Search results

 1. einstein newton

  THE NEXT TANZANIAN SOCIAL FORUM UNGEPENDA IWE NA FEATURES ZIPI ZITAKAZOFANYA UICHE JAMII FORUM

  SPOILER: THE PERCIVED TRUTH ABOUT JF "DEVELOPERS" ONLY WEB DEVELOPERS - The JF Dev staff zinazo tu web developers from features walizonazo ni trending to Keyboard features kama (Bold, Italic, ...) na What,s new. And the biggest proof ni the Desciption ya the Tech and Science forum ambayo ni...
 2. einstein newton

  Kwa wacheza Drafti wezangu!Tupia Jargon yoyote uliowahi kuisikia

  Mida Fulani ya jioni hivi baada ya kutoka kwenye Mishemishe zetu ama shughuli za hapa na pale zinazotupa mapene na kufanya pochi zetu ziwe nene Huwa hatuna kilevi kingine zaidi ya Drafti likisaidiwa na kikombe cha kahawa au tangawizi bila kusahau kashata na karanga mbichi Kama kawaidi kwa...
 3. einstein newton

  Atheism-Vs-Theism-Debate

  For centenaries,inquiries concern Godhead existence have been debated by philosophers,theologians,and even scientists In debate between atheists and theists,accusation of bias, Contemptuousness and bloody mindedness often oscillate between two camps Atheists view arguments for existence of...
 4. einstein newton

  Is Logic Illogical?

  The laws of Logic rest upon the substratum of three axioms Law of Identity Attests that,A is A and anything is itself Particle is particle,and wave is wave Law of excluded middle An object is either A or non A,it cannot be A and non A simultaneously Law of non contradiction Nothing can be A...
 5. einstein newton

  Ni kipi kinakufanya ucheke?

  Wadau, Kuna psychologist yoyote humu ndani,anayeweza kutwambia kicheko kinasababishwa na nini haswa Au yoyote mwenye Idea? Manake,mda huu nimejikuta nacheka ka mtoto kwa sababu ya kijinga tu Nimecheka baada ya kusoma hii kitu; MINISTER FAITH MITHAMBI Mithambi said in a statements, "We...
 6. einstein newton

  Sex with Ghost!

  Proffesor Jimena is giving a seminar on the supernatural To get the feel for her audience she ask,how many people here believe in ghost? About 90 students raise their hands Well out of those of you who belive in ghost,do any of you think you've ever seen a ghost? 40 students raise their hands...
 7. einstein newton

  Was Jesus Black?

  Idadi kubwa ya wakiristo na wasiyo wakristo wamedanganywa kwa kuaminishwa kuwa yesu ni white[Mzungu] Hata michoro mingi inayotumika kumwakilisha yesu imekuwa ikimsadifu kama whiteman Jaribu kugoogle tu neno "Jesus",99.999% ya picha utakazoletewa ni za mzungu anayefananishwa na Yesu Hizo zote...
 8. einstein newton

  Are you a paradox solver?Hop on board

  Hello wana CC! You will be awarded 20,000,000 trophies,If you can solve profoundly the paradox below Lets begin... 1.THE STATEMENT BELOW IS TRUE 2.THE STATEMENT ABOVE IS FALSE Which statement is true?why? And which statement is false?why?
 9. einstein newton

  HAPPY NEW YEAR!

  a
 10. einstein newton

  HAPPY NEW YEAR-2016

  :D
 11. einstein newton

  Errors in genesis

  Wakristo wengi wanaamini kuwa mpangilio wa matukio katika kitabu cha 'mwanzo' are logically consistent,Hi si kweli Hauhitaji professor wa fizikia kutambua makosa yaliyomo katika kisa hicho cha uumbaji Mfano,mwanzo 1:3-5 "Mungu akatenga nuru na giza,mungu akaiita nuru mchana,na giza akaliita...
 12. einstein newton

  Just follow dialectic pattern na fikra zetu zitakuwa chini yako

  Hegelianism ni mbinu iliyogunduliwa na mwanafalsafa wa kijerumani,Georg.w.hegel njia hii hutumiwa na nchi zenye ushawishi mkubwa duniani pamoja na mitandao mingi ya siri msingi mkubwa wa mbinu hii ni huu;'akili ya mwanadamu haiwezi kutambua kitu,mpaka kitu hicho kigawanywe katika sehemu...
 13. einstein newton

  wanasarufi hii sentensi ni sahihi au si sahihi?

  hivi wanasarufi katika isimu ya lugha ya kiswahili,hii sentensi ni sahihi au si sahihi? "samahani kaka,naweza kukuuliza swali?" NB:katika fikra zangu,nimeona kuwa hii sentensi ina makosa ya "kisemantiki",yaani haijafata mtiririko wa kimawazo au logic,haiwezekani mtenda wa...
 14. einstein newton

  Omnipotence paradox na ukomo wa nguvu za Mungu

  Omnipotence Limetokana na maneno mawili ya kigiriki "omni na potens " ambayo yaana maanisha mwenye nguvu zote Moja kati ya maswali ambayo ukimuuliza muumini wa dini yeyote ile mkristo au muislamu kuwa "Je, nguvu za Mungu wako zina ukomo?". Jibu ambalo atakujibu ni hili, "Nguvu za Mungu wangu...
Top Bottom