Search results

  1. mulumbu

    Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

    Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu. Asante
  2. mulumbu

    Natafuta vitabu vya Masifu

    Habari, Natafuta vitabu vya Masifu, sijajua nitavipata wapi kwa anayefahamu kuhusu wapi naweza vipata. Ani-PM
Top Bottom