Search results

 1. B

  Uchaguzi 2020 Gwajima hafai kuwa mbunge, bora kupigia kura kinyago

  Nipo very disapointed na uteuzi wa CCM, Kawe, CCM imempeleka mtu asiejiheshimu yeye binafsi, asiyeheshimu wengine, asiyeheshimu viongozi wa juu wa kidini na wala asieheshimu dini za wengine. Gwajima amekuwa kiongozi mwenye mdomo anaeongea chochote kwa yeyote bila kupima. Gwajima huyu ndie...
 2. B

  Wafuga mandevu njooni hapa!!!

  Mmemwona mfuga ndevu mwenzetu huyo na mvaa kanzu mwenzetu Kwako mwalimu kashasha [emoji8] Sent using Jamii Forums mobile app
 3. B

  uvccm nw mnafanya kazi hongereni sana

  uvccm nw mbafanya kazi.. nakumbuka enzi zile za jk ccm ilikuwa ikishambuliwa saaana mitandaon bila ya majibu hata km story ni za uongo kulikuwa hakuna wa kupinga, ila sasa hivi ukigusa tu serikali km nyuki unavamiwa unapingwa hata km story ni ya kweli utapingwa. hongern sana siasa ndo inavyotaka
 4. B

  Kikwete mpole ,kikwete dhaifu kikwete sijui nini....

  hapa vipi sasa...
 5. B

  Tushirikishane madaktari bingwa wa watoto

  Hbr za pililkapilika wana jf leo ningependa kushare madaktari bingwa wa watoto kutokana na uzoefu kwa kutibiwa au kusikia kwa upande wangu daktari namba 1 nikikwama kabisaa kwny hosptal za kawaida huwa naenda posta (dsm) hosp ya "dar group " dr anaitwa hasanal mnaweza mkatupia wenu
 6. B

  Nimekata tamaa na bodi ya uhasibu

  Kwakweli kama kuna vitu vilivyonichosha mwaka huu ni juu ya hii bodi ya uhasibu ....nikikumbuka hela yangu nilivyoipata Kwa shida na kusoma review classes Kwa tabu Leo mnashindwa kutoa matokeo kwakweli hata mkitoa siyataki tena hayo matokeo tokea December mpaka Leo tunaelekea mwezi wa nne kweli...
 7. B

  Kusainishwa bima ya Afya hospitali bila ya kujua gharama halisi

  Hbr wana jf Kuna tatizo la mtu ukiwa unaenda tibiwa na ukawa unatumia kadi ya bima ya Afya kusainishwa karatasi bila ya kuandikiwa gharama zinazokukabili au huduma ulizofanyiwa Huwa najiuliza vipi wakiniandikia nitumia mililion wakati nimetumia elfu 10 ?vp nikiandikiwa nimefanya full bld...
 8. B

  Hivi anayewapa mimba vichaa ni nani?

  Habari WanaJF, Mara nyingi nikiwa naenda kwenye misghuliko huwa napita maeneo ya Msimbazi Centre pale huwa namuonaga mdada mmoja (mwendawazimu) asubuhi anakuwa amelala pembezoni mwa barabara. Ni zaidi ya mwaka huwa namuona ona maeneo hayo sasa leo wakati nikipita njia nikamkuta yule mdada ana...
 9. B

  Kila anaetafuta mchumba moja ya masharti awe mkiristo

  Si wanawake si wanaume kila anaetafuta mchumba lazima aweke kigezo cha ukirsto Mabro na masister wakikristo ndoa kwenu imekuwa shida au yale magharama kuanzi kitchen party mpaka sendof yanawafanya mzikimbie ndoa.
 10. B

  Omba omba wa Leo kanishangaza

  Leo mida ya saa 4 asubuhi nilikuwa nimepaki gari manispaa ya temeke ,akaja mtu wa makamo kavaa kawaida sana akaniomba nauli ya kwenda kawe nikamjibu sina ,baada ya muda roho ikajistukia nikashuka nikamfuata nikampa elfu 2 zilikuwa buku buku akaenda nikapata hamu ya kutaka kujua kuwa ni mkweli au...
 11. B

  Pombe ,wanawake mpaka akamuua mkewe

  Hbr Kuna mzee mmoja mtaani alikuwa mlevi sanaaaa ,alibahatika kupata mwanamke mpole ,mcheshi mkarimu saaana watu wengi mtaani walimpenda ,yule mdada alikuwa around 28 hazidi 32yrs Mwanaume alikuwa na hela mno ila alikuwa mtu wa matumizi espicially pombe na wanawake ,nakumbuka kuna siku...
 12. B

  Wanawake wanaotumia mbinu ya kubeba watoto wadogo kuomba misaada mnafanya vibaya Sana

  Kuna tabia ambayo sana sana hufanywa na kina dada ya kuazima watoto wadogo na kuwatumia Kwa ajili ya kuomba misaada. Mara nyingi hujifanya wamezalishwa na wametelekezwa. Wiki hii kuna mama alipewa taarifa ya kuwa mwanae aliemwacha nyumbani na kwenda kazini amekutwa maeneo ya Mnazi Mmoja na...
 13. B

  Tukumbushane malani enzi za udogo

  Leo nimesikia madogo wakipeana malani nikaona si mbaya tukjikumbusha malani kidoogo kuflash bck Naanza na ....pua kama donge la sabuni
 14. B

  Mtoto kapotea akapatikana baada ya siku 10 Manzese, je huu ni ushirikina au?

  Kuna mtoto mmoja alikuwa amekuja likizo kutokea iringa kaja Dar maeneo ya tandika Davis corner.Huku Dar ndipo wazazi wanaishi, tarehe 28 ya mwezi wa 12 2017 mida ya saa 4 usiku alikurupuka kama anaota akawa anatoka nje anakimbia kuna mpangaji mwenzao akatoka na kumkimbilia alipomkamata akawa...
 15. B

  Matokeo ya CPA kizungumkuti

  Matokeo ya CPA kawaida huwa yanatoka kabla ya xmas ambapo January inapoanza watu wanakuwa wanaanza maandilizi ya kusoma kwa ajili ya masomo yajayo ila awamu hii imekuwa tofauti mpaka sasa matokeo hayajatoka na hayajulikani yatatoka, hivyo kupelekea wanafunzi kutojielewa kwa kuwa walimu washaanza...
 16. B

  Meseji za tatu mzuka na biko zinachosha mno

  Hbr Wana jf Mimi nakereka kupokea meseji kila siku za tatu mzuka na biko ,hivi hakuna namna ya kuziblock ?? Asubuhi tu meseji mchana meseji yaani Kwa kweli nakereka nikifungua txt nakukuta ni hayo madude
 17. B

  Kumezuka matapeli wanaojifanya wanatafuta wafanyakazi wa ndani mikoani

  Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na shida kubwa ya wafanyakazi wa ndani tofauti na jamani. Tatizo hili limepelekea kuzuka kwa matapeli wanaojifanya kuwa mawakala wa wafanyakazi wa kuwatoa madada mikoani. Hawa mawakala wanakuwa kweli wana mabinti wametoa vijijini au wanakuwa wa hapa hapa mjini...
 18. B

  Huu ulikuwa wakati mzuri saana wakukikabili chama tawala 2020 lakusikitisha sasa..

  Habari za jioni ,katika miaka yooote iliopita kwa mtazamo wangu huu ndio mwaka ambao matatizo ya kiutawala kila mtu anayashudia mwenyewe hamna haja ya kuhadithiwa kwahyo ilikuwa rahisi sana kwa upinzani kujiimarisha kupitia mapungufu yaliyopo Lakusikitisha kuwa hiki ndio kipindi ambacho upinzani...
 19. B

  Mafuriko ya wachaga moshi...baba jesca shikamoo

  Mwaka imeshuhudiwa idadi kubwa ya wachaga wamerudisha mpira kwa kipa yaani wamerudi kwao Inadaiwa kuwa zile zama zao za kuishi kama wafalme kutikiswa hivyo kuamua kurudi kwao kujipanga upya kwa namna mbali wenye kutambika ,wenye kushtaki kwa vibibi wenye kupanga mikakati kabambe juu ya 2020...
 20. B

  LIGI YA ISRAEL HAINA X MASS

  Nchi nyingi kesho ni mapumziko ya mechi za mpira kupisha na kusheherekea Xmas isipokuwa nchi kama za misri saudia na Israel Je wao kwao hii sio sikukuu? Au ndo inasheherekewa Kwa kuangalia game
Top Bottom