Search results

 1. Liobite

  Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

  Hiyo miracle thunder Box inapatikana online
 2. Liobite

  Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

  Sio smartphone, ni "keypad phone" ya kawaida tu.
 3. Liobite

  Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

  Sio Android mkuu, ni "keypad phone" ya kawaida.
 4. Liobite

  Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

  Nilisoma, lakini nimesahau password
 5. Liobite

  Nimesahau Password, naweza ku-unlock bila kuflash simu?

  Natumia simu (sio simu ya Android) aina ya Oking 1712. Nimesahau password niliyokuwa naitumia. Naombeni msaada wenu wa ku-unlock bila kui-flash. Inawezeka?
 6. Liobite

  Kitabu cha Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

  Nenda kwa Soft utapata hiyo Copy
 7. Liobite

  Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

  Ukipata Sehemu hiyo nishtue MKUU
 8. Liobite

  Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

  Karibu Email: liobitemuhidini@gmail.com Or Njoo Pm Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Liobite

  Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

  Ruvuma mnada wa kwanza bei ilikuwa Tsh. 2338-2280 Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Liobite

  Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

  Habarini, Mwenye kuhitaji Ufuta kununua kiasi chochote kuanzia tani na kuendelea unapatikana. Na kama unahitaji mtu wa kufanya naye kazi ya kununua ufuta unaweza kuwasiliana na Mimi. Maana msimu wa ufuta umekaribia sana na Vyama vya ushirika vitaanza kukusanya ufuta tarehe 23/05/2020...
 11. Liobite

  Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

  Naomba kuuliza wakuu, Barua za maombi zinaandikwa kwa lugha gani?. Kiswahili au kiingerza? Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Liobite

  Jinsi ya kuomba ajira za waalimu

  Acha utani brother,,, Wafungue tarehe 14[emoji4][emoji4][emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Liobite

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Liobite

  Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

  Wakuu tusaidiane kubashiri kwenye hii Jackpot ya Bet Pawa Maana umoja WETU ndio ushindi wetu
 15. Liobite

  Soko la Viazi Vitamu: Natafuta Soko la viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara

  Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Liobite

  Soko la Viazi Vitamu: Natafuta Soko la viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara

  Mtaji [emoji115][emoji115] Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Liobite

  Soko la Viazi Vitamu: Natafuta Soko la viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara

  Duuh,,Kuvuka mipaka ya nchi nafikiri wake unahitaji uwe Wa kutosha Sent using Jamii Forums mobile app
 18. Liobite

  Soko la Viazi Vitamu: Natafuta Soko la viazi vitamu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara

  Napatikana Liwale-Lindi Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom