Search results

 1. P

  Naomba msaada wa kupata vitabu vya Banking Law

  Kuna utafiti/ andiko nataka kufanya kuhusiana na sheria za mabenki hasa hasa katika realisation ya securities. Naomba mwenye vitabu au kesi zozote tuwasiliane hapa. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. P

  Wakili anahitajika

  Kama kuna wakili junior ambaye hajapata kazi na ni mkazi wa Dodoma aje inbox tupange mkakati
 3. P

  Namtafuta technician wa Civil Engineering

  Kichwa cha habari hapo juu chahusika, ninaomba kama kuna kijana ambaye ni technician wa civili engineering ambaye yuko mkoa wa Iringa au mikoa ya jirani tuwasiliane. Kuna biashara nataka kuianzisha ila bila ya kupata mtu mwenye ufahamu kidogo katika eneo husika, naweza kupata shida kidogo...
 4. P

  Looking for a Technician

  Kichwa cha habari hapo juu chahusika, namtafuta kijana ambaye ni technician na mwenye uzoefu kidogo kwenye construction industry ( civil engineering). Awe mtu wa kazi kweli kweli, mwenye sifa hizo anicheki inbox, tuongee kuhusu kuanzisha biashara ya vile. Nipo iringa kwa sasa na itakuwa rahisi...
 5. P

  Natafuta mchumba

  Natafuta msichana atakayekuwa mchumba wangu, vigezo awe mweupe, mrefu name mnene wa wastan. Elimu angalau diploma hata kama huna kigezo cha elimu kama uzuri upo wewe tiririka kwa pm , Nina mshahara mzuri na posho. Waswahili , waarabu na wazungu kazi kwenu, pm zote zitajibiwa
 6. P

  Natafuta girlfriend mwenye kg 60

  Mimi ni kijana aliyemaliza chuo kikuu , nina kazi nzuri , natafuta girlfriend awe mweupe na uzito zaidi ya kg 60 , mnakaribishwa wote
 7. P

  natafuta mchumba

  mimi ni kijana ambaye nimemaliza chuo kikuu, natafuta msichana mwenye sifa hizi awe girlfriend wangu na pengine akifuzu awe mke, awe mrefu, mweupe hata maji ya kunde, uzito kuanzia kilo 70,na asiwe na historia ndefu ya kuwa na wanaume, watu wa aina zote isipokuwa wahindi wanakaribishwa,na asiwe...
 8. P

  kujua tiba

  hi kwa wote, naomba kuulizia tiba ya ugongwa unaowapata wanaume ambao unaitwa pearly penile papulace. Kwa kifupi unakuwa na vipele kuzunguka kichwa cha uume na hauambukizi na wala sio ugonjwa wa zinaa. nitashukuru xana
Top Bottom