Search results

 1. 273

  VIFARANGA VYA KUKU WA KIENYEJI VINAUZWA

  Natafuta soko la vifaranga wa kuku wa kienyeji wa umri wa week moja. pia natafuta soko la kuku wakubwa wa kienyeji. kwa mawasiliano: 0713722589. tupo dar maeneo ya tabata
 2. 273

  Dawa ya Amiba na Typhoid sugu

  Habari wakuu kwa muda mrefu nimekua nikisumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo, kuwashwa njia ya haja kubwa, tumbo kuunguruma mara kwa mara na kujaa gesi na kichefuchefu. kuna baadhi ya watu wananambia tatzo laweza kuwa amiba sugu: please jaman kwa yeyote mwenye dawa iwe ya vidonge au...
 3. 273

  Msaada: Jinsi ya kupata simu iliyopotea

  Salaam sana Rafiki zangu Kama kichwa kinavojieleza, ni kuwa nimepoteza simu yangu na ilikua ni msaada mkubwa sana kwangu Nifanyeje niweze kuipata, IMEI ninayo msaada tafadhali mwenzenu sina hali
 4. 273

  Nafsi inaniuma kwa kushindwa kumssidia asiibiwe

  habari wakuu, nimeona ni vyema kama nikishea na ninyi mkasa huu mfupi wa wizi nilioushuhudia siku kadhaa zilzopita. wanawake kuweni makini sana na mikoba yenu mnapokua mpo kwenye daladala hasa pale unapokua mmesimama(mmeshika chuma) nilipanda gari ya segerea maeneo ya ubungo darajani nkielekea...
 5. 273

  Nimesikia kuna pikipiki za mkopo

  Wakuu salam zenu,,,,,, Katika pita pita zangu nimesikia ya kuwa kuna benki nchini inakopesha pikipiki kwa kianzio cha laki 4,,,, Mwenye kujua zaid atujuze jaman Ahsante, Nawasilisha
 6. 273

  Simu yangu inaniletea Notification, je kuna mtu ananispy au kunidukua?

  Jamani simu yangu inanletea notification za hivyo,,,,,,,is it possible kwamba kuna mtu ananispy au kunidukua?? Na nifanyeje kuepukana na hilo???
 7. 273

  Nyumba inapangishwa T/Kisukulu

  Nyumba inapangishwa Vyumba vitatu choo cha ndani na nje Tabata Kisukulu Bei kwa mwezi 120,000
 8. 273

  Leo 5/11/2017 naacha pombe rasmi

  Salam zenu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, Ndugu zangu nimefikia uamuzi huu kutokana na ushauri mfupi na mzito kutoka kwa kaka yangu na pia kwa kuwa naona nafsi inamsuta sana. Niseme tu nimeamua kuchana na pombe kutokana na sababu zifuatazo; 1. Ni kinyume na mafundisho ya kiimani. 2...
 9. 273

  Ushauri; Mkasa mfupi kuhusu familia yangu

  Habari wakuu, Bila kupoteza mda niende moja kwa moja kwenye mada, nimeandika kiufupi ila ni suala la muhimu sana sana kwa mustakabali wa maisha yangu na familia yetu kwa ujumla. Mimi ni kijana naetoka kwenye familia yenye baba, mama na watoto kadhaa....nitoe historia ya familia kwa ufupi...
 10. 273

  House4Rent Nahitaji chumba cha kupanga

  Kichwa chajieleza Location Dar riverside ubungo maziwa changanyikeni kimara kona na maeneo ya karibu na hayo.
 11. 273

  Swali kwa Wanachama wa CHAPUTA

  Wakuu nawasalimu, Polen kwa michoko ya week nzima ndugu zangu wana CHAPUTA (kama siyo mwanachaputa n kiherehere kimekuleta humu[emoji2] [emoji2]) Nna swali moja tu kwa sku ya leo Hivi wewe hukuchukua mda gan hadi kufika kilelen ukiwa unapata ile raha ya kujichua Mm kwa kawaida ata sekunde...
 12. 273

  MSAADA; Tatizo la tumbo kuunguruma

  Habarini wakuu ama kichwa kinavyojieleza nahitaji msaada wa tatizo langu la tumbo kuunguruma mara kwa mara. Je inaweza kuwa ni tatizo gani na dawa yake ni nini? kwan kila nikienda hospital sipati majibu wala dawa ya kuharisha!
 13. 273

  Uzi maalum wa wanafunzi wa vyuo (university)

  Kama kichwa kinavyojieleza,,,,,, Karibuni wanavyuo wote wa Tanzania tuweze kupeana updates na kubadilishana mawazo juu ya maswala mbali mbali..... Karibuni
 14. 273

  Nifanye nini asininyime tunda kama alivyoninyima mwanzo?

  Wakuu habari zenu, Najua weekend yenu inaenda vyema kabisa na mapumziko murua baada ya kumaliza mchakamchaka wa kutafuta riziki kwa mda wa siku tano. Wakati mkiwa mnapata mapumziko hayo siyo mbaya tukaungana kumshauri jamaa yangu huyu ambaye baada ya kunisimulia habari yake nimeona nije...
 15. 273

  Ushauri: Anatembea na mke wangu, nimegundua na ananitishia maisha

  Wasalaam wakuu, Kimsingi kabisa mimi ni mgeni hapa JF. Nina jambo linalonsumbua sana na ninaomba ushauri wenu wa kina, kebehi sihitaji. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, miezi kadhaa iliyopita nilibahatika kukutana na binti mmoja kwakweli ni...
Top Bottom