Search results

 1. Farolito

  Mantiki ya Viongozi kukagua gwaride huwa ni ipi?

  Wakuu, Nini lengo la viongozi kukagua gwaride?Mbona naona huwa anapita tu hata wakati mwingine hawaangalii hao wakaguliwaji? Nilitegemea kiongozi awe na ile" attention to details" ili aweze kuwabaini wale wachafu au ambao kola hazijakaa vizuri watolewe mbele kwa ajili ya kuwajibishwa...
 2. Farolito

  Watu na tamaduni zao!

  Maisha rahisi tu
 3. Farolito

  Fundi akikwambia hii kitu usikubali!

  Yaani gari imewasha taa ya check engine(kuonyesha kuna tatizo) nyie mnasema tuizibe kwa tape ili isionyeshe ndio mmetatua tatizi kweli? Mungu anawaona
 4. Farolito

  Uzuri wa asili...

  Wanatoka nchi gani hawa?
 5. Farolito

  Soma taratibu kisa hiki kilichonitokea kisha nishauri

  Wakuu, Mwezi mmoja uliopita nilikuja nyumbani (kwa wazazi) kwa ajili ya Pasaka, hapa nyumbani pia nilijumuika na mdogo wangu wa mwisho (anasoma chuo) hapa nitamwita Denis (sio halisi) na mtoto wa Bro wangu (form two) hapa nitamwita Rama. Namshukuru Mungu Tumesherehekea vizuri Pasaka na kila...
 6. Farolito

  Wana-Singida: Hii ni kitu gani na ina kazi gani ?

  Wakuu Hii inayoitwa vumbi la Singida ni kitu gani na kazi yake ni ipi? Asante.
 7. Farolito

  Fangasi ya ubongo inasababishwa na nini?

  Wakuu habari Naamini humu kuna madaktari na watu wenye uelewa juu ya afya ya binadamu wanaweza kunisaidia kujibu hili swali. Nilikuwa nasoma kikaratasi cha dawa ya Fluconazole,katika maelezo ya magonjwa inayotibu mojawapo ni fangasi ya ubongo(Cryptococcocal meningitis-a fungal infection of the...
 8. Farolito

  Hatimaye 'viatu vya shetani' vyaingia sokoni by Lil Nas

  Rapa kutoka pande za Marekani Lil Nas X ameingiza sokoni raba alizoziita ni viatu vya Shetani(Satan shoes). Raba hizo zenye nembo ya Nike zina alama ya nyota yenye pembe sita na msalaba uliogeuzwa huku ikiwa na matone halisi ya damu ya binadamu katika eneo la soli.Upande wa mbele wa raba hio...
 9. Farolito

  Matumizi ya Shower Gel ni yapi?

  Wakuu, Nimekuwa nikikutana na hiki kitu kinaitwa Shower gel/body wash kwenye maduka ya vipodozi,nini kazi yake na ina tofauti gani na sabuni ya kawaida ya kuogea? Na Je jinsia yoyote wanaweza kutumia ? ipi brand nzuri? Ahsante.
 10. Farolito

  Abandika kipande cha Almasi chenye thamani ya Bilioni 50 usoni

  Rapa kutoka nchini Marekani Lil Uzi ameonyesha kwamba pesa kwake 'sio kitu' kwa kubandika kipande cha madini ya Almasi(Pink Diamond) usoni cha thamani ya Dola za Kimarekani milioni 24 ($24Million) kama urembo. Hatua hiyo imewashangaza wengi kwani kipande hicho cha Almasi kimewekwa kwa ustadi...
 11. Farolito

  Ninawezaje kukata au kufupisha wimbo nitumie kama Ringtone?

  Wakuu, Ninahitaji kujua program au app ambayo itaniwezesha kukata wimbo/kuupunguza urefu ili nitumie kama muito wa simu(ringtone)? Unaweza kushauri app ya simu au ya computer,ila kama ya simu ipo itakuwa vizuri zaidi. Ahsante.
 12. Farolito

  Ukishtakiwa Mahakama ya Kimataifa (ICC)gharama za kuhudhuria kesi nani analipa?

  Wakuu, Naomba Kufahamishwa; Mosi,Iwapo Afisa fulani au mtu Fulani kutoka nchi yoyote ile mwanachama wa Mahakama ya kimataifa(ICC) iliyopo The Hague,Uholanzi ameshtakiwa na inatakiwa kufika mahakamani hapo je Gharama za kwenda huko nani analipa? Tuchukulie mfano Afisa wa Polisi Tanzania...
 13. Farolito

  Mjadala; Nini cha kufanya gari yako ikigongwa au kugonga?

  Wakuu Habari zenu. Najua kuna watu wameshawahi kupata ajali ya kugonga gari ya mtu mwingine au gari yake kugongwa na gari nyingine,(Private cars) Je, ikitokea hali hio ni kipi cha kufanya au hatua gani za kuchukua zinazoendana na sheria za nchi yetu? Pia hata kama kuna hatua za kufanya ambazo...
 14. Farolito

  Je, ni kweli Pombe ya Gongo ni dawa ya tetekuwanga?

  Wakuu Habari. Jana nilipanda Bajaji na kina mama wawili ambao wanafahaniana, katika kusalimiana mmoja wao alisema kwamba aliuguliwa na mtoto wa miaka 4 ambae alipata tetekuwanga na kwamba alikuwa na homa kali pamoja na kuwashwa na yale mapele kwahio walishinda hospitali, ambapo ilibidi achomwe...
 15. Farolito

  Msaada; Kifaa gani hiki?

  Wakuu, Nimekuta hiki kifaa ndani ya begi la mtumba ambalo nilienda kumnunulia dogo leo. Nimeshindwa kujua ni kifaa gani na kina kazi gani,maana hata manual yake imeandikwa kichina,nilikuta pia earphone ambazo zimeharibika; Maelezo yake; [emoji736]Ni kifaa kidogo ukubwa wa kiberiti au zaidi...
 16. Farolito

  100 Years: The Movie you will never see -- Filamu ambayo hutaiona!

  Wakuu, Habari ndio hio. Hii ni filamu ambayo hutaiona labda watoto wako au wajukuu zako. 100 years:The movie you will never see; ni filamu iliyotayarishwa mwaka 2015 chini ya Director Robert Rogriguez na Starring ni John Malkovich Filamu hii inategemewa kuachiliwa November 18 mwaka...
 17. Farolito

  Mwanaharakati mtata aruhusu kushikwa nyeti hadharani kufikisha ujumbe!!

  Ni mwanadada Milo Moire, kutoka nchini Uswisi,alizaliwa mwaka 1983,alihitimu shahada ya uchoraji na upakaji rangi mwaka 2002,pia amehitimu shahada ya Saikolojia kutoka Chuo kikuu cha Bern,huyu ni msanii na mwanamitindo ambaye hutumia mwili wake kufikisha ujumbe kwa jamii kwamba mwanamke ana...
 18. Farolito

  Kuandika swali "how am I driving?" nyuma ya gari ina maana gani?

  Habari, Huwa naona baadhi ya magari yameandikwa hilo swali nyuma yakifuatiwa na namba ya simu,huwa wanamaanisha nini? Na nani anatakiwa kujibu hilo swali na nini lengo la kuweka namba ya simu? Naomba kufahamishwa.
 19. Farolito

  Msaada; Sumu /dawa gani inafaa kuangamiza nzi?

  Wakuu, Naomba kujua dawa au simu ambayo itaangamiza nzi ndani na nje ya nyumba maana kipindi hiki cha mwisho wa mwaka naona kama ndio msimu wao wa kuongezeka sasa wamekua kero mno. Naomba kujulishwa ni sumu gani nzuri ambayo haina madhara kwa binadamu Asante.
 20. Farolito

  Msaada;Website ya kupakua katuni za Tom&Jerry

  Habari wakuu, Ni website gani naweza Ku download katuni za Tom and Jerry kwa MB chache? Ahsante.
Top Bottom