Search results

 1. Mparee2

  Wizara ya Utalii mnatia aibu

  Hivi unaweza kuamini hadi tarehe ya leo Kuna kituo kimoja tu cha kuchukua sample za Korona kwenye Mbuga zote Tanzania. Wenzetu Kenya ka mbuga kadogo ( Masai Mara) kama robo ya Serengeti kanavyo zaidi ya 10 yaani jamani haingii akilini!! Hicho Kituo kimoja cha Seronera ni private sector...
 2. Mparee2

  Covid - mfumo wetu wa kupima Korona hauwafai watalii...

  Kwa Muda sasa nimekuwa nafuatilia mfumo wetu wa kupima covid (PCR) nikaona unawafaa watu ambao hawana haraka au hawana tatizo la muda kitu ambacho sio rafiki kabisa kwa utalii 1. Tulitangaziwa kuwa majibu kwa Dar/ Arusha mikoa yenye Lab yatatoka Ndani ya saa 24 kitu ambacho, ukiuliza lab...
 3. Mparee2

  Nashauri wasio kwenye ndoa wasichangie mada za ndoa

  Tumekuwa tunapokea changamoto mbalimbalai za ndoa hapa JF. Hata hivyo kumekuwa na wimbi ka vijana wadogo kuingilia kati na kuchangia kwa hoja yao moja tu; Hapo huna Ndoa au Muache mke/mume. Hii ni kitu cha kusikitisha sana. Kwani kuna wachangiaji wengi wa masuala ya ndoa ambao hawajaoa au...
 4. Mparee2

  Ngozi ya kutengeneza Makochi ( first CLASS)

  Kijana wangu amepata order ya makochi ya Leather Inaweza kuwa ile NGOZI ya kutengeneza ( Artificial) ila first class Inapatikana wapi kwa Arusha au Dar? bei kwa meter?
 5. Mparee2

  Benki kutangaza imepata faida kwa kuongeza tozo

  Kuna Benki Maarufu hapa nchini. Kila ikikaribia kipindi cha kutoa report ya mwaka wao hupandisha kila tozo na kuongeza tozo mpya na hivyo kusomea wadau wake kuwa imepata faida ya mabilioni. Ningetaraji Benk ifanye biashara na sio kufungua matawi kila meta kadhaa ambayo unaweza kuona tu kwa...
 6. Mparee2

  Kibao cha Kilometa 50 hakipo kutoka Korogwe kuelekea Wami

  Wapendwa Nilipita hiyo barabara Kutokea Korogwe hadi Wami kuna sehemu mbili wanapiga touch ILA hakuna vibao vya kuonesha mahali speed 50 ilipo anzia lakini vipo vya kuonesha ilipoishia. Kwa dereva anayejua sheria; Akifika kwenye hiyo miji midogo anapunguza na kutembea KMS 50 (kama sheria...
 7. Mparee2

  Simtank lita 10,000 limepasuka upande wa chini ubavuni

  Kwa anayejua Fundi wa kuziba Simtank. Ni tank kubwa la lita 10,000 na limepasuka upande wa chini ubavuni. Kutokea chini kabisa kuja juu kama sm 45 hivi. Najua sehemu ya chini huwa kuna mgandamizo (pressure) kubwa wa maji hivyo yahitaji fundi anayeelewa vizuri Tank lipo Morogoro mjini
 8. Mparee2

  Projector specifications

  Nahitaji kununua projector kwa ajili ya kufundishia watu kama 150 hivi Iwe inatoa picha/Michoro mikubwa na ya rangi maandishi makubwa yanayosomeka Display yake iwe kubwa kwa kuwa watu tarajiwa ni wengi Naomba mwenye uzoefu na projector anipe specification ili nianze mchakato wa kuitafuta asanteni
 9. Mparee2

  Mapendekezo yangu kuhusu Kikotoo cha Kodi bandarini

  Napendekeza Mamlaka ya Mapato waweke kikokotoo rahisi kwa walipa kodi kukielewa. Mfano: Kuingiza gari (waweke categories kama tano tu hivi na bei yake ambayo itajumuisha kodi zote za serikali. Labda kibaki malipo ya clearance agent peke yake na hata ikibidi na yeye ajumlishwe Mfano...
 10. Mparee2

  Makampuni ya simu yaweke huduma ya kufuta meseji zilizokosewa

  Napendekeza makapuni ya simu yaweke huduma ya kufuta ujumbe wa meseji (text) zilizokosewa; mfano ndani ya sekunde 15 au pengine kabla haujasomwa. Nimependekeza hivi baada ya kuona watu wanavyo pata wakati mgumu pale wametuma meseji kwa makosa; mf: Mtu huweza kukosea na kumtumia bosi wake...
 11. Mparee2

  Hakuna dawa ya mitishamba ya kutibu pressure?

  Kuna rafiki yangu anaumri wa zaidi kidogo ya mika 30 amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pressure ya kupanda kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Amepata matibabu ya kila aina mahospitalini ambapo yote yamekuwa ni kupunguza tu kwa muda. Amejaribu pia miti shamba kidogo ila hajapata mtaalam sahihi wa...
 12. Mparee2

  Kampuni nzuri ya kuagiza magari japani

  Mimi leo nitaongelea kamapuni moja tu inaitwa NIKKYO ambayo imenipa huduma nzuri mimi na marafiki zangu. Nimesha agizia marafiki zangu watatu kwa kupitia kampuni hii ya Kijapani ijulikanayo kama NIKKYO www.nikkyocars.com Hii kampuni haina jina kubwa Tanzania ila nilipata recommendation kwa...
 13. Mparee2

  Mabadiliko ya sheria/taratibu zinazo husu wageni - iwepo nakala ya Kiingereza

  Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani Kiswahili na Kiingereza I weje tangazo linalo wahusu watalii kwa asilimia 80% likose nakala ya...
 14. Mparee2

  Gharama za kuingiza gari bandari ya Dar

  gharama za kupitisha vyombo vya moto bandarini
 15. Mparee2

  Hospitali ya rufaa ya Mout Meru Arusha haina parking

  Nilishangaa kuona Hospitali inayoitwa ya Rufaa haina parking. Sehemu pekee watu wanayotegemea kupaki ni nje kabisa pembezoni mwa barabara ya East Africa ambapo ni pafinyu labda niseme panatosha robo ya mahitaji.
 16. Mparee2

  Ungependa Serikali ifanye nini kuongeza chachu ya maendeleo ya watu na Taifa?

  Natamani kuona mawazo chanya ya watanzania wakipendekeza nini kingefanyika ili kikidhi matarajio ya ndoto zao na za Taifa. Hapa tuongelee maendeleo/Uchumi, mambo ya kampeni za siasa tuweke pembeni. Kama hoja inahusu mkoa/eneo fulani litaje. Binafsi napendekeza; 1. Vijana wetu wanao maliza...
 17. Mparee2

  Kwanini Serikali isiweke utaratibu wa soko la ndani kununua korosho?

  Wandugu, Nimekuwa nasikia kuwa soko la Korosho huko Duniani sio nzuri hali iliyopelekea wakulima wetu kubaki na korosho zao. Mtazamo wangu: Kwa kuwa mikoa ambayo haizalishi Korosho ambayo ndio mingi bei yake ipo juu sana (kuanzia shs 20,000 kwa kilo iliyo banguliwa); hii bei ni ya juu sana...
 18. Mparee2

  Tanzania tuwe na vituo vya kupimia Coronavirus ili kuokoa utalii

  Wengi tunajua kuwa Utalii umekuwa na Mchango mkubwa sana kwa ukuaji wa Uchumi wetu na ajira kwa Watanzania Kutokana na hili Janga la Corona kumekuwa na changamoto kubwa tunayopata kwa mashirika ya ndege na Nchi nyingi za Ulaya na Marekani kuhitaji wageni wawe wamepima nakupata majibu negative...
 19. Mparee2

  Madaktari (PhD) wasipangiwe muda wa kustaafu

  Nimekuwa nafuatilia wasomi wazuri hasa wa Saiyansi kufikia hatua ya PhD na kuona kuwa kuwastaafisha eti kwa kuwa umri umefika kwamtazamo wangu sio sawa. Kusoma na kufikia kiwango hicho cha Elimu wengi hufikia kwenye miaka 40 na 50. Naona ni hasara kumuachia mtaalam wa aina hiyo astaaf baada ya...
Top Bottom