Search results

  1. T

    Fursa za Biashara na kilimo cha nyanya, Iringa Ilula

    Za jioni wandugu, Nimetembelea mkoa wa Iringa, niweza kujionea maajabu na fursa nilizozikuta. “Kweli tembea ujione”. Tenga la nyanya, ambalo linatoa mbaka ndoo kubwa tatu, linauzwa 15,000 . Kukodi kwa eka ni 30,000. Kutumia ng’ombe kwa eka moja ni 30,000. Kutumia treka ni 50,000 kwa eka...
  2. T

    Fursa za biashara zilizopo mkoa wa Dar es Salaam

    Za mida wapendwa. Uzi wa leo ni wa kuangalia za biashara zilizopo mkoa wa DSM tu. Na kama uzi huu utazaa matunda basi bila shaka tutaelekea mkoa mwingine. 1. Kushona nguo- hapa ukipata fundi mzuri, unatoboa. Sio lazima ujue kushona. 2.Kuuza icecream za mia mia-hapa ukiwa mchapa kazi bila...
Top Bottom