Search results

 1. M

  RC Kunenge: Mimi sipimwi kwa wingi wa watu na utaratibu huo siuhitaji

  Kwamba hataendesha mkoa kwa style ya Makonda? Mzee baba anapenda media lakini..
 2. M

  Spika Ndugai awataka wabunge wamuombee Lissu, awagusa wanaotumia fursa kumtukana

  Wahenga wanasema hamna majuto kwenye kukaa kimya.. Pande zote zingemuangalia zaidi mgonjwa kuliko faida ya kisiasa.
 3. M

  Twaweza: Asilimia 98 hawaifahamu vizuri sheria ya makosa ya mtandao, 69% hawajawahi kuisikia

  Hii sheria ina matobo mengi, jamaa wakiamua kuikazia wengi zaidi wataumia.
 4. M

  Wako wapi viongozi wa dini? Je hawaoni na hili au hakuna la kusema?

  Mbona Ponda jana kasema, labda wengine wanajiandaa kuja na matamko rasmi ya taasisi zao..
 5. M

  Hospitali ya Kairuki yakanusha tuhuma za mgonjwa kuachwa na vifaa mwilini wakati wa upasuaji

  Huyu muandaa taarifa kimeo, tena kairudia mara kadhaa kuonyesha alidhamiria alichokiandika.
 6. M

  TRA yakamata mifuko 400 ya sukari ya magendo

  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekamata mifuko 400 ya sukari iliyokuwa ikisafirishwa kwa magendo. Taarifa ya mamlaka hiyo imesema mifuko hiyo ya sukari ya kilo 50 kila mmoja imekamatwa usiku wa kuamkia jana, Agosti 26 ikiwa imepakiwa kwenye magari mawili aina ya Mitsubishi Fuso. TRA...
 7. M

  Bibi amchoma mjukuu wake akimtuhumu kuiba Sh5,000

  MWANAFUNZI wa chekechea Elizabet Musa (8) anadaiwa kuvalishwa mikononi mifuko ya plastiki kisha kuchomwa moto na kufungiwa ndani siku 11 na bibi yake aliyekuwa akiishi naye katika kijiji cha Azimio, kata ya Salawe, wilayani Shinyanga. Inadaiwa kuwa mtoto huyo alikuwa akiishi na bibi yake...
 8. M

  Ubungo wana shule 100 hazijasajiliwa

  HALMASHAURI ya Manispaa ya Ubungo imeanza kuzifungia rasmi shule zote binafsi ambazo hazijasajiliwa katika kata ya Kwembe huku ikibaini kuwepo kwa shule takriban 100 ambazo hazijafuata utaratibu. Ofisa Elimu wa Manispaa hiyo, Chausiku Masegenya akiambatana na timu ya wataalamu kutoka idara yake...
 9. M

  Wanaume wavunja ukimya, walalamika kupigwa na kutelekezwa na wake zao

  WANAUME 20 walio kwenye ndoa katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika. Mkuu wa Dawati la Polisi la Jinsia na Watoto Sumbawanga, Koplo Germana Mfwomi alilieleza gazeti hili kuwepo kwa hali hiyo, mbali na kubainishwa...
 10. M

  Mwigulu awapa bodaboda siku 30 kila mmoja awe na kofia ngumu 2

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametoa siku 30 kwa wamiliki na madereva wa bodaboda nchini kote kuhakikisha wanakuwa na kofi a ngumu (helmet) mbili ili kuwezesha dereva na abiria kupunguza madhara ajali inapotokea. Amesema baada ya siku hizo kuisha, dereva yeyote wa bodaboda...
 11. M

  Sakata la IMMMA: Rais wa TLS, Tundu Lissu atoa maazimio ya Baraza la Uongozi. Wapanga kugoma siku mbili

  Mwanasheria Tundu Lissu akiwa amevaa kofia ya mwenyekiti wa chama cha mawakili Tanzania(TLS) wameita press na anaanza kwa kusema wamepokea taarifa ya watu kufanya shambulio usiku wa kuamkia jana asubuhi kwa bomu kwenye ofisi za uwakili za Immma advocates. Baraza la uongozi la TLS lilifanya...
 12. M

  Mlipuko ofisi za mawakili waacha maswali mazito

  TUKIO la ofisi za Kampuni ya uwakili ya IMMMA zilizoko Upanga, Dar es Salaam kulipuliwa kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, limezongwa na maswali mengi. Kitendo hicho kilichodaiwa kutokea usiku wa kuamkia jana kati ya saa 7:40-8:00, kimeacha sintofahamu si tu kwa mawakili wa kampuni ya IMMMA...
 13. M

  Tabia zinazokera maofisini na sehemu za kazi

  Wapo wanawake wengi ambao wanaheshimu madeni kuliko wanaume..
 14. M

  Majaliwa: Watanzania imarisheni uzalendo

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wote wahakikishe wanaboresha mshikamano wao pamoja na kuimarisha uzalendo kwa Taifa lao. Alitoa kauli hiyo juzi jioni wakati akizungumza na wanafunzi wa Tanzania wanaosomea udaktari nchini Cuba. Waziri Mkuu yuko nchini Cuba kwa ajili ya ziara ya...
 15. M

  Uchaguzi Kenya ghali zaidi Afrika, namba mbili duniani

  SIKU 10 tangu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Kenya, imeelezwa kuwa nchi hiyo ndiyo inayoongoza kwa kufanya uchaguzi ghali zaidi barani Afrika. Aidha, kwa duniani imeshika nafasi ya pili, ikitanguliwa na Papua New Guinea inayotajwa kuwa kinara duniani, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari...
 16. M

  Waziri wa afya, Ummy Mwalimu amshukuru Askofu Pengo

  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema msaada wa uchimbaji wa kisima cha huduma ya maji safi na salama kilichochimbwa kwenye Kituo cha Mahabusu ya Watoto Upanga, kimeipunguzia Serikali gharama ya Sh4,800,000 zilizokuwa zinatolewa kila mwaka. Kutokana na hatua hiyo Waziri Mwalimu amemshukuru ...
 17. M

  Mzazi: Epuka haya katika malezi ya mtoto wako

  Nimeyakusanya maradhi ya malezi katika ulimi kwenye "Maneno Aina Kumi" yanavunja moyo watoto na yanawahamasisha kupotea, nayo ni kama yafuatayo: KUTUKANA: Kwa kumpa mtoto sifa za wanyama (punda/mbwa/ng'ombe/mbuzi/ewe mnyama/......) au kuitusi siku aliozaliwa. KUMDHARAU: Kwa kumkejeli kwa sifa...
 18. M

  Bombardier yatua nchini kimya kimya

 19. M

  Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

  Habari waungwana, Mwenyekiti wa CCM mkoani Geita na mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku almaarufu kama msukuma ameamua kujibu kombora la mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu sakata la ndege ya serikali kuzuiwa nchini Canada baada ya wadeni kusema wanaidai Tanzania. Msukuma...
Top Bottom