Search results

 1. K

  Nani zaidi: Musabe Schools au Wizara ya Elimu?

  Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
 2. K

  Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

  Shule zinaenda kufunguliwa tarehe 29 Juni, 2020 kama ilivyotangazwa na Mh Raisi JPM, wizara ya elimu ilitoa maelekezo ya ulipaji wa ada hasa shule za binafsi ( Private Schools) kuwa ada isipandishwe wala kipindi ambacho watoto hawakuwa shule wazazi wasilipishwe. Shule ya MUSABE iliyoko mkoani...
 3. K

  Nyamagana ya Mabula mnakwama wapi? Mbunge apunguze kufanyia kazi kwenye mitandao ya kijamii

  Wanajamvi naamini mpo salama mkianza vizuri mwaka 2020 ambao tutaenda kufanya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Kilichonifanya niandike uzi huu ni kuwa, kumekuwa na slogan inayotumiwa na Mh Mbunge wa Nyamagana kuwa "Nyamagana ya Mabula" na imekuwepo sasa kwa muda hadi na T-shirts...
 4. K

  Hivi TCRA, BRELA, Uhamiaji na NIDA wako nchi moja?

  Kwa sasa nchini kwetu hupati huduma Hati ya kusafiria, kusajiri kampuni au kusajili laini ya simu bila kitambulisho cha uraia. Binafsi leo ni karibia mwaka mzima toka niandikishwe kupata kitambulisho cha uraia lakini bado sijakipata pamoja na kupiga safari zaidi ya mara saba kwenye ofisi za...
 5. K

  Hivi ili kiwango cha elimu nchini kiongezeke tunahitaji matamko?

  Wajuzi nisaidieni kunipambanulia hili la elimu yetu ya Tanzania na uelekeo wake. Mwanzoni mwa utawala wa Magufuli baada ya uteuzi wa baraza la mawaziri na kuona limesheheni pHDs na maprof nilifikiria sasa mambo yanaenda kuwa sawia nchini mwetu maana baraza limejaa wasomi kama Spika wetu...
 6. K

  Hii tuiite siasa au ni taaluma?

  Wanabodi salaam. Kuna habari imekuwa ikiongelewa sana na nafikiri ni kwa nchi nzima. Habari hii inahusu wahitimu wa darasa la saba wa mwaka jana na ufaulu wao ukilinganisha na idadi ya vyumba vya kusomea katika shule za sekondari. Kinachonishangaza na kunifanya niandike kwenu ni...
 7. K

  Hivi ni nani anatakiwa kuwa mfano kwa kulipa kodi?

  Jana tukiwa na furaha na bashasha za kusubilia KIFAA chetu brand new AIR BUS 220-300, Mh mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ndugu Paul makonda alipewa nafasi ya kuwakaribisha na kuwatambulisha wananchi wa mkoa wake maana yeye ndiye alikuwa mwenyeji wa hafla hiyo. Katika hotuba yake fupi ya...
 8. K

  Hivi mwongozo wa Wizara ya Elimu kuhusu watoto kukariri darasa umekaaje?

  Wanabodi, Naombeni msaada nahitaji anaejua hili. Kuna wakati nakumbuka wizara ya elimu ilitoa mwongozo kwa shule zote hasa shule binafsi kwa vile mtindo huu ulikuwa shule binafsi zaidi. Ya kuwa mtoto akishavuka kidato cha pili asikaririshwe darasa maana mtihani wa mchujo unahusu watoto wa kidato...
 9. K

  NIDA, nani anawaangalia utoaji wa vitambulisho vya uraia?

  Wanabodi, hili la vitambulisho vya uraia lapaswa kutupiwa jicho kabla halijazidi kuwa dili kwa wachache. Kuna watanzania (ukiachilia mbali wafanyakazi wa serikalini) walijipanga mistari siku nzima kwa ajili ya vitambulisho hivi toka Jan or Feb 2018 hadi leo niandikavyo hawajapata hivyo...
 10. K

  Musabe; Shule nzuri majengo, uongozi mbovu

  Wanajamvi, Kwa anaemfahamu mmiliki wa shule ya Musabe iliyoko jijini Mwanza tafadhari asaidie kufikisha ujumbe huu. Ni kweli shule imejengwa kwa standard ya kisasa na mmiliki nampongeza kwa hilo kweli aliamua kuinvest. Tatizo lililopo shuleni hapo ni namna ya uongozi unavyoendeshwa kikabila...
 11. K

  Nani anatakiwa afuatilie ahadi za Rais Magufuli?

  Wana jamvi salaam, Ni jana tu niliona kwenye mitandao ya kijamii waraka ukipita, waraka wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Waraka huo umeelezea masharti mapya au sifa za mwombaji wa mkopo. Wakati Mh. Rais akiomba ridhaa ya kuongoza nchi, alikuwa akiongea kwa uchungu sana kuhusu suala hili la...
 12. K

  Kama ni kweli hili la DIT, basi watanzania wa kudunduliza wasahau elimu ya juu

  Wanabodi, ni jioni hii nimepitia maeneo ya DIT kumwona mtoto wa rafiki yangu asomaye chuoni hapo akiwa mwaka wa kwanza. Mimemkuta kajiinamia kama anaongea peke yake. Nilivyomuuliza kulikoni kanijibu nina hati hati ya kurudia mwaka. Nikamuuliza umefeli? Akasema hapana,nmechelewa kumalizia ada...
 13. K

  Samahani ya mkuu hutoka kwa vitendo

  Wanabodi, Heshima kwenu... Kwa tunayoyaona yakiendelea kwetu,ni dhahiri kabisa yanaleta sintofahamu katikati yetu na ni kweli ni kama sasa imebaki mwaga mboga nimwage ugali. Mh mkuu wa mkoa wa Dar kaingia kwenye tuhuma ambazo sasa zinaendelea kuwa nyingi na hadi zinachosha kuzisikia, maana...
 14. K

  Maadhimisho ya sherehe za uhuru dar es salaam mmenitoa tongotongo

  Asubuhi ya jana kupitia Radio Free Africa, nmesikia matangazaji akisoma gazeti moja kuwa mkoa wa Dar es salaam umenunua vifaa vya kufanyia usafi siku ya tarehe 09/12/2015 vyenye thamani ya zaidi ya bilioni moja. Sijashangaa ila nmetoka usingizini na kujiuliza,je! tungeadhimisha hizo sherehe...
 15. K

  TANESCO Mwanza, emergency car inafanya kazi gani?

  Rais Magufuli ana kazi kubwa ya kufanya! Nimeripoti tatizo la umeme masaa manne yaliyopita kupitia emmergency room ya TANESCO MWANZA kwa namba zao 028251060,0282500090 na 0687910202. Bahati nzuri nmepokelewa na same person,mdada na kuniomba namba zangu za simu na majina kamili na kuwa...
 16. K

  Michezo inapochanganywa na siasa jimboni nyamagana ndo maendeleo?

  Asubuhi hii ya leo katika kipindi cha michezo kirushwacho na RFA,nmesikia bonanza la maveterani na vijana limeandaliwa katika jimbo la Nyamagana na Theme yake ni kuhamasisha wananchi kupiga kura na kwa amani. Maelezo ya mwanzo yamekuwa mazuri sana na nikashawishika kama mwana Mwanza kushiriki...
 17. K

  Matanange wa kuwania Ubunge jimbo la Nyamagana

  wana bodi,heshima kwenu. Nmejikuta napata swali kutokana na hali ninayoiona harakati za kugombea ubunge ktk jimbo la Nyamagana mjini Mwanza. CCM imemsimamisha alokuwa Meya wa jiji la Mwanza Ndugu Stanslaus Mabula dhidi ya Hezekia Dibogo Wenje, mbunge anayemaliza muda wake. Kinachonishangaza ni...
 18. K

  Busisi- feri yavusha gari moja tu la mkuu wa mkoa

  Tukio hili lilitokea jana kivukoni Busisi, magari yakiwa yamejazana kivukoni hapo,yakitokea Sengerema,Geita na sehemu zingine uelekeo huo yakiwa mengi yao yakielekea mjini Mwanza. Mara kivuko hicho kilisimama takribani zaidi ya saa moja na nusu huku madreva na abiria kujojua ni sababu gani...
 19. K

  CHADEMA kuiuza Nyamagana?

  Wanabodi, mdudu anaekimaliza CCM tayari ameshaanza kuitafuna CHADEMA. Jimbo la Nyamagana kuna mchezo mchafu sana unatumiwa na mwana CHADEMA mmoja ili kumtoa Wenje kwa maslahi ya umoja wa wafanyabiashara wa mjini Mwanza. Kuna tetesi ya pesa nyingi sana zimechangwa kumchangia mgombea wa ubunge...
 20. K

  Huu ulinzi anaopewa mgombea urais kwa tiketi ya CCM ni sawa kikatiba?

  Jana wakazi wa jiji la Mwanza walionja adha ya kutembelewa na amgombea kiti cha urais kupitia CCM mheshimiwa sana Dr. John Pombe Magufuli, barabara zilifungwa zaidi ya masaa matano. Hakukuwa na gari inaruhusiwa kuelekea airport, maeneo ya Gold Crest barabara ilikuwa nyeupe hakuna chombo cha...
Top Bottom