Search results

 1. C

  Hivi ndio jinsi ya kumuenzi Mh. Regia fanya yafuatayo....

  Kama alivyokuwa Mh. Regia ndio vijana wote wanapashwa kuishi maisha ya kila siku, nashawishi uanzishwe mkakati ambao vijana wengi watafundishwa jinsi ya kulitumikia taifa. Marehemu alikuwa na ujasiri sifa yake kubwa na uwezo wa kuthubutu kufanya jambo kwa maslahi na maendeleo ya taifa...
 2. C

  Mtoto wa mkulima Mh. Mizengo safarini Brazil kujifunza kilimo

  wakati sera ya kilimo kwanza ikiwa katika utekelezaji Mh. PM na Mrs Tunu wako ziarani Brazil kujionea na kujifunza kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja kutembelea viwanda vya zana za kilimo. sijui serikali inataka kuleta nini tena baada ya power tillers.ule msafara wake sijui kama kiongozi anaye...
 3. C

  Tafakuri nzito-igunga lengo ni nini?

  Hali inayoendelea igunga hadi sasa ni kweli wananchi na wenye maslahi na uchaguzi huo wanashindania kushinda na kupata ubunge kwa KAFUMU au KASHINDYE au MAHONA? Au kuna lazaidi? mi nadhani sio tu hao wagombea wapate ubunge. Mtizamo: VYAMA VYA SIASA HASA CCM NA CHADEMA WANATAKA KUOSHA MAJINA YA...
Top Bottom