Search results

 1. sam leon

  Daudi Albert Bashite (Zero Brain) Ajitokeza.

  Baada ya utata wa muda mrefu,uliojitokeza baada ya watu kudai mkuu wa mkoa wa D'salaam jina lake halisi ni Daud Albert Bashite na sio Paul Makonda kama anavyojitambulisha. Hatimae Daud Albert Bashite (Zero Brain) halisi ajitokeza
 2. sam leon

  Swaumu.

  Tutaanza rasmi kufunga siku ya kesho. Bishop katuharibia swaumu asee
 3. sam leon

  Brighton Moyo aliyeigiza kifo na kufufuliwa afariki dunia kweli

  Brighton Moyo, raia wa zimbabwe aliekuwa akiishi Afrika Kusini alieigiza kufa na kufufuliwa na Mtumishi Alph Lukau. Safari hii amefariki kweli na kusikwa na sio maigizo. Inasemekana alikua akiishi na VVU pia figo na mapafu yake vilishindwa kufanya kazi. Source: Swahili Times Sent using Jamii...
 4. sam leon

  Tamasha la kanamara Matsuri

  Tamasha ya uume maarufu kama "Kanamara Matsuri" ni moja ya sherehe ambazo hufanyika nchini Japan,kusherehekea umuhimu wa uume katika jamii. Tamasha hiyo inaaminika kuwa ilianza katika karne ya 17 ambapo makahaba walikuwa wakienda katika hekalu ya Kanayama kuomba kwa ajili ya kijikinga kutokana...
 5. sam leon

  Natafuta kazi ya udereva

  Mimi ni kijana mwenye leseni daraja C na D. Natafuta kazi ya udereva kwenye Kampuni na kwa watu binafsi. Kwa anaehitaji dereva anitafute kwa mawasiliano 0674623835
 6. sam leon

  Naomba mnisaidie Public Procurement Act

  Kama kichwa cha habari kinavojieleza.Yeyote mwenye soft copy ya Public Procurement Act anisaidie Ahsanteni sanah!!
 7. sam leon

  Mwanafunzi Chuo cha Taifa cha Usafirishaji afariki dunia

  Alikua ni mwanafunzi wa engineering mwaka wa 4,amekutwa chumbani amefariki,, kwa wanafunzi wa NIT huyu jamaa aLikua anauza chips pale best free RIP BRO
 8. sam leon

  Kero ya wapiga debe wa magari Ubungo

  Ebhanah hii ni hatari,leo nkasema nisogee mkoa kidogo nikawacheki ndugu,jamaa na marafiki,ila kufika ubungo yani hawa wapiga debe ni kero unagombaniwa kama mpira wa kona Dah yani kero kinoma!!!!
Top Bottom