Search results

 1. misorgenes

  Spa Therapist needed in Iringa

  Spa Therapist Beauty & Salon Details Employer Name: Comfort Spa & Wellness Organization Type: Private Sector Role: Experienced Position Type: Full Time Location: Iringa Iringa Mjini Application Deadline: 11-04-2017 Description - Good knowledge of massage treatment -...
 2. misorgenes

  Kwa wakazi wa iringa mjini, nauza maziwa fresh na mgando

  Habari zenu! kwa wale wakazi wa iringa wenye migahawa pamoja na matumuzi ya nyumbani, nauza maziwa ya ng'ombe fresh na mgando. Lita moja ya maziwa freshi tshs 1,500/= na maziwa mgando lita moja tshs 2,000/=. Karibuni sana tuongee biashara.
 3. misorgenes

  Nyumba inapangishwa.

  nyumba mpya inapangishwa ipo iringa mjini, eneo linaitwa gangilonga. kama una uhitaji na nyumba ya kupanga tuwasiliane kwa namba 0784414887 (namba hii ni ya mmiliki wa nyumba iyo na sio dalali)
 4. misorgenes

  Ardhi inauzwa

  Ardhi tupu ekari 1000 zinauzwa @140000/= Zipo wilayani Mufindi umbali WA kilomita 70 kutoka Mafinga mjini. Pia ardhi ekari 30 zenye miti aina ya pine zinauzwa( miti INA umri WA miaka 3)@900,000/=...hizi zipo km 60 kutoka Mafinga mjini. Kwa Maelezo zaidi ..0768911465/0719151885
 5. misorgenes

  Msaada: Nafasi ya kazi Morena Hotel Dodoma

  Naombeni msaada wenu ndugu zangu. kuna nafasi za kazi zilitangazwa Morena hotel mwezi march 2015, mimi pia niliomba sasa kutokana na kukaa kimya kwa muda mrefu mi nlijua watu wameishaitwa na wapo kazini. sasa leo Mungu si Athuman nimepigiwa simu kuwa nifike kwenye interview kesho. na mimi...
 6. misorgenes

  Kiwanja kinauzwa manispaa ya iringa

  Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 700 kinauzwa, kipo manispaa ya iringa eneo la kitwiru. kiwanja hiki kimepimwa na kipo eneo zuri kwa ajili ya makazi, bei ni tsh 4,500,000/= ila pia tunaweza ongea. kwa mawasiliano zaidi 0688668630. shukrani.
 7. misorgenes

  diet ya muda mfupi inahitajika

  wazima jamani? kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi. natanguliza shukrani!
 8. misorgenes

  Umri ambao mwanaume anaacha kuhudumia familia yake

  Jamani naomba uliza ni umri gani, au katika mazingira gani baba anatakiwa kuacha jukumu la kuhudumia familia yake?
 9. misorgenes

  Kutokana na hali yangu ya kifedha, naomba ntoe sanduku la posta!

  Toka nimalize chuo hali yangu kifedha inazidi kushuka kila siku, na naona itafikia pahari sitoweza ingia jf kabisaaaaa, so natoa contancts S. L. P 2242. Tuwasiliane.
 10. misorgenes

  Bach of development study.

  Jamani naombeni mnijuze kuhusu course hii ya development study, je inaajira za kutosha tanzania? Na kazi zake ni za aina gani? Na mdogo angu anataka akachukue BADS chuo october.
 11. misorgenes

  Deeply in love!

  Jaman wana MMU nataka kushare na nyie furaha nilionayo, nmezama kwenye mapenzi n thnx to God ninaye mpenda na yeye ananipenda pia. Natamani na kutaka penzi letu lidumu!!
 12. misorgenes

  Pombe gani iyo? Mbunge wa peramiho?

  Ukute pombe yenyewe ni gongo, mtu akipiga kibuyu na kumwaga pombe ako atakuwa amekuokoa maisha yako.
 13. misorgenes

  Sa uyu ticha anania mbaya na mim

  Pindi kimeisha toka sa sita ila lecturer kakomaa bado anafundisha tuu, afu mi natakiwa nkapitie mara ya mwisho notes coz nina pepa badae, cjui niinuke ntoke?
 14. misorgenes

  Dah; wiki hii iishe tu kwa kweli.

  Yani kuanzia j3 ilikua mbaya kwangu. Mara nikose viquiz vya marks tano tano, mara niumwe mara lecturer anikwaze, mbaya zaidi ni nilipopoteza wallet yangu ikiwa na vitambulisho muhimu (card ya bank na kitambulisho cha chuo) na vipesa kidogo. Kwakwel it z terrible. Hope kuanzia j3 itakua njema.
 15. misorgenes

  hivi maandamano ya chadema.......

  unajua nimekaa nkajiuliza kama wiki nzima hivi, hivi maandamano ya chadema yangekuwa hayana mwemko wa wananchi kuna mtu angesema wamevunja sheria ya vyama au kutukana?
 16. misorgenes

  think before you say it, to a woman!!

  man: i could go to the end of the world for you. woman: yes, but would you stay there? man: i offer you myself. woman: i am sorry, i never accept cheap gifts. man: i want to share everything with you. woman: lets start from your bank account
 17. misorgenes

  best wishes

  vyuo vingi vinafanya mitihani ya ue mwezi huu, kati kati au mwishoni. nachukua nafasi hii kuwatakia mitihani mema wanafunzi wa vyuo vikuu wote "mana mitihani ikikaribia cthan kama wataingia hata jf, itakuwa msuli ue" all da best!!!
 18. misorgenes

  wanafunzi lini tutaacha tabia ya "zimamoto"

  wengi hatunatabia ya kutojisomea mara kwa mara, balaa linakuja tunapotangaziwa test au mtihani, hapo watu wanakesha(kubundi) usiku kucha. hivi lini tutaacha hii tabia ya zimamoto????
 19. misorgenes

  mwisho wa wiki dodoma!

  jamani naombeni mniambie sehemu nzur dodoma utakazo tumia kureflesh wikend. mana haka kamkoa sehemu za kutembelea na kuenjoy ni tatu cjui mkoa mzima, mana kama sio dodoma hotel, 84, kiliman na wap? "nitajieni bac nmechoka kukaa ndan"
 20. misorgenes

  i need a friend

  natafuta rafiki jaman, wa kike, vigezo: umri kati ya 22-28, mwanafunzi au mfanyakazi, na anayependa utani! aliye interested ani PM!
Top Bottom