Search results

 1. B

  Upweke natafuta rafiki wa kike

  Habari za jiniii, nishakuwa na nyuzi kadhaa hapa nikitafuta mweza ila sasa wengi wanakuja hawapo serious! kwa ukweli nipo mpweke saana sipo katika mahusiano muda mrefu, nashinda officen nikitoka nyumbani, situmii kilevi chochote nadhani ratiba yangu inanifanya nisikutane na watu mapaka nakuwa...
 2. B

  Valentine hii isipite tena nikiwa single

  Habari za kazi wakuu, nina zaidi ya miaka 5 sasa sijaifurahia valentine na mpenzi (nakuwa na familia ama marafiki tu) hii ni kwasababu sipo katika mahusiano! Nimesha weka mara nyingi saana Thread hapa za kutafuta mwenza ila bahati mbaya bado sijapata aliye serious au wa kuendana naye...
 3. B

  Ni wapi pa uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za USA, UK na Dubai

  Habari wana jukwaa, Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai. Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada huu
 4. B

  Natafuta mwenza wa kike

  Natumai ni wazima wa afya, Nimekuwa nikiweka thread zangu za kutafuta mwenza mara kwa mara hapa japo bado sijapata ila na imani kuwa nitafanikiwa hapa hapa na nitapata hitaji la Moyo wangu! Asanteni miliokuwa interested na mimi ila wengi tumepishana vigezo hivyo sikuona sababu ya kupoteza muda...
 5. B

  Mimi nitaoa 2021

  Wakuu mimi nategemea kuoa mwakani 2021' nitafurahi sana kama wana jukwaa wa JF mtakuwa moja ya watu mtakaofanikisha ndoa yangu (Serious issue) nipo single nitafurahi pia hata nikimpata mwenza hapa hapa au kupitia hapa' ila hata nikikosa hapa kwa juhudi zangu nitatafuta 2021 mapema saana Mungu...
 6. B

  Nahitaji mtu mmoja tu sahihi ambaye atakuwa mke wangu Mungu akipenda hilo

  Habari wakuu, Mimi bado nipo katika kuiamini na kuwaamini watu wote wa JF, nishamaliza kila kitu na ujana wotee, kwa akili zamgu timamu sasa nahitaji mtu mmoja tu sahihi ambaye atakuwa mke wangu Mungu akipenda hilo. Awe na umri kati ya miaka 18 - 30, awe anajitambua aliye tayari kuwa katika...
 7. B

  Serious girl / woman for relations

  .......
 8. B

  Natafuta karanga/ndizi

  Habari ndugu zangu, Naomba kwa anayejua mkoa naoweza kupata karanga nzuri zile kubwa kubwa kidogo, sio hizi ndogo ndogo (wakulima / wauzaji wanajua) Pia, naomba kwa mtu anayeweza kujua zinakopatikana ndizi za kuiva zile ndogo ndogo. Karanga nataka zije Dar!! naombeni bei elekezi kwa kilo.
Top Bottom