Search results

 1. Malimi Jr

  Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

  Wabunge wamejificha kwenye neno posho ili wasilipe kodi. Napendekeza neno posho lifutwe na liwe mshahara. Na huo ndiyo utakuwa mwarobaini wao kutokulipana mamilioni lukuki bungeni. KUMBUKA: posho haina kodi bali mshahara ndiyo hukatwa kodi.
 2. Malimi Jr

  NIlivyopiga kura huko nyuma, nitakavyopiga 2025

  Kwa jinsi mama alivyo muumini wa kutenda haki, napendekeza bunge limlazimishe awe Rais wa muda wote. MATAGA wanaumia sana kuona mama anatenda haki wakati wao wamezoea dhuluma.
 3. Malimi Jr

  SITANII; Kodi ya Simu za Mkononi Haiepukiki.

  Mkuu umenena vema sana, yule dikteta alitaka afaidi peke yake. Sema mama angalau anataka watu wafanye biashara na shughuli zingine kwa uhuru ili hata hizi kodi mpya ziweze kulipika. Usiwe mzigo tena kwa mwananchi. Huyu mama kama ataboresha sheria za usimamizi wa fedha za umma, amini maisha...
 4. Malimi Jr

  SITANII; Kodi ya Simu za Mkononi Haiepukiki.

  Mkuu sio kosa kujibu hivi na wakati huo unatumia vocha kujibu haya. Kwa nchi za wenzetu kwa vile urasimu uoo kwa kiwango kidogo watu wanashindana kulipa kodi na huwa jambo la aibu kutolipa kodi. Rejea kesi ya mchezaji messi, huo ni mfano tu. Naoendekeza mazingira ya upigaji yaanze...
 5. Malimi Jr

  SITANII; Kodi ya Simu za Mkononi Haiepukiki.

  Wote tumekubaliana hakuna kodi za dhuluma. Sh100×watu 30,000,000 wanaomiliki simu mathalani= tsh 3,000,000,000 bln per day. Tunaenda kuwa nchi tajiri duniani. Kwenye hilo mama boresha sheria za kusimamia kodi make akina Dr. Bashiru na Sabaya bado wamekuzingira ofisini.
 6. Malimi Jr

  Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

  Kijana mwendazake ni mmoja tu Afrika hii. Keneth Kaunda atabaki kuwa hayati kama akina Nyerere, Lumumba, Sankara, Mandela, nk
 7. Malimi Jr

  Sabaya under probe for seven other claims

  Jinsi MATAGA mnavyoteseka na lugha ya Malkia. Najua hapa umechangia bila kuelewa kilichoandikwa.
 8. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Survive for the fittest, that is the nature. Hakuna cha karma wala mjukuu wake. Wakati mnamshangilia madudu ya huyo mwendazake hamkujua kama kuna karma? Wakati watumishi, wafanyabiashara na wakulima wananyanyasika karma ilikuwa haijazaliwa? Huu ni wakati wa watumishi na wafanya biashara kula...
 9. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee mwenzangu matumaini hayawezi kutulisha. Ahadi haziwezi kunipeleka dukani wala kunilipia bili zangu na hata kuendeleza miradi yangu inayonipa heshima mtaani kwangu kipindi hiki. Muda huu najiandaa kuandika kwenye kitabu cha kutoka ili niende kwenye miradi yangu. Mkuu ahadi za wanasiasa...
 10. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee ukiingia mahakamani, hospitali, shuleni, TRA, TBS, TANESCO, UHAMIAJI, POLICE STATION, nk. Sisi watumishi utatukuta tumejaa huko na foleni lazima upange wewe mnyonge. Na kipindi hiki wanyonge mtateseka sana. Yaani hadi huruma tunawaonea sema hatuna namna lazima mteseke ndiyo mkakati uliopo...
 11. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee kunywa maji kidogo, mwandiko wako haufanani na mwajiri. Walioajiri hawashindi na kukesha kwenye mitandao ya kijamii kutukana watu. Wao huingia kwenye mitandao kuelimisha watu. Kama kweli umeajiri basi utakuwa umeuajiri mdomo wako ili utukane watu. Jisogeze hapo kwa mama Gaude unywe hata...
 12. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Sina muda wa kubishana na zuzu ambaye aliishia darasa la pili. Mimi sio wa mtumishi wa(ndani,kuchunga ng'ombe) kama ulivyojitambulisha wewe. Mimi ni mtumishi wa umma ambaye najielewa. Siwezi kusifia wakati nina madai lukuki ninayoidai serikali. Wewe mnyonge njoo tukupigishe foreni kwenye...
 13. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mkuu umeongea vema sana tena hisia kali. Ila nitajibu kistaarabu kabisa. Hao wananchi si ndiyo wale wale wanaoshangilia kuona mtumishi anatumbuliwa? Hao wananchi si ndiyo wale wanaowachukia watumishi na wakuwaita wezi? Hivi mwalimu wa chekechea anaiba nini, chaki? Hao wananchi si ndiyo...
 14. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mkuu tuombe Mungu atufikishe tena tarehe 01/05/2022. Hadi muda huu ninapoandika tulitakiwa tuongezwe angalau 18% ya salary. Ila mama naye kama ilivyokuwa kwa mwendazake, kamute. Na hiyo 18% ni kwa ajili ya manunuzi ya chakula na bills zingine. Sasa sijui kama hiyo mwakani ataongeza salary kwa...
 15. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mkuu hakuna sehemu ambayo nampinga huyo mama yenu. Pia siwezi kumpa sifa kwenye hamna. Kuhusu kuandikwa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura kama mtumishi alikataa kukuandika kwa sababu zake binafsi na wewe ukakubali, basi wewe ndiyo una matatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Mzee mwenzangu concern yangu ni pale ulipokuja na sifa za kumtetea huyo mama as if malaika ametua madhabahuni. Kingine, sijamaanisha kwamba unategemea mshahara tu, hata mimi sitegemei mshahara tu. Halafu madeni ninayowadai nimeshayasamehe hizo faranga tumbueni tu huko juu, baada ya kuzungushwa...
 17. Malimi Jr

  Asante Mama Yetu kwa hili Watumishi wa Umma tumekuelewa sana

  Hivi ni lini mwalimu wa Tanzania naye ataanza kulipwa posho? Kumkubali huyo mama ambaye ni zao la udhalimu wa mwendazake mimi wala siungani naye. Kipindi nateseka alikuwa VP na hakuwahi hata kutoa tamko. Watumishi tuna madai mengi sana kuanza kusifia mapema namna hii wakati hadi muda hakuna...
 18. Malimi Jr

  Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

  Hawajui uchungu wa kulipa kodi.
 19. Malimi Jr

  Watumishi wa Idara ya Elimu (Sekondari) Wilaya ya Ulanga wanafanya kazi kwa mazoea

  Idara ya elimu ilishajifia siku nyingi sana, tunasubiri tangazo tu majengo tukafugie bata.
Top Bottom