Search results

 1. Madumbikaya

  I & M Bank kuwawezesha wateja kutumia WhatsApp kufanya miamala

  Maisha yamebadilika sana, Leo Tanzania program ya whatsapp inakuwezesha kutuma na kupokea pesa I & M Bank(T) , Hii imekuwa Bank ya kwanza kuwawezesha wateja wake Tanzania kutumia WhatsApp kutuma na kupokea pesa, Kulipia bili za maji na umeme Rais Samia Suluhu Hassan akihubiri kuhusu pesa za...
 2. Madumbikaya

  Aggrey Mwanri hakuwahi "kumsukuma mtu ndani", zilikuwa mbwembwe tu

  Uongozi ni hekima na busara, Aggrey Mwanri alikuwa mkuu wa Mkoa mwenye vitisho, mikwara sana lakini hakuwahi hata siku moja kumlaza mtu ndani yaani Polisi Akiwa Tabora alitembelea miradi kwa umakini na ukali wa kutisha huku akisema Polisi kamata mtendaji huyo na Sukuma ndani, Lakini wakifika...
 3. Madumbikaya

  Je, Peter Msigwa aliwezaje kumkosoa ndugu yake Rais Magufuli?

  Peter Msigwa ulisimamia haki, Hukuogopa vikao vya familia na undugu wako na Hayati Rais Magufuli. Moja kati ya watu ambao wangeamua kuwa na kiburi basi ni Peter Msigwa angeweza fanya kiburi. Na hata angehamia CCM ndugu yake Magufuli angekupitisha Iringa mjini bila kupingwa. Hata ndugu yako...
 4. Madumbikaya

  Nenda Ole Sabaya, Umeachia watu ulemavu wa kudumu

  Mashtaka yako uliyosomewa ni madogo sana, Sabaya ulipaswa kukaa Gereza lenye Mateso makubwa na kazi ngumu hasa yale magereza ya Kilimo Kikosi chako maalum cha mabaunsa kimevunja watu miguu na Wengine kukatwa masikio, Wengine uliwasaga vidole Sabaya Leo wanashindwa kutembea Nashangaa hujasomewa...
 5. Madumbikaya

  TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

  Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru. Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai. Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo...
 6. Madumbikaya

  Serikali igawane Mikoa ya Lindi, Morogoro, Ruvuma, Tabora, Mbeya na Rukwa bali sio Geita

  Kwa ukubwa wa eneo basi mikoa ya Lindi, Morogoro, Tabora, Ruvuma na Mbeya ni mikoa yenye kilomita nyingi sana za mraba Mkoa wa Lindi ni mkoa wenye kilomita za mraba zaidi ya elfu Sitini sawa na mikoa ya Ruvuma na Mbeya Mkoa wa Morogoro una kilomita za mraba zaidi elfu sabini sawa na Tabora...
 7. Madumbikaya

  Kuna uhusiano gani kati ya Madawa ya kulevya na Kimbunga Jobo?

  Story za Kimbunga Jobo ziliposambaa kuwa watu wasikae baharini, Wasafirishaji wa Heroine wa kaamua kusafirisha mzigo wa kuvunja rekodi na haijawahi kutokea Tanzania zaidi ya Tani moja ya Heroine Hakika mzungu sio mtu mzuri, Alipanga kuja kutengeneza mateja wa kutosha na kuharibu nguvu kazi ya...
 8. Madumbikaya

  Wazee wa Iyunga Technical school Secondary kabla ya 2003

  Enzi hizo Iyunga ilikuwa kama kambi ya JESHI. Viongozi wa shule waliitwa Rais na Mawaziri Kura ilipigwa kwa Rais tu, Na Rais aliunda Baraza la mawaziri. Hakukuwa na neno kiranja yaani Prefect Iyunga secondary miaka kabla ya 2003. Viongozi waliishi eneo linaitwa Ikulu au State House. Viongozi...
 9. Madumbikaya

  Baadhi ya Mapadre vaeni Barakoa msisikilize wanasiasa kutokana na umri wenu

  Askofu Ruwaichi alishatoa muongozo mvae barakoa Padri anakutana na watu mamia wakati wa kutoa sakramenti ya ekaristi takatifu Ni ukweli usiofichika Mapadri wa naondoka sana sana Week iliyopita Padri Mbiku wa chuo kikuu cha Dar alikuwa anaongoza Misa live kupitia YouTube bila barakoa na Leo...
 10. Madumbikaya

  Wasomi wa Tanzania wanapogeuzwa vichaa Sababu ya Siasa za majitaka

  Moja kati ya makosa makubwa Tanzania ni kuzaliwa familia maskini, Familia maskini hudumaza ufikirishi, Lakini waliozaliwa familia za ufikirishi na kitajiri huwezi kukuta zikipiga magoti kulamba soski za waheshimiwa Nani asiyejua kuwa mtu mwenye mawazo ya kimaskini hawezi kufanya maendeleo...
 11. Madumbikaya

  Watanzania ni wasahaulifu na wabovu katika elimu ya Siasa na Uraia

  "The end define means "huu ni usemi maarufu sana, kwa lugha isiyo rasmi ni kuwa ukijua au kufahamu mwisho Itakuwa vipi au nini kitatokea unapanga njia au mikakati maalumu ya kufika Lengo kuu Watanzania wengi Hawajui kesho itakuwaje au nini kitatokea kuanzia ngazi ya familia mpaka Taifa...
 12. Madumbikaya

  Mwigulu Nchemba ni vyema uchutame, sasa hivi utadaiwa vyeti halisi

  Hakuna kitu muhimu katika maisha Kama kutofautisha ya kaisari na ya Kanisa Ukimtumikia sana kaisari na kusahau kuwa kaisari huchaguliwa na raia ,Na ndani ya raia na wewe mtumishi wa kaisari ni ni mmoja wa raia Ndugu Nchemba wewe sasa ni Raia sio mtumishi wa kaisari tena una makandokando...
 13. Madumbikaya

  "Kibajaji " Mbunge wa Mtera wewe ni Genius

  Hakuna usemi mungine ambao tunaweza kuutumia zaidi ya Hayawi hayawi yamekuwa kutokana na hotuba ile iliyotoa onyo ambaye hataki aache kuwa mwanachama na ubunge Ndio iwe story Kibajaji alionya bungeni akiwaambia wabunge wenzake kuwa yeye anaongea Kama mnec, "Wabunge tawala hamruhusiwi kukosoa...
 14. Madumbikaya

  Dini na Serikali zinapotumia meza moja isiyokuwa na viti

  Ni wangapi wanaabudu KKKT au Catholic hapa Tanzania ? Ni wangapi ni wakristo Jina hapa Tanzania yaani wamebatizwa na kupokea sakramenti zote lakini hawapendi au hawahudhurii huko makanisani ? Majibu ya maswali hayo mawili ndio yanaleta mikanganyiko katika mifumo yetu ya kiutawala kati ya...
Top Bottom