Search results

 1. msnajo

  Mpeni haki yake Zitto Kabwe

  Na Elias Msuya,Mwananchi. Dar es Salaam. Ni wazi kwamba hali ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo si shwari. Kumekuwa na malumbano ya muda mrefu tena kwenye mitandao ya kijamii ambapo makada na viongozi wa chama hicho wamekuwa wakitupiana lawama...
 2. msnajo

  Maumivu ya kiuno.

  Salaam wadau, Wadau naomba kujuzwa, nini chanzo cha maumivu ya kiuno?? 1. Je ni symptom ya ugonjwa fulani mwilini? 2. Nini tiba yake? Please kwa yeyote mwenye kufaham hili jambo, naomba anipe ufafanuzi. With thanks.
 3. msnajo

  Gharama za urafiki.

  Wakuu salaam. Kama heading itakuwa tofauti na mada hapa chini, naomba mniwie radhi. Kwa kifupi sana, miaka ya 2000 mwanzoni kuna jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu na enzi hizo ndo tulikua tanamaliza kidato cha nne. Kwa bahati mbaya mwenzangu alipata matokeo ambayo sio mazuri. Ila mimi...
 4. msnajo

  Ya kweli haya?

  Wadau salaam... Naomba tuusome huu utafiti kisha tujadili. UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo. Pia, watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa...
 5. msnajo

  Vyombo vya dola vipo kwa ajili ya nani??

  Wakuu salaam. Naomba tujadili kama GT. Tuweke tofauti zetu za kiitikadi pamoja na vyama pembeni. Vyombo vya dola hasa mahakama na polisi, wapo kwa ajili au faida ya nani?? Je, ni sisi wananchi au ni wenye uwezo, au watawala? Nimelazimika kuleta huu mjadala kutokana na ukandamizaji na uonevu...
 6. msnajo

  Ukwasi wa mishahara kwa baadhi ya Watumishi.

  Wakuu salaam, Naomba kwa pamoja tujadili hili swala. Tanzania hii kuna watumishi wanalipwa mpaka 20ml, upande wa pili kuna wanaolipwa laki 3. Hii inatia uchungu sana. Najiuliza tofauti kubwa namna hii tunaenda wapi?? Majuzi nilisoma thread moja humu kuwa wabunge wamefika 10ml(sina uhakika)...
 7. msnajo

  Wapi Lowassa?

  Saluti kwa wana jf wote. Wakuu ni siku nyingi sijamsikia mpambanaji EL, nini kimemkumba? Huyu bwana pamoja na makashfa yaliompata hadi kujiuzulu, alikuwa bora kuliko Pinda. Nina kila sababu ya kusema haya. Ukitaka kuamini haya, tazama hoja za Pinda mjengoni na kauli zake juu ya maswala muhimu...
 8. msnajo

  Wapi Lowassa?

  Saluti kwa wana jf wote. Wakuu ni siku nyingi sijamsikia mpambanaji EL, nini kimemkumba? Huyu bwana pamoja na makashfa yaliompata hadi kujiuzulu, alikuwa bora kuliko Pinda. Nina kila sababu ya kusema haya. Ukitaka kuamini haya, tazama hoja za Pinda mjengoni na kauli zake juu ya maswala muhimu...
 9. msnajo

  Walimu wamethubutu

  Wakuu salaam, Taarifa kutoka Wilayani Ujiji (Kigoma), walimu wapya wamewafungia ofisini wakuu wa idara kwa masaa kadhaa. Sababu kubwa ni kutokulipwa mishahara yao ya February. My Take. Mbuyu ulianza kama mchicha! Huu mlolongo wa matukio ya namna hii ni ishara kwamba ukombozi wa kweli haupo...
 10. msnajo

  CCM kumecha!!

  Wakuu naomba kuwasilisha. Hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa ndani ya chama Tawala, hususani katiba yao. Kimsingi sina haja ya kupinga haya mabadiliko, laa kujua lengo la haya mabadiliko. Ni kwa ajili ya kundi fulani la watu ndani ya chama au kwa mustakabali mzima wa Chama? Sijaelewa...
 11. msnajo

  Rais p. Nkurunzinza aapa kutovumilia ubadhirifu.

  Rais P.NKURUNZINZA wa Burundi amenukuliwa na vyombo vya habari kuwa kamwe hatawavumilia watumishi wa umma watakaojihusisha na rushwa. (Source: CTV-KENYA). MY TAKE: Hapa kwetu Tz nani atadhubutu kuwakoromea watumishi wa umma walau wapunguze kula rushwa, manake kuwawajibisha...
 12. msnajo

  Hotuba ya mwisho wa mwezi.

  Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?
 13. msnajo

  I wish ningeipiga serikali fumigation

  Wadai mtanisamehe, hali inatisha jamani. Ningekua na uwezo ningepiga fumigation system nzima ya utawala, ianze tena upya. Huu si utani, inaumiza hali ni mbaya na hakuna anaewaza kuhusu hali za Watanzania... Can any body tell me what is going on here in Tz? What is behind the screen?. Je yale...
 14. msnajo

  Msaada.

  Wadau naombeni msaada, budget ya mh. Mkulo ilikuwa ni sh ngapi na ni tegemezi kwa asilimia ngapi? Ahsanten
 15. msnajo

  Kwa hili Chadema Mkuu Juu.

  Nimefuatilia mdahalo wa Star TV kati ya Heche na Nape, Chadema wanatisha. Hivi vifaa mlivyonavyo hakuna tofauti na akina Lionel Messi. Huyu Bw Hache ameongea hoja iliyonifurahisha sana, kwamb CDM wana "Chadema Student Organisation" (CHASO), kuhakikisha kuwa hata kwenye ngazi ya udiwani wanaingia...
 16. msnajo

  Kwako Mh. Lyatonga Mrema.

  Mh natanguliza salam zangu kwako. Kwa muda mrefu umeweka historia nzuri ya uwajibikaji kama mpinzani wa ukweli. Japo msimamo wako haueleweki sana hadi watu wanahisi kuwa wewe ni mbomoaji wa upinzani badala ya kujenga. Na hata umekuwa mtu wa kung'ata na kupuliza na ukawa vuguvugu! Kuna hili swala...
 17. msnajo

  Elections 2010 CCM yapanga kuwarudishia vijana imani kwake?

  CCM wanajipanga kuwanasa vijana na kuwarudishia iman iliyopotea. Wanajisafisha na kuendelea kujipanga. SWALI, "VIJANA GANI WANAKAMATWA"? Ambao wana haja ya kuendelea kufanywa watoto?. Days are numbered, hata wafanye nini, hakuna imani tena. Ukifa umekufa, huwezi kufa mara mbili. RIP CCM.
 18. msnajo

  Swali.

  Kwa nini jf members wanatumia majina ya ajabu? Au ni woga wa kujulikana? Mengine hayafai hata kutamka. Nina mashaka kuna wengine nawafaham ila kwa kuwa wanatumia majina magen nashndwa kuwatambua.
 19. msnajo

  Swali.

  Kwa nini jf members mnatumia majina ya ajabu namna hii. Mengine hayafai hata kutamka. Au tunaogopa kujulikana?
 20. msnajo

  Hizi namba za magari zikoje.?

  T 158 TIA, T 367 VUZ, T 281 MBO. T 901 UKE, T 108 UCH, T 445 SEX. Wakuu zitaleta hamasa ya kutamka huna haja ya kutamka kwa herufi, unataja neno full.
Top Bottom