Search results

 1. W

  Jeshi lijitathimini kuhusu uadilifu na uaminifu wake kwa Watanzania wote

  Ndg wanajamvi habari za jumapili. Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
 2. W

  Rais Magufuli ana kazi ya kumtafuta Lissu wa kipindi cha Uchaguzi ili kuyaelewa haya

  Niwazi kampeni zimeisha na Rais Dr. JPM amechukua ofisi kwa awamu ya pili, sasa kinachofuata ni utekelezaji wa Illani ya CCM. Pamoja na ukweli kwamba ilani inayotekelezwa ni ya CCM lkn tumejifunza kuwa kuna mambo ambayo hayakuibuliwa ndani ya ilani ya CCM na yameibuliwa ndani ya ilani ya...
 3. W

  Je, Serikali/Viongozi wanahusika na utapeli huu wa Q-Net?

  Kuna hii kitu kinaitwa Q-Net, watu wanashawishiwa kuuza mashamba, kukopa kazini na kuacha ajira. Sasa hivi ofisi nyingi zipo Kimara. Najiuliza kuna mkono wa nyuma wa serikali kama njia mojawapo wakukusanya mapato? Clips nyingi za uhamasishaji ni za Makonda na viongozi wa serikali, jamani...
 4. W

  Chadema anzisheni Chadema Charity’s #Convid 19

  Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa. Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi...
 5. W

  Rais, tengua hii amri ya Makonda kuhusu unywaji pombe, inatesa wakazi wa Dar

  Ni mara ya pili sasa nakuja DSM bado nakutana na amri tata ya Mkuu wa Mkoa wa DSM ya katazo la unywaji wa hadi saa kumi jioni. Kwakweli wenye kufaidi hili katazo ni Polisi kwani wamekuwa wakitesa wananchi hasa siku ya Ijumaa kwani wakikuchukua usipotoa laki mmoja utakaa hadi Jumatatu.Kwakweli...
 6. W

  Rais wa nchi maskini hapaswi kufungamana na mawazo ya “ushujaa wa kimaskini”

  Awamu ya nne kuna ubinafsishaji mkubwa ulifanyika katika ardhi hasa mashamba ya mkonge na mengineyo. Ubinafsishaji huo kwa asilimia kubwa ulinufaisha jamii ya watanzania wenye asili ya kihindi. Hawa jamaa kuna maeneo wanashinda ndo maana mashamba makubwa wakachukua wao Sababu kuu ni Masoko na...
 7. W

  BOT: Biashara halali, mfanyabiashara halili, leseni halali. TAHARUKI YA NINI?

  Biashara ya maduka ya mabadilishano ya fedha: Je hii ni biashara halali? Na maduka haya yapo kihalali? Wafanyabiashara wapo kiahalali? Kabla ya mamlaka husika haijatoa leseni utambuzi wa maeneo na vigezo vya uendeshaji wa biashara husika hufanywa na mamlaka husika. Baada ya mamlaka husika...
 8. W

  Rais Magufuli ataka TAKUKURU ifumuliwe. TAKUKURU ifumuliwe au sheria ifumuliwe kuipa nguvu TAKUKURU?

  18 hours ago RAIS Dk. John Magufuli amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani, kufumua muundo wa taasisi hiyo ili watendaji wanaojihusisha na rushwa wachukuliwe hatua. Alitoa kauli hiyo jijini hapa jana baada ya...
 9. W

  Urais ni kuwa msingi mbovu katika msingi wa maendeleo Kama watangulizi wake wote, JPM si msingi sahihi

  Ni muhimu sana tukaimarisha biashara kati yetu sisi waafrika, ni vyema tukayafikia masoko yetu kwanza, kuunganisha watu wetu kufanya biashara,ni mara nyingi tunapozungumzia masoko ya nje basi watu wengi wahamisha fikra zao kulenga masoko ya Ulaya, Marekani, nk hii si fikra sahihi sana, kuna...
 10. W

  Wanaamua juu ya maisha yetu, na wanaandaa watoto wao kuamua juu ya watoto wetu.

  Siasa ya TANU ni kujenga nchi ya Ujamaa, misingi ya Ujamaa imetajwa katika katiba ya TANU, nayo ni hii; Kwa kuwa TANU inaamini: (a) Kwamba binadamu wote ni sawa; (b) Kwamba kila mtu anastahili heshima; (c) Kwamba kila raia ni sehemu ya Taifa na anayo haki ya kushiriki sawa na wengine katika...
 11. W

  Ni vyema chadema ikadhibiti hii hali kisheria

  Kutokana na hali ya wabunge, madiwani kuhama hasa kutoka CDM kwenda CCM ninashauri yafuatayo kama hayavyunji katiba na sheria za nchi hasa katika uhuru wa mtu binafsi: 1: kuitisha kikao cha dharura cha kamati kuu kujadili kama yanayosemwa na wahama chama yana ukweli. 2: Kama wakijiridhisha kuwa...
 12. W

  Dawasco na miundombinu mbovu ya maji, nn kifanyike?

  Miundombinu ya maji ni mibovu kila kona ya mtaa kuna mifereji ya maji yanamiminika. Napendekeza yafuatayo yafanyike; 1: ukaguzi kubaini maeno yenye miundombinu mbovu 2: uchunguzi wa kitaalam ufanyike kubaini; A: ubora wa pipe B: vigezo vya kina cha kulaza mabomba km...
 13. W

  Kukomboa vyuo vikuu, mapambano ya hoja ilioanzishwa na Ben Saanane kutaka verification ya PhD za Viongozi yaendelezwe...

  Habari kwenu wana JF, Ndugu wana JF madhumuni yakuleta huu uzi nikutaka tuendeleza shinikizo ya kulinda vyuo vikuu vyetu na uvamizi wakitaaluma unaofanya na viongozi wa serikali hasa mawaziri na viongozi wengine waandamizi waojipatia masters na PhD ili kujipatia sifa au vigezo flani kushika...
 14. W

  Rais Magufuli unaijua timu yako vizuri?

  Sina nia yakukufundisha kazi, ama kukuelekeza nini kifanyike. Niko hapa nakumbushia tu! Watanzania hawajawahi kuhishiwa mbinu Sizonje ukijua kunawia mikono mbele wao watanawia nyuma. Vipi kuhusu EFD machine? Karibu kwetu Kariakoo japo una uchovu kwa jukumu la kuimarisha kijani kwa kuua...
 15. W

  Kulingana na hali ilivyo nashsuri CHADEMA wafanye yafuatayo

  Kutokana na hali ya siasa ilivyo ni wazi UKAWA wafanye yafuatayo; CHADEMA Mwenyekiti aunde timu ya vijana jasiri ndani ya chama mfano Heche anaweza akawa kiongozi wao waanzishe kampeni mbadala yakuamsha ari hasa vijijini maeneo ambayo cdm haina nguvu, hii itasaidia wasidhibitike kiurahisi...
 16. W

  Ahsante TBC kwa kutuonesha mmiliki wa ambulance na vichwa vya treni

  Jana kwa wale wenye mioyo migumu tunaoangalia TBC kulikuwa na kipindi ambacho walialika maafisa wawili wa mamlaka ya bandari TPA kuzungumzia maswala mbalimbali. Mmoja wa watazamaji alipiga simu nakuulizia kwann wanashindwa kudhibiti hadi raisi anakuja kuvumbua madudu?(nukuu isiyo rasmi) Afisa...
 17. W

  Vyama vyingi ni msingi wakuondoa fikra za ukoloni mweusi

  Nini maana ya huu ukoloni mweusi au ukoloni uzawa?: Ili kujibu swali letu hapo juu tuangalie fikra za wapigania Uhuru wengi wa Kiafrika, tuangalie kundi la wapigania Uhuru wasomi; Lengo lao; lengo kuu kwa asilimia kubwa la kundi hili la wasomi wapigania Uhuru ilikuwa kuchukua Hatamu, yaani...
 18. W

  Tuseme Polisi wamepewa mamlaka yakutekeleza hukumu ya kifo("laza chini") ?

  Haya mambo yanayoendelea sasa ya polisi "imewakamata majambazi sugu, kisha kuhoji na kwenda kuwapekua nakuwakuta na silaha a, b, c...alafu unaambiwa mmoja ya majambazi hayo alijaribu kumkaba polisi nakuanza kukimbia polisi wakawadhibiti kwa kuwafyatulia risasi kisha kuwajeruhi, walipofikisha...
 19. W

  Nahitaji kuelewa zaidi kuhusu hili la matumizi ya US Dollar

  Kuna threads nyingi zinazozungumzia shilingi yetu kushuka dhidi ya fedha za kigeni, naamini humu kuna great thinkers watanisaidia kunielewesha huu ya mamba yafuatayo kama yanachangia shilingi kuporomoka dhidi ya fedha za kigeni; 1. Tenda kubwa za ujenzi kutangazwa kwa US dollars badala ya...
Top Bottom