Search results

  1. M

    Nauza Hp Elitebook laptop Bei rahisi mno

    Habr wadau, Nauza Hp Elitebook laptop bei kitonga laki na 20 ,,laptop ina Features kama 500Gb Hdd ,4gb Ram, icore 2 duo windows 7 ultimate Tatzo lake ipo slow na battery haikai na charge mpk uchomeke kwenye umeme....ila kila kt kingine ipo sawa...krbuni tufanye biashara....
  2. M

    Msaada HP laptop Elite book ipo very slow

    Habr wanaZengo wa Jf, laptop yangu ya Hp Elite Book inamatatizo ya kuwa ipo very slow, afu ukiweka movie ina Stuck sana , lakn nimebadlisha HardDrive ya zamani 320Gb na kuweka 500Gb mpya afu pia nimeongeza Ram ilikuwa 2Gb na kuweka 2Gb nyingine hvo kuwa 4Gb lakn bado ipo very slow...msaada...
Top Bottom