Search results

 1. Ka2pain

  blackberry bold 9900

  kwa mtu ambaye anailewa hiyo simu,. ni'pm simu ipo katika hali nzuri,., haijamaliza mwaka na bettery badi inakaa mda mrefu.
 2. Ka2pain

  bkackberry bold 9900

  kwa anae ihitaji,. p/s send me a PM tuongee zaidi
 3. Ka2pain

  battery ya min lap top LG X130

  habari wanajamii., naomba msaada wa jinsi ya kuipata hiyo battery au kama kuna mdau anayo anicheki., natanguliza shukrani za dhati kwa msaada wowote nitao upata
 4. Ka2pain

  Android 1.5 to 2.1 or 2.2 froyo

  habari gani wanaJF., ninaomba msaada wa jinsi ya ku'upgrade android os ya simu from 1.5 to 2.1 au 2.2 (froyo). natanguliza shukrani za dhati. nilijaribu ku'upgrade automatic lakini haikuniletea option hiyo kwenye simu., kuna baadhi wamenishauri nijaribu manually sasa ndo sijui vip.,
 5. Ka2pain

  ARVs kwa asiye mwasirika

  habari anajamii,. ningependa faam kama kuna madhara yoyte kutumia hizo daa ka asiye mwasirika
 6. Ka2pain

  Nokia n900, sokoni

  WanajaJF,., Kama nilivyoeleza,. kwa mtu yeyote ambaye atakuwa akihitaji hiyo 4n,.(nokia N900), ANI'PM. Usihofu bei ni maelewano. Ipo kwenye hali nzuri.
 7. Ka2pain

  Nokia dealers Dar

  wapendwa wana JF ., hivi hawa nokia dealers kwa hapa dar wapo maeneo gani
 8. Ka2pain

  Housing ya laptop

  HAbari zenu wanaJF. Nina laptop yangu imeungua housing(cover) lake. napenda kuuliza kama huwa zinapatikana na kama zinapatikana ni maeneo gani? mimi nipo Dar na laptop yangu ni DEll INPIRON. Natanguliza shukrani za dhati
 9. Ka2pain

  Nokia n900

  Habari zenu wanaJF. nilichukua NOKIA N900, siku kadhaa zilizopita. Ila kwa sasa nikitaka kuingia ovi store au ku'update inaniletea hii message "NOKIA MESSEGING PASSWORD. This is password the first email address set up for Nokia messeging".,. yani inanitaka niweke hiyo password. Naomba msaada...
 10. Ka2pain

  Mechanical & industrial engeneering

  Wanajf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. nimechaguliwa kujinga degrii ya hiyo facult hapo juu., kwa wale mlio soma au wenye uelewa na hiyo course,., mechanical & indstry,. soko la ajira na vitu vingine kuhusiana na hiyo,., plz naombeni msaada wenu,. natanguliza shukrani za dhati.
 11. Ka2pain

  Lg notebook x130

  Wapendwa wanajf,. kwa sasa ni takribani miezi mitatu tangu ninunue hiki ki'laptop changu., tatizo nililonalo hadi sasa sijafanikiwa kuwasha wala kutumia camera ya hii laptop yangu,.,naombeni msaada wenu tafadhali,.,., thank U in advance (LG NOTEBOOK X1300
 12. Ka2pain

  Tea see u,.,(tcu)

  Hackers naomba mfanye mambo kwenye web ya TCU ili tujue kinachoendelea,.,mana uvumilivu nahisi kunishinda,.
 13. Ka2pain

  msaada wa haraka wanajamii,

  katika kujaza form ya kuombea mkopo kuna kipengele cha index number nimekosea. nimeandika namba isiyo yangu. Naomba mnisaidie jinsi ya kulirekebisha hili tatizo nililonalo (jinsi ya kuandika namba yangu)
 14. Ka2pain

  Naomba watalamu Airtel ni kwa nini miji yetu ya Kondoa, Babati na Loliondo mtandao hafifu

  Mimi nipo Kondoa natumia moderm ya zain (USB stick) hatupati mtandao wa internet kama miji mingine. ninapokwenda Dodoma au Arusha napata 3G rangi ya bluu.
Top Bottom