Search results

 1. N

  Tovuti ya Mwananchi ina Virus

  Ni mara ya pili sasa nakumbana na kisanga hiki, Nikifungua nakumbana na mavirus namatrojan and the like....sasa sielewi imekuwa hacked au ni nini can they do something? au ni mimi tu wajameni?
 2. N

  Tanzania Daima imemezwa na mafisadi?

  Sina hakika kama na wenzangyu mmeliona hili lakini kwa siku za karibuni hili gazeti linaloaminika kwa taarifa moto moto na linalojulikana kwa kupigana dhidi ya ufisadi limekuwa likichelewa kutoka mtandaoni...sijajua kiini hasa ni nini..kama ni matatizo ya IT au ni uamuzi wa makusudi Yote kwa...
 3. N

  Mahakama ya Kadhi: Mtikila kushindwa kesi, ndio mwisho wa mjadala?

  Wakuu, wakati tunaendeela na mijadala ya mafisadi, kuna hili la mahakama ya kadhi Nakumbuka siku zilizopita hapa tulikuwa na mjadala mzito kuhusu hili, na reent development zinaonyesha kuwa kesi hii aliyokuwa amefungua Mtikila, imefutwa na mahakama kuu, Kilichonifanya nilete hii hoja hapa...
 4. N

  Kumbe Balali hakuwa mwajiriwa wa serikali?

  Naona mambo mabichi kabisa.....kumbe hakufukuzwa kazi in the real sense...ndo maana wakasema wametengua...nadhani Balali bado anazo nguvu nyingi na mambo mengi anayojua Je ina maana alikuwa anafanya kazi kama consultant? au raia wa kigeni? Meghji: Ballali hakuwa mtumishi wa serikali...
 5. N

  Waziri Mkuu Canada atonesha kidonda cha madini Tanzania

  Haya bandugu here is a new twist kwenye ishu ya madini Naona JK na mwenzie wanakumbushia tatizo ni sheria zetu za madini kuwapendelea zaidi wawekezaji kuliko wazawa. Swali ni je,hizo sheria alitunga nani? sisi wazalendo au tuliomba tutungiwe? ni mzalendo gani mwenye uchungu na nchi yake...
 6. N

  Dk Bilal naye ataka 'mafisadi' wang'atuke!

  Naona kumekucha wandugu! Dk Bilal: Waliotuhumiwa kwa ufisadi wajiuzulu *Asema hakuna sababu ya wao kubakia madarakani *Ashauri viongozi kuacha ubinafsi kwenye mikataba *Atahadharisha hali hii ikiendelea vurugu zitatokea *Asema CCM upande wa Zanzibar imedorora Na Salma...
 7. N

  Mkapa Rais, Sumaye PM-Ubalozi wetu Ujerumani

  JAmani katika pekua pekua ya balozi zetu nimekutana na 'kioja' hiki kwenye website ya ubalozi wetu kwenye nchi kama Ujerumani, Nikajiuliza maswali mengi mno? Hakuna wa kuangalia hii website tangu 2005? Ama kwa sababu zao bado 'wanautambua' utawala uliopita? ama ndo hivyo tena hakuna...
 8. N

  'Mamia' wampokea Kikwete

  Mi nilidhani wangekuwa maelfu, halafu kumbe ni wanachama wa CCM..so ningedhani ingekuwa mamia ya wana CCM....au ndo kujaribu kufunika ishu? Habari za Kitaifa Mamia wampokea Kikwete Mwandishi Wetu HabariLeo; Monday,October 08, 2007 @00:04 MAMIA ya watu jana walifurika katika...
Top Bottom