Search results

 1. Phd Hewa

  Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

  Kwa mujibu wa Meya Boniface Jacob: “Nyumbani kwangu Wamevamia Askari wenye Uniform za JWTZ watatu na Mmoja wao Amevalia kiraia na ana Video Camera,wameiweka familia chini ya Ulinzi, Wanapekua kila Mahali Vyumbani, Bila mimi Mwenye nyumba, Polisi, Mjumbe kuwepo...Naelekea huko muda huu” Ameandika
 2. Phd Hewa

  Diwani wa CUF wilayani Ruangwa mjini mkoani Lindi ajiuzulu

  Diwani wa CUF anaetambulika kwa jina maarufu Selenge amejivua udiwani diwani huyo alikua hapo hapo Ruangwa mjini kata ya Nachingwea miongoni mwa kata mbili za huko mjini Ruangwa. Ruangwa mjini kuna kata mbili na zote zilichukuliwa na CUF kata moja ipo wazi na sasa CUF amebakiwa na kata moja...
 3. Phd Hewa

  Bank zimenza kufungwa wananchi walia na pesa zao

  Moja ya video ikionesha wananchi wakilalamika juu ya kufungwa kwa bank ijulikanayo kwa Jina ka Meko bank iliyopo Meru... Mimi bado ni kijana mdogo sana ningeomba wakubwa wangu munipe kumbukumbu kama haya mambo ya kufunga mabenk yalikuwepo huko nyuma na kama yaliwepo wateja walilipwa fedha zao...
 4. Phd Hewa

  Buswita alifungiwa je hili la Asante kwasi mchezaji halali wa lipuli fc litapita salama?

  Wadau wa soka wana kila sababu ya kuingia hofu juu ya utendaji wa shirikisho la soka nchini (TFF) lililo chini ya Wallace Karia na Michael Wambura. Baadhi ya maamuzi yanayofanywa shirikisho hilo linalojinasibu kudhamiria kupeleka mbele soka la Tanzania yamekuwa na 'ukakasi'. Kumekuwa na...
 5. Phd Hewa

  Tanesco vipi ruangwa giza totoro na maulidi kitaifa yanafanyika hapa?

  Wakuu leo hapa wilayani ruangwa ndipo yanafanyika maulidi kitaifa lakini umeme bado ni shida. Karibuni wageni wote Karibu sana mheshimiwa makamu wa rais mama samia suluhu Ukiambatana na waziri mkuu wa JMT Mheshimiwa majaliwa kassim majaliwa Tanesco Mungu anawaona.
 6. Phd Hewa

  Uchaguzi mdogo Kata ya Nnacho - Ruangwa: Mnachofanya siyo sheria

  Nnacho wilaya ya ruangwa mkoani lindi wanachama wa upinzani hasa vijana wanakamatwa hovyo kuanzia juzi na leo kamata kamata inaendelea mbaya zaidi watu wanakamatwa hata wakiwa kwenye foleni hadi sasa watu waliyokamatwa ni zaidi ya 30 imefikia hadi wengine wanaogopa kwenda vituoni kupiga kura na...
 7. Phd Hewa

  Tupo na Waziri Mkuu toka jana tunashukuru umeme haujasumbua Ruangwa

  Ni miezi zaidi ya 5 wilayani Ruangwa umeme haujawahi kukesha lakini jana kuhamkia leo ni furaha kwa siku hizi tatu ambazo atakuwa na ziara wilayani hapa nafurahi juice zetu hatuta mwaga kama inavyotutokeaga siku zote ni fursa mkuu uwe unatutembelea tembelea mana ukija wewe umeme unatulia sana...
 8. Phd Hewa

  Kumbe hata Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuitwa mchochezi kwenye Serikali ya kikoloni

  Kama picha ya maktaba inavyoonekana mwl nyerere akiwa na mawakili wake akielekea mahakamani kwenye kesi yake ya uchochezi
 9. Phd Hewa

  Wakulima wa Lindi na Mtwara kukatwa sh.30 kwenye zao la korosho kuchangia elimu

  Wakulima wa Korosho Mikoa ya Lindi na Mtwara watakatwa Sh.30 kwa kila Kilo moja ya Korosho kwa lengo la kuchangia mfuko wa elimu kwa mikoa hiyo.Wakulima hao wapo njia Panda maana wanachojua wao elimu bure Chanzo Saidi litwe fb page.
 10. Phd Hewa

  Shule ya Msingi Malungu wilayani Nyasa ina wanafunzi zaidi ya 440 waalimu 3

  Kama kichwa cha habari kinavyosema Shule ya msingi Malungu wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma Songea Tanzania inakabiliwa na changa moto ya waalimu, Ina wanafunzi 445 lakini waalimu wanaofundisha kwenye Shule hiyo ni watatu 3 tu tena wawili ni mke na mume wake, Nilibahatika kufanya mazungumzo na...
 11. Phd Hewa

  Swali la kujiuliza kuhusu Silaha za moto na Matumizi yake

  Ndugu zangu watanzania sina muda wa kurembesha post yangu nazama moja kwa moja kwenye lengo. Siku za hivi karibuni tuliona mwananchi wa Tanzania na Mbunge ambae alikua waziri fulani na sasa ni mbunge siyo waziri. Kwajina munamfahamu mwanachi huyo ambae pia ni mbunge alitishiwa kupigwa bastola...
 12. Phd Hewa

  Dua: Kuliombea taifa na maombolezo ya kuondokewa na askari wetu ambao ndio usalama wa nchi yetu

  Eh Menyezi mungu tunusuru na majanga kama haya pia inusuru nchi yetu na mabaya/ Wabaya wanaoingalia nchi yetu kwa jicho la ubaya wasifanikiwe. Watie nguvu ndugu family na marafiki wa askari wote waliouawa kwa matukio Kama haya najua nguvu kazi na tegemezi kwa taifa imeangamia chonde chonde...
 13. Phd Hewa

  Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Nimeshtushwa kwa kupotea Roma na wenzake

  Haya ndiyo maneno ya mheshimiwa Mwigulu Nchemba kwenye akaunti yake ya Twitter kuhusu kupotea au kutokuonekana kwa Roma na wenzake.
 14. Phd Hewa

  Nchi yetu inavyoendeshwa wenye akili timamu lazima tuumizwe na utawala uliojaa double standard

  Kama Leo Wabunge Wanatukana Bungeni Japo Sina Uhakika wa Matusi yenyewe Tujiulize kwa nini au ni Sababu Gani Iliyosababisha Mpaka Mbunge au Wabunge wa Upinzani Wanafikia Kutukana? Pili Naomba Maana ya Matusi Aliyotukana Alima Mdee na Freeman Mbowe Mana Nimesoma Habari ya Kuwa Leo Wanahitajika...
 15. Phd Hewa

  Hospitali ya Apollo inaweza kusitisha kupokea wagonjwa kutoka Tanzania kutokana na deni

  Hospitali ya Apollo India huenda ikasitisha kupokea wagonjwa kutoka nchini Tanzania kutokana na deni kubwa inayodai. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema hayo leo wakati alipokuwa akizindua bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Tiba ya Moyo ya Jakaya...
 16. Phd Hewa

  Mheshimiwa Rais unapokuja Ruangwa ukiwa kwenye ziara yako tunakuomba usipande ndege, njoo kwa gari

  Kama Kichwa Cha Habari Kilivyo Tunakuomba Utumie Usafiri wa Gari Utakapokuja Wilayani Ruangwa Uje Ujionee Bara bara ya Anakotokea Waziri Mkuu Wetu. Atuna Mengi ni Hayo tu.
 17. Phd Hewa

  Halmashari ya Wilaya ya Ruangwa Yafunga Maduka

  Halmashari ya Wilaya ya Ruangwa Yafunga Baadhi ya Mabanda ya Wafanya Biashara wa Sokoni na Maduka yanayolizunguka Soko Yakiwemo na Mabanda Ya Stend Kuu ya Ruangwa Kwa Kile Kinachodaiwa Kupinga Kwa Wafanya Biashara Hao Kulipa Kodi Iiyozidi Mara Nne ya Bei ya Zamani Ambayo Ilikua Sh. Elfu 5000...
 18. Phd Hewa

  Bei ya Unga Wa Sembe Ruangwa Lindi ya Paa

  Bei ya Unga Wa Ugali Ruangwa Mjini Leo hii Mfuko wa Kg 25 ni sh40,000 hadi sh.37,000/= Bei ya Jumla Reja Reja ni sh.2000 hadi sh.1800 kwa kg1 Chanzo Mimi Mwenyewe.
 19. Phd Hewa

  Umeme Ruangwa Lindi ni Jipu Lisilotumbulika

  Maswali Yangu Machache Ni Kwanini Umeme Ruangwa Unasumbua namna Hii? Msema Kweli Mpenzi wa Mungu Mpaka sasa Leo hii Umeme Umekatika Zaidi ya Mara Tano Zima Washa Zimekua Kila Muda na sasa ni Zaidi ya Miezi Miwili Kumekua Na Tatizo Hili Tanesco Ruangwa Kulikoni? Hivi Munaijua Hasara Inayopata...
 20. Phd Hewa

  Ridhiwani ainyooshea kidole Serikali ya JPM

  MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete (CCM), ameoinyoshea kidole Serikali na kuitaka kuja na majibu ya kuridhisha ya namna ya kukomesha migogoro ya ardhi nchini. Kutokana na hali hiyo amesema licha ya kuishauri Serikali kila mara bungeni lakini bado waziri mwenye dhamana ameshindwa...
Top Bottom