Search results

 1. T

  Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

  Nauza mashudu ya alizeti kwa bei ya jumla
 2. T

  Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

  Shida ya meli Comoros ni moja, ndio inapeleka mzigo, je huku inarudi na nini?
 3. T

  Fursa za Biashara na kilimo cha nyanya, Iringa Ilula

  Nimeandika kutokana na nilichokiona.
 4. T

  Fursa za Biashara na kilimo cha nyanya, Iringa Ilula

  Za jioni wandugu, Nimetembelea mkoa wa Iringa, niweza kujionea maajabu na fursa nilizozikuta. “Kweli tembea ujione”. Tenga la nyanya, ambalo linatoa mbaka ndoo kubwa tatu, linauzwa 15,000 . Kukodi kwa eka ni 30,000. Kutumia ng’ombe kwa eka moja ni 30,000. Kutumia treka ni 50,000 kwa eka...
 5. T

  Tupeaneni fursa za kiabishara kwa mkoa wa Mbeya

  Ndugu wapendwa, za mida. Baada ya kundika kuhusu DSM, mji unaofata ni Mbeya. Mda si pende, tukijaliwa ntawaletea fursa za mji wa mbeya.
 6. T

  Fursa za biashara zilizopo mkoa wa Dar es Salaam

  Za mida wapendwa. Uzi wa leo ni wa kuangalia za biashara zilizopo mkoa wa DSM tu. Na kama uzi huu utazaa matunda basi bila shaka tutaelekea mkoa mwingine. 1. Kushona nguo- hapa ukipata fundi mzuri, unatoboa. Sio lazima ujue kushona. 2.Kuuza icecream za mia mia-hapa ukiwa mchapa kazi bila...
Top Bottom