839 Ali Kinyogori, auawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulika

  Yule askari maarufu wa jeshi la polisi jijini Dar es salaam kwa kuongoza magari/kuelekeza njia za kupita kukiwa na foleni Sajenti Ally Kinyogori amefariki usiku huu kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nyumbani kwake Mwandege nje kidogo ya jiji la Dar. Kinyogori alijizolea umaarufu katika...
 14. Mwanagandila

  Alfred Lucas wa gazeti la Jamhuri awa Afisa Habari wa TFF

  Kwa mujibu wa tovuti ya TFF, Alfred Lucas ameteuliwa kuwa Afisa Habari mpya wa TFF kuanzia leo April 27, 2016. Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya Mashindano kuwa Afisa Mashindano na Meneja wa Mifumo pepe ya Usajili (TMS). Alfred ana uzoefu kutoka...
 15. Mwanagandila

  SAKATA LA UMEYA DAR: Halima Mdee na Mwita Waitara wafikishwa mahakamani

  Mazingaombwe bado yanaendelea nchini Tanzania.
 16. Mwanagandila

  Katibu Mkuu Yanga ajiuzulu

  Mliokua mnabisha naimani mtakua mmeelewa sasa SAKATA LA NIYONZIMA LAMUONDOA KATIBU YANGA
 17. Mwanagandila

  Ukistaajabu ya Samatta Utayaona ya Mkwasa

  Ukistaajabu ya Samatta utayaona ya Mkwasa Ni takribani wiki moja sasa tangu mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' na klabu ya TP Mazembe, Mbwana Samatta ashinde tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani(Best Player based in Africa). Tangu Samatta kushinda...
 18. Mwanagandila

  Watanzani Sir tuna Matatizo

  Watanzania tunaongoza kwa kupenda kulalamika bila kutoa suluhisho mbadala kwa jambo lenyewe. Mara anarudi usiku tutaendaje kumpokea hao waliorudi mchana lini uliwahi kwenda kuwapokea? Mara wazazi wake wamekaa kwenye ngazi kwani mliambiwa uwanja wa ndege una waiting Lounge kwa ajili ya...
Top Bottom