Search results

 1. GUSSIE

  Wasifu mfupi wa DC mpya wa Rorya, Juma "Mchopanga" Chikoka

  Mimi kama mwana CCM namfahamu sana Mchopanga nje ya tasnia ya filamu, Mchopa ni msomi mzuri wa chuo Kikuu. Wasanii wote wa kampeni mtu anaye organize ndani ya CCM ni Mchopanga, Huwezi tenganisha kazi ya Mchopanga kama ofisa mwajiriwa ndani ya UVCCM na wasanii. Mchopanga tangu mwaka 2010...
 2. GUSSIE

  Rais Samia Hassan anatekeleza kampeni ya Tundu Lissu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

  Wanabodi, ni dhahiri Mpaka sasa Mama Samia Suluhu Hassan anatekeleza maneno aliyohubiri Tundu lissu wakati wa kampeni mwaka 2020,Yalikuwa maneno matatu tu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. CCM walipozidiwa hoja na Tundu Lissu wakaamua kuzima intaneti, wakatunga hali ya hewa ni mbaya kwa...
 3. GUSSIE

  Ni mwisho wa Enzi kweli kweli, Akili iliwekwa mfukoni

  Profesa Kabudi, Mwalimu nguli huyu wa udsm alisema ametolewa jalalani, Maoni yote ya katiba mpya aliyosimamia akasema hayana kazi kwa sasa, Zilikuwa ni enzi ni enzi kweli kweli Dr Bashiru, Huyu ni mtaalamu wa siasa na Demokrasia pale udsm, Alisema Lazima watatumia Dola kutetea matumbo na kubaki...
 4. GUSSIE

  Wana CCM tuchutame, Hatujachelewa kutubu. Ona Ole Sabaya alishupaza shingo

  Kuomba msamaha sio ushamba hata kidogo, Ole Sabaya angeenda Clouds FM kuomba msamaha na kutubu angesamehewa na wananchi kwa uchafu na ujinga alioufanya huku akilindwa na mfalme niliyempigania Katika kitengo cha Propaganda ndani ya chama kwa lazima na sio kwamba nilipenda ilikuwa lazima. Sabaya...
 5. GUSSIE

  RC Mtaka: Tumepewa akili za kufikiri na sio za kutishana

  Wanabodi, Akiwa Katika vikao vya kuanisha vipaumbele mkoani Dodoma, RC Mtaka amesema yeye hayupo pale Dodoma kutisha na Kumtishia mtu bali yupo pale kwa ajili ya kuunganisha akili za watu waliozajaliwa ili kuleta matokeo mazuri mkoani Dodoma RC Mtaka, Amesema watumishi wa wilaya zote Dodoma...
 6. GUSSIE

  Jakaya Kikwete ni nguli na mwamba wa historia wa Tanzania na Afrika

  Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi kuchoka kumsikiliza. Hotuba ya Jakaya Kikwete kwenye mazishi ya Nelson Mandela hakika yalifungua macho...
 7. GUSSIE

  Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

  Wanabodi, Naweza kusema ni mwisho wa enzi. Lengai Ole Sabaya angeomba msamaha mapema na kukubali makosa angeishi kwa amani, Alitegemea nguvu za mwanadamu kumshika mkono wakati hana mkataba na aliyemleta huyo mtu Duniani Ni ukweli na unaumia pale unapoomba msamaha wa kweli kwa maovu na mabaya ni...
 8. GUSSIE

  Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ( HESLB) imetengeneza chuki kubwa kwa riba ya asilimia 15%

  Wanabodi, Moja kati ya ukatili uliofanyika na kuwaumiza watumishi wa uma na sekta binafsi ni tamko la Kuongeza riba ya mikopo ya wanafunzi kutoka asilimia 8% mpaka 15% Vyama vya wafanyakazi na wadau wapaze sauti kuhusu riba hii ya asilimia 15% kwa vijana wetu kushushwa.Haya maamuzi ya...
 9. GUSSIE

  Naomba msamaha kwa Siasa zangu chafu na Propaganda

  Wanabodi, Kuomba msamaha sio ujinga bali ni kujitakasa mbele za Muumba. Napenda kutumia nafasi hii kuomba msamaha kwa wote niliowakosea kwa kujibu hovyo au kutukana Katika thread zangu, Reply Back na Comments zangu. Nimeomba radhi baada ya kujifunza jinsi kwa kipindi cha mwezi mmoja tangu...
 10. GUSSIE

  Wabunge hawawaogopi Bashiru Ally na Humprey Polepole, Kweli Dunia duara

  Wabunge wa CCM mnachowafanya Bashiru na Humprey Polepole ni kuwadhalilisha, Kumbukeni hawa watu ndio mliokuwa mnawaheshimu kwa kuwa karibu na Mwenyekiti. Yanayoendelea Bungeni kunanga miradi ya Bwawa la maji kuwa haifai bali Gesi ndio umeme wa kisasa, Bashiru Ally kaufyata kimya anaogopa hata...
 11. GUSSIE

  Wana CCM waliovamia chama msiba wao ni mkubwa zaidi. Vyeo walivyoahidiwa vimeyeyuka

  Wanabodi, Wana CCM wa kuja au wavamizi wanaompinga Mama Samia Suluhu hawakutegemea mabadiliko ya ghafla ya kuondoa sera kandamizi. Mimi ni mwana CCM. Kati ya mwaka 2017 mpaka 2020 Chama kilivamiwa na watu toka upinzani wakisema "Wanaunga juhudi za mwenyekiti wa CCM za kuleta Maendeleo". Hawa...
 12. GUSSIE

  Tuache siasa, Jina la mtu ni alama tu halina uhusiano na Dini yake wala Kabila

  Ni kukosa maarifa karne ya ishirini na moja watu wanajadili jina la mtu na kulihusianisha na Dini yake au Kabila lake Tangu nizaliwe mpaka umri huu nimeulizwa kuhusu ukabila mara moja tu nikiwa nafanya mdahalo kupitia Zoom, Aliyeniuliza alihisi mimi ni mtusi wa Rwanda baada ya kutokuelewa maana...
 13. GUSSIE

  Je, Jakaya Kikwete alitoa pesa wapi kuongeza mishahara na kujenga barabara za lami?

  Members, Kuna maswali yanafikirisha sana Je, Pesa za Kuongeza mishahara Kikwete alikuwa anatoa wapi kila mwaka huku akiwa na watumishi hewa kwenye payroll ya mshahara? Alilipa mishahara na kuwaongezea nyongeza watumishi halali na wale waliokuja kuitwa fake kila mwaka Je, Pesa za ujenzi wa...
 14. GUSSIE

  Makamu wa Rais Dkt. Mpango usibane sana matumizi, Maisha yatakuwa magumu zaidi

  Wanabodi, uteuzi wa Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kudhibiti matumizi ya serikali na mambo mengine ya uchumi Hii kauli ya kudhibiti matumizi imesemwa na Rais Mama Samia mwenyewe kwanini amemchagua Dkt Mpango, Lengo kudhibiti matumizi ya serikali na baadhi ya sera za uchumi. Makamu wa Rais...
 15. GUSSIE

  Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

  Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021 Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo...
 16. GUSSIE

  Tutashuhudia watoto wengi watakaozaliwa kuitwa SAMIA

  Sijui ni ushamba au ulimbukeni huwa sielewi kabisa Watanzania ni watu wa kuhisi jina la mtu ndio mafanikio Ufahari wa jina hasa ya kikabila ni kujua maana ya jina, Majina ya kikabila kwanza ni unique na mazuri Sana linakuja jina lako linapendeza Angalia majina ya kilugha ya wanaigeria yana...
 17. GUSSIE

  Je, Profesa Mark Mwandosya alipomtuhumu Rafiki yake J Kikwete alikuwa na majina ya Urais mfukoni alikuwa sahihi?

  Mark Mwandosya na Jakaya Kikwete ni marafiki wa siku nyingi na ni vijana wa Mwalimu Nyerere aliowapenda na kuwatuma kama wanae Prof Mwandosya alimtuhumu Mwenyekiti wake wa chama kuwa amekuja na majina yake mfukoni ya wagombea Urais mwaka 2015 huku akidhibiti watu Wengine wasijadiliwe Miaka...
 18. GUSSIE

  Majirani wanashangaa jinsi mabadiliko ya madaraka yanafanyika kwa Amani Tanzania

  Ukifungua television za majirani hasa Kenya siku ya Leo utashangaa jinsi wanavyosifia mabadiliko ya kiutawala bila vurugu wala kelele toka kwa wananchi Pili, Majirani wa kike wamefurahi Mwanamke mwenzao kuwa Rais, Wanategemea italeta chachu kwa wanawake kugombea nafasi ya juu Afrika mashariki...
 19. GUSSIE

  Dkt. Bashiru Ally ni Public Servant au Civil servant?

  Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja katika muktadha tofauti Public servant au Civil servant hutumika kwa mtu yeyote anayefanya kazi za...
 20. GUSSIE

  Kwa jinsi alivyodhibiti na kuondoa hofu ya Corona, Rais Magufuli aongezewe miaka saba

  Members, Maisha ya Watanzania wengi ni "Hand to Mouth" yaani wanafanya kazi pesa yote inaishia kwenye kula chakula, Watanzania wengi hawana ajira rasmi na ujuzi (unskilled labor) na hawana akiba ya ziada kwa ajili ya dharula(emergency). Maneno hayo ya kiingereza ndio nguzo ya watu wengi...
Top Bottom