Search results

 1. DSN

  Rais Magufuli anzisha Taasisi ya Maadili ya Umma

  MH RAIS NAOMBA UANZISHE TAASISI AU MAMLAKA YA KULINDA NA KUTETEA MAADILI NA UZALENDO KWA TAIFA. Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mtare John Pombe Magufuli awali ya yote sina hofu toka siku ile Dodoma ulipochaguliwa nilijua mawazo yangu juu ya Taifa langu na masahibu iliyopita sasa...
 2. DSN

  Tiba ya Machinga Dar na Mwanza Yaweza kutibiwa Hivi

  Mikoa ya Dar es Salaam na Mwanza ni mikoa ya Majiji ambayo kwa kiwango kikubwa huduma zitolewazo na Machinga ni muhimu sana kwa maisha ya Watanzania kwa huduma wazipatazo na pia ni muhimu sana kwa Machinga wenyewe kwa kuwa shughuli wanazo ziendesha hugeuka kuwa Ajira za kuendesha maisha yao na...
 3. DSN

  ''Umoja ni ushindi'' brand hii inajulikana mwenye nayo

  Sasa ukisikia bidhaa nyingine imeibuka na slogan hiyo...ukiuziwa shamba na Copy ya Branda C wakati Brand B iliyojaribu kuwa Brand A ambayo ndiyo original hiyo A ndiyo Founder wa Brand zote B na C...kisha brand C akuaminisha kuwa anao ubora wa kukutengenezea vitu vya muasisi wa bidhaa inayokopiwa...
 4. DSN

  Taarifa Ya UVCCM Kwa Vyombo Vya Habari Tarehe 31 Oktoba 2015-Dar es Salaam

  TAARIFA ILIYOTOLEWA NA UMOJA WA VIJANA WA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 31 OKTOBA 2015 MAKAO MAKUU YA UVCCM DAR ES SALAAM Ndugu Waandishi wa Habari, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi unachukua nafasi hii kukipongeza kwa dhati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa mgombea wake wa...
 5. DSN

  Acha Waisome Namba, CCM Mbele kwa Mbele

  Ukiwa Mpenda Haki Daima Ufisadi, Dhuruma, Ushirikina, Wizi, Utaperi, Uongo, Uzinzi, Unafiki vitakuwa si sehemu ya mawazo yako bali Ukweli, Uadilifu na hofu ya Mungu na kutenda mema kwa wenzio na Taifa lako itakuwa ni sehemu ya maisha yako...Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko...Nashiriki...
 6. DSN

  Iwe wanataka, Hawataki kupiga chini kupo pale pale, ni lazima aiepukiki wafanyeje ndio utaratibu

  Na asie taka kupiga kura atoke nje!!!!!!!!!mengine yakisemwa hadharani ni staha inatakiwa ....kama ndege walukao mbawa sawa ...ilo halipingiki dunia nzima ndio utaratibu kwa Nchi kwa niaba ya umma kuwa na jicho linalo ona mpaka boksa yako unapoiweka kila siku usiku ukiingia kulala, inachofanya...
 7. DSN

  Mama Maria Nyerere amewasili mji wa Dodoma kushuhudia vikao vya Uteuzi vya CCM

  Mama Maria Nyerere amekwisha wasili mji wa Dodoma kushuhudia vikao vya uteuzi vya Chama Cha Mapinduzi [CCM] vinavyoendelea kwenye mji wa Dodoma: Source: FB Page ya Cyprian Msiba:
 8. DSN

  Kuelekea Uchaguzi wa 2015, Amina Chifupa atimiza miaka nane tangu afariki 26/06/2007

  AMINA CHIFUPA ATIMIZA MIAKA NANE 26/06/2007 Nyerere alinipiga POINT OF ORDER kwenye kikao cha NEC Halmashauri Kuu Ya Taifa Kilichofanyika WHITE HOUSE DODOMA tukiwa kwenye mjadala wa NEC kama huu ulofanyika kati ya tarehe 6/07/2015 na tarehe 11/07/2015. Napenda kuyaeleza haya kwa kuwa ni...
 9. DSN

  Makongoro Nyerere: Urais ni sumu, Mzigo na msongo na sio chakula cha jioni!

  Mtia Nia Makini Kwa Tiketi Ya CCM Ndugu Charles Makongoro Nyerere anasema maneno mazito na yenye hekima hebu yapime na utafakari hatima ya Taifa lako kuelekea Uchaguzi wa 2015: ''Urais sio nafasi ya kuonyesha mtu.... Kwa sababu Wezi waliweza kushika madaraka mara moja haimaanishi itakua hivyo...
 10. DSN

  Hivi ni kosa kwa Mwanasiasa au Kiongozi wa Tanzania kunywa ?

  Hivi kwa Tanzania ukiwa Kiongozi au Mwanasiasa na ukawa unakunywa Pombe ni kosa la kukunyima fursa ya kutumikia ofisi ya Umma au shirika la Umma?
 11. DSN

  Ni Kweli Hakuna Mwenye Ushahidi Kuhusu Tuhuma Za Ufisadi Kwa Kuwa Walishamaliza Mwaka Toka 2008

  NI KWELI HAKUNA MWENYE USHAHIDI KUHUSU UFISADI KWA KUWA WALISHAMALIZA MWAKA 2008 HAKI NA MADARAKA YA BUNGE. Kwa mujibu wa lbara ya 100(1) ya Katiba ya Nchi na kwa mujibu wa Kifungu cha 5 Cha Sheria ya Kinga,Haki na Madaraka ya Bunge,uamuzi wa Bunge hauwezi kuhojiwa mahakamani. Ibara ya...
 12. DSN

  Kwenda vitani alikuwa Mzalendo, lakini kwenda Ikulu Mbeleko ya Baba Yake

  Kuna Watanzania wenzangu wananishangaza sana hasalinapokuja swala la Mtoto wa Baba Wa Taifa Ndugu Charles Makongoro Nyerere kuomba nia ya Urais kwa tiketi ya CCM,kuna baadhi ya watu wanasema Eti anategemea Mbereko Ya Baba yake, eti kwa sababu ya kuwa Baba yake alikuwa Mwasisi wa Taifa hili [Rais...
 13. DSN

  Matumizi ya watoto kwenye mambo ya Siasa ni Unyanyasaji, Sema hapana kwenye Child Abuse

  Najaribu kutafakari dhima au lengo la kutumia kibwagizo cha IKULU sio ya Babako anataka tujifunze nini.manake ana flow nzuri ya kimantiki kuhusu ujumbe lakini inapofika kwenye kibwagizo maana nzima ya maneno aliyotamka mwanzoni inamezwa na neno IKULU SIO YA BABAKO. Sasa ujumbe mzuri kuhusu...
 14. DSN

  Msiudanganye umma kihivyo kuwa mzee Mkapa na mzee Msekwa wanawaunga mkono

  MSIUDANGANYE UMMA KIHIVYO KUWA MZEE MKAPA NA MZEE MSEKWA WANAWAUNGA MKONO. Kumekuwa na aina fulani ya propaganda zinazopita mitandaoni kwenye whatsup zikionyesha kuwa kundi fulani lina baraka za baadhi ya wazee muhimu wa vikao vya wazee wa chama cha Mapinduzi ambao ni Mzee Benjamini Mkapa...
 15. DSN

  Maneno ya Bashe ni dhihaka kwa watu, imenikumbusha ya Mzee Warioba

  Kuna kauli ambazo unaweza ukaisikia ukajiuliza uwezo wa mtoa kauli je ANATAMBUA SIFA za anao WAKEJERI tena akiwa ni mtu wa karibu sana na mgombea ambae ANA TASWIRA PANA kwenye siasa za MAJUKWAANI na sio mantiki ya UHALISIA.Nimekumbuka maneno makali ya marehemu Komba juu ya Mzee Gwiji wa sheria...
 16. DSN

  Nakuja Kuwajibisha Watu Na Kurudisha Tanzania Katika Mstari

  Wanagombania tiketi CCM wote walikuwa mawaziri na Mabalozi wengine hata Majaji...lakini je walitumikia watanzania kwa vigezo vinavoonekana? Mimi Charles Makongoro nakuja kuwajibisha watu na kurudisha Tanzania katika mstari. Ukichukia sera zangu basi unastahili kwenda jela maana ni mwizi...
 17. DSN

  Kuelekea Uchaguzi nafsi ya Urais 2015, Hii ndio tano bora yangu ya watia nia CCM

  Tano bora yangu ya CCM ni hii KAMA ningekuwa ni miongoni mwa wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), basi ningehakikisha kuwa napeleka majina yafuatayo matano kwenye Halmashauri Kuu ya Taifa.Kati ya majina zaidi ya arobaini ya wanachama waliojitokeza kutaka kupendekezwa...
 18. DSN

  Naomba kuuliza hivi ule Wimbo wa Bomu limekwisha pasuka maji yamekwisha mwangika, Uliishia wapi?

  Huu wimbo wakati ule ukiimbwa nilikuwa mdogo sana ..lakini maudhuhi yake yalikuwa yananifurahisha sana...manake vijana wadogo wadogo wa wenzi hizo...radio yetu ni moja na nyimbo nzuri nyingi za burudani na elimu ya umma zilikuwa zinatoka mida ya mchana mwema mida ya maakuli ..lakini pia kulikuwa...
 19. DSN

  Ukisikia kauli ya nitaanza na rushwa na Ufisadi, Unategemea itakuwa ni kauli inatoka kwa nani?

  CCM wanapokaribia kufanya uchaguzi wao wa kiongozi ngazi ya Rais na ifikapo tarehe 12 July 2015 basi awe ameshapatikana rasmi na hivyo wao nao kama chama kujianda rasmi yeye na chama chake kuingia kwenye kunadi sera zao kwa Taifa.Kama Taifa kuna kero kuu ambazo kero hizo zimezaa magugu...
 20. DSN

  Wakati Tanzania Mtia Nia Anahimiza Rais Wa Utajiri, Dunia Ya Kwanza Wanahimiza Rais Wa Kawaida

  FIKRA ZA KIONGOZI WA TAIFA LANGU TANZANIA DUNIA YA TATU Kweli wakati mwingine kuna mawazo ambayo wakati mwingine ukiyasikia na kuyapima kuwa yametoka kwa kiongozi wa juu kiwango hicho cha kuomba mamlaka ya juu ya Taifa...napata muwasho wa fikra za kujifikirisha ilikuwaje mtu wa hadhi hiyo kuwaza...
Top Bottom