Search results

  1. Kunguru wa Kizungu

    Mwenye kujua makadirio ya kodi kwa wakala wa M-Pesa

    Habari wadau wa JF, Naomba kufahamishwa makadirio ya kodi kwa mwezi kwa mawakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu mfano M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k Mfano mtaji wa laki tano kwa wakala huyo. Asante.
Top Bottom