Search results

 1. GUSSIE

  Rais Samia Hassan anatekeleza kampeni ya Tundu Lissu ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu

  Wanabodi, ni dhahiri Mpaka sasa Mama Samia Suluhu Hassan anatekeleza maneno aliyohubiri Tundu lissu wakati wa kampeni mwaka 2020,Yalikuwa maneno matatu tu yaani Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu. CCM walipozidiwa hoja na Tundu Lissu wakaamua kuzima intaneti, wakatunga hali ya hewa ni mbaya kwa...
 2. GUSSIE

  Ni mwisho wa Enzi kweli kweli, Akili iliwekwa mfukoni

  Ahaa haya maisha Bwana tunajisahau sana, Leo Sabaya kila gazeti linamsagia kunguni
 3. GUSSIE

  Ni mwisho wa Enzi kweli kweli, Akili iliwekwa mfukoni

  Profesa Kabudi, Mwalimu nguli huyu wa udsm alisema ametolewa jalalani, Maoni yote ya katiba mpya aliyosimamia akasema hayana kazi kwa sasa, Zilikuwa ni enzi ni enzi kweli kweli Dr Bashiru, Huyu ni mtaalamu wa siasa na Demokrasia pale udsm, Alisema Lazima watatumia Dola kutetea matumbo na kubaki...
 4. GUSSIE

  Wana CCM tuchutame, Hatujachelewa kutubu. Ona Ole Sabaya alishupaza shingo

  Ni uhalisia mambo yalikuwa hovyo hapo kati Hata sisi tuna ndugu maelfu huko ambao ni wa mbali lakini mfumo uliharibu maisha yao Tusiangalie sana matumbo yetu kuna kesho ya Wengine pia
 5. GUSSIE

  Wana CCM tuchutame, Hatujachelewa kutubu. Ona Ole Sabaya alishupaza shingo

  Kuomba msamaha sio ushamba hata kidogo, Ole Sabaya angeenda Clouds FM kuomba msamaha na kutubu angesamehewa na wananchi kwa uchafu na ujinga alioufanya huku akilindwa na mfalme niliyempigania Katika kitengo cha Propaganda ndani ya chama kwa lazima na sio kwamba nilipenda ilikuwa lazima. Sabaya...
 6. GUSSIE

  Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

  Fasihi hiyo mkuu, Sio kila kitu unakichukilia kama kilivyo Chalamila ni mchapa kazi sana sana, Tatizo Lake ni maneno mengi sana, Hata kitu kidogo anakikuza Chalamila akiwaka na kama msaidizi wake nae akawaka mkoa utachimbika, Hofu itatawala Magufuli alikuwa anawaka sana lakini Mama Samia...
 7. GUSSIE

  RC Mtaka: Tumepewa akili za kufikiri na sio za kutishana

  Wanabodi, Akiwa Katika vikao vya kuanisha vipaumbele mkoani Dodoma, RC Mtaka amesema yeye hayupo pale Dodoma kutisha na Kumtishia mtu bali yupo pale kwa ajili ya kuunganisha akili za watu waliozajaliwa ili kuleta matokeo mazuri mkoani Dodoma RC Mtaka, Amesema watumishi wa wilaya zote Dodoma...
 8. GUSSIE

  JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

  Elon hawazi Faida mkuu Elon anawaza kupindua meza yaani kufanya vitu unique au vya pekee ili ajijengee heshima Anawaza watu kwenda kwenye mwezi au Sayari ya Mars iwe ni usafiri wa kawaida tu kama unavyotoka Tanzania kwenda Marekani Ana waza mtu aweze kusafiri kwa kasi zaidi kuliko sasa...
 9. GUSSIE

  Fred Vunjabei ni fisi aliyejivika ngozi ya kondoo

  Mkuu habari za umbea hazifai Hakuna sababu ya msingi uliyoitoa Biashara ni za kwake Fred na hajaanza Leo biashara Huyo ni mkinga, Mbona maduka yote kariakoo kwa sasa wanamiliki wakinga Wakinga wa sasa ni tofauti, Hapo kati wakinga baada ya kuwa matajiri wamepeleka watoto wao shule wawasaidie...
 10. GUSSIE

  Jakaya Kikwete ni nguli na mwamba wa historia wa Tanzania na Afrika

  Kuna vitu mtu lazima ukubali kuna watu wamebarikiwa tu, Jakaya Kikwete ni mchumi lakini akisimama kwenye mimbari kuongea historia ya nchi hii wapi tumetoka, Tupo wapi na tunaelekea wapi huwezi kuchoka kumsikiliza. Hotuba ya Jakaya Kikwete kwenye mazishi ya Nelson Mandela hakika yalifungua macho...
 11. GUSSIE

  Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

  Ahaaa kuna muda inabidi kuchutama na kusalimu amri
 12. GUSSIE

  Wanasiasa ombeni msamaha, Tulitumika vibaya mwaka 2015-2020 Kueneza Chuki

  Wanabodi, Naweza kusema ni mwisho wa enzi. Lengai Ole Sabaya angeomba msamaha mapema na kukubali makosa angeishi kwa amani, Alitegemea nguvu za mwanadamu kumshika mkono wakati hana mkataba na aliyemleta huyo mtu Duniani Ni ukweli na unaumia pale unapoomba msamaha wa kweli kwa maovu na mabaya ni...
 13. GUSSIE

  Mzee Mwinyi kuzindua kitabu cha wasifu wa Maisha yake

  Bora azindue Maana akiandikiwa watu watatetea legacy ambayo inabidi ijitetee Bora ameandika mwenyewe akiwa yupo hai wakiandika Wengine wanapika data
 14. GUSSIE

  Watumishi wa umma jifunzeni kuhusu ongezeko la mishahara na siasa za uzalishaji wa sekta binafsi

  Mkuu huu uzi nilishaomba radhi usitumike vibaya Tugange yajayo
 15. GUSSIE

  Watumishi wa Umma wasiongezewe mishahara, Mfumuko wa bei haujabadilika

  Ni kweli nilishaomba radhi kitambo sana Huu uzi usitumike vibaya Nilishaomba radhi kwa maandishi yangu hapa JF
 16. GUSSIE

  Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ( HESLB) imetengeneza chuki kubwa kwa riba ya asilimia 15%

  Hebu Fikiria kwa soko hili la ajira, Vijana watalipa kitu gani? Penati zinawasubiri
 17. GUSSIE

  Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ( HESLB) imetengeneza chuki kubwa kwa riba ya asilimia 15%

  Vijana wanaishi maisha màgumu sana sana. Deni linaongezeka kila siku
 18. GUSSIE

  Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ( HESLB) imetengeneza chuki kubwa kwa riba ya asilimia 15%

  Wanabodi, Moja kati ya ukatili uliofanyika na kuwaumiza watumishi wa uma na sekta binafsi ni tamko la Kuongeza riba ya mikopo ya wanafunzi kutoka asilimia 8% mpaka 15% Vyama vya wafanyakazi na wadau wapaze sauti kuhusu riba hii ya asilimia 15% kwa vijana wetu kushushwa.Haya maamuzi ya...
Top Bottom