Search results

 1. It is Sur_Plus

  HESLB APPEAL RESURTS 1st YEAR & CONTINUING APPELLANTS

  Kwa wale walio appeal bodi ya mikopo na sikitika kuwaambia wale wa mwaka wa kwanza mlio nyimwa na kuambiwa ni NON PRIORITY sasa HESLB wanawaita ni UNSUCCESSFUL na wamenyimwa tena. kamakawaida waswahili wanasema ALIYEKUWANACHO ATAONGEZEWA na ndivyo ilivyo tokea wamepewa(wameongezewa) wale tu...
 2. It is Sur_Plus

  Network connection shows that it is connected but I try to go online "No network Access" shown

  nimejaribu kutumia moderm tofauti za airtel, tigo, voda, na zantel but tatizo lipo palepale. napachomeka moderm ina detect device na network na ukiconnect ina inaonesha ipo connected lakini napojaribu kwenda online inagoma au inaleta DSN server not respondingau no internet access. pia kwenye...
 3. It is Sur_Plus

  Mlinzi wetu kapanga na mwizi kutuibia

  Jana katika kipindi cha malumbano ya hoja ITV. Mjadala ulikua mzito sana na wakuvutia kutokana na kwamba takribani washiriki wote walijaribu kuonyesha hasira zao katika suala la TANESCO kuilipa DOWANS hukuikionekana dhahili kwamba kuna PALIWINAWI wanachezewa Watanzania. katika mjadala ule...
 4. It is Sur_Plus

  Tcu mnabania nafasi zote hizi kwa nini

  Hadi sasa ninashindwa kuelewa kwamba hawa ja maa TCU wameshindwa kuimudu CAS central adimission system au vipi. Nina mjomba wangu ambae amemaliza kidato cha sita na akafaulu kwa kupata daraja la kwanza aliomba kwenye 1st round of application akakosa, 2nd round akakosa tena. under 3rd round of...
 5. It is Sur_Plus

  TCU:Call for third (3rd) round application

  Tanzania Commission for Universities (TCU) in collaboration with the National Council for Technical Education (NACTE) and higher education institutions hereby informs prospective applicants for academic year 2011/2012 that the application for third round is now open. Applicants eligible for this...
 6. It is Sur_Plus

  Hawa second applicants post zao zitatoka lini? JE WATAPATA MIKOPO/

  Waungwana nina ndugu yangu alifanya 2nd application tangu hawa TCU na HESLB wametoa post dogo hana amani kama nae ana weza kupata mkopo.
 7. It is Sur_Plus

  Mdogo wenu naomba ushauri wenu katika suala hili la elimu

  Aslaam alaykum wana Jamvi wa Jf. Nahitaji kujiunga katika ulimwengu wa elimu ya juu kwa mwaka 2011-2012. Naomba mnishauri ni some fani ipi na katika chuo gani kulingana na pass mark zangu za O-level na A-level. Kama ifuatavyo O-LEVEL:DIV-III point 23 Hist-C , Geo-D ,ENG-C, Bios-B, Kisw-C...
 8. It is Sur_Plus

  Mbeya na fedha za Manyoka(kuku+ulezi)

  Habari zenu wanajamvi wa Jf. Kiukweri Mbeya ni mji ambao una wajasiliamali wengi sana. Hawa wajasiliamali ni vijana ambao wameweza kufanikiwa katika umri mdogo na kuweza kumiliki mitaji mikubwa hasa katika maeneo ya Tunduma, mbeya mjini, kyela na sehemu nyingine za mkoa huo. But kuna jambo kubwa...
 9. It is Sur_Plus

  KWA NINI KIKWETE HAENDI KUHIJI (HIJJAH) MECCA? Ili aitwe Alhadj Dr Dr Dr J.Kikwete

  Jamani ivi ni kwanini Mh. Dr Dr Dr J.Kikwete haendi Mecca hukiji nae aitwe Alhad'j Dr Dr Dr Kikwete.
 10. It is Sur_Plus

  Shule za nipigetafu na walimu wa vodafasta

  Aman ya Utanzania iwe nanyi wanaJF, Ndugu zangu juzi nilikua katika safari ndogondogo za mwisho wa mwaka huku mikoa ya nyanda za juu kusini katika mikoa ya Rukwa, Mbeya ,Ruvuma na Iringa. Kiukweli nilipita katika vijiji takribani 22 katika mikoa hiyo. Hali ya hizi shule zetu za nipige tafu...
 11. It is Sur_Plus

  Majaji na mshiriki BSS Wageuza KASIMU wa Tiptop kuwa BABY MADAHA

  Katika hali tata Majaji wa Bongo star search Rita na Salama pamoja na Mmoja kati ya washiriki wa top5 MWINYI wamegeuza wimbo wa AMOR wa Msanii Kasimu Wa tiptop kuwa wa Baby Madaha, lichaya Master Jay kuwakanusha kwakuwa Wimbo huwo umetengenezwa katika studio za MJ RECORD chini ya Marco Chall...
 12. It is Sur_Plus

  *** eid mubarak ***

  Aslaamu alaykum wanaJF. Salaamu za kher kwa wanaJF wote katika kusherekea sikuku ya muhmu ya EID AL ADHA kwa Waislaam wote duniani Hapo kesho . Ikiwa ni ishara ya kumalizia kwa ibaada kubwa Hija na nguzo ya mwisho ya Uislaamu. Ambayo hufanyika katika mji mtakatifu wa Macca. Ishallah tuwe...
 13. It is Sur_Plus

  Msaada:kwa anae ifahamu SANGU HIGH SCHOOL

  Tafadhar wana Jf naombeni msaada nahitaji kufahamu uwezo wa shule ya Sangu katika kutoa taaluma bora. Nina mdogo wangu ambaye anatalajia kujiunga na masomo ya kidato cha tano mwakani. Nilimuuliza angependa kusoma shule ipi A'level akanitajia Shule hiyo.
 14. It is Sur_Plus

  Elections 2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

  Katika vurugu zilizo tapakaa mji wa mbeya sasa ivi. Shule xa wasichana Loleza imechomwa moto. Mji mzima umechafuka vikosi vyote vya usalama vya mwagwa mitaan
 15. It is Sur_Plus

  Elections 2010 Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu.

  Mbeya yachafuka mabomu na risasi zarindima kutawanya watu. Mitaa ya Mafyati, Mwanjelwa , Airport hadi soweto vurugu tupu. Vijana wasubir Mr.2 (sugu) kutangazwa mshind wa Ubunge mbeya mjin
 16. It is Sur_Plus

  Mwisho chali Bigbrother allstars

  Mwisho chali Bigbro allstars 2010. UTI (Nigeria) ashinda zile US do'z 200000/= akifuatiwa na Munya(Zimbabwe) ,Lerato (SA)
 17. It is Sur_Plus

  Je Mwisho ataondoka na US do'z 200,000/= Bigbrother Africa leo?

  Leo ikiwa ni siku ya 91 na ya siku ya mwisho kwa washiriki wa BBA All stars 2010, Je mshiriki kutoka tz Mwisho ataibuka na kiti a cha dola 200,000/= leo wakati akipata ushindani mkali kutoka kwa washiriki wenzake ndani ya top 5 kama Uti (Nigeria) Munya(zimbabwe) Lerato( SA) Sheila (kenya)...
 18. It is Sur_Plus

  Wanamaombi muombeeni mgombea ubunge wa S'wanga mjini(CCM) Standard seven

  Wanamaombi muombeeni mgombea ubunge wa S'wanga mjini(CCM). Ndugu Aeshi Khalfan Huyu jamaa amekua akimwaga fedha kwa wananchi ili wamchague katika uchaguz wa oct31. Anatumia fedha kuficha level yake ya elimu "standard seven" maovu yake aliyokua akiyafanya mf. Kutembea na kuwapa mimba watoto wa...
Top Bottom